I just quoted the Word of God; nothing more, nothing less. Kama unadhani wewe ni bora kuliko wengine au kwamba utamwomba huyo almight god wako afanye hayo unayotaka; utakufa kabla ya hao unaowaombea kifo. Ukiona mtu anaombea wengine kifo huyo ni mpuuzi wa kutupwa!Useless black man /woman,,,,, useless at all,,,,, i pray to Almighty God to grab your remaining time in this world and give another to another creature, may be a dog would be better so that we can enjoy its presence at home!!! Useless at all..........
Kwa USA, Russia anasubiri miaka miaSafi sana, walikuwa wana beep, wanapigiwa sasa
Vita ipi ya ghuba ilifeli? Kama ni miaka ya 90 mission ilikua kufukuza sadam hussein Kuwait, je alitoka au hakutoka? Someni vitabu kama mlikua hamjazaliwa, mission ilikua sio kumtoa madarakani, hii ya 2003 Bush Jr ndio alisema anamtoa, je yupo wapi sasa hiv?at least uongelee Vietnam,Samtaimu vita ni mbinu siyo vifaru na nguvu ya pesa
Mbona USA ilifeli vita ya Ghuba na Vietnam?
Anakula matapshi yake sasa
Nimejifunza umuhimu wa kuweka akiba ya maneno
We bwana mbona kimya..!?Ngoja nilale asubuhi ntakujibu kuifasaha kwa FACTS za kutosha leo jukwaa la Siasa limenichosha sana.
Ila nakupa Homework: Nenda kachunguze makombora aliyoyatumia US kupiga ile kambi yalikua na kiasi gani cha milipuko na kwanini?!
Asubuhi ntakuletea materials yote ikiwemo videos.
Good night.
Aseeee nishasahau km nna ahadi huku, ngoja kwanza jukwaa la siasa kupoe huku nadonyoa donyoa tu sijaingia mzma mzma.We bwana mbona kimya..!?
He he he...Aseeee nishasahau km nna ahadi huku, ngoja kwanza jukwaa la siasa kupoe huku nadonyoa donyoa tu sijaingia mzma mzma.
Sanaaaaa.... Yani kila siku movie inazid kunoga, ndo maana huku nadonyoa donyoa tu.He he he...
Jukwaa la siasa kumenoga..!?
Inasemekana kuna bomba la gesi linatakiwa kupita Syria kwenda Ulaya, kumbuka uchumi wa Russia unategemea sana gesi. Na bombs haliwez kupita km Syria ikiwa chin ya Assad, hvyo Putin lzm amlinde kwa nguvu zote sababu km hilo bomba likifanikiwa kupita bhas Russia itakua na hali mbaya sana kiuchumi kutokana na kuharibika kwa biashara yake ya Gas.We bwana mbona kimya..!?
alikutwa amejificha shimoni kama gadafi, ameota manyoya hadi kwenye ulimi..hahahahaha. sadam kiburi chake ndio alichekesha kuliko majahidina woote.Vita ipi ya ghuba ilifeli? Kama ni miaka ya 90 mission ilikua kufukuza sadam hussein Kuwait, je alitoka au hakutoka? Someni vitabu kama mlikua hamjazaliwa, mission ilikua sio kumtoa madarakani, hii ya 2003 Bush Jr ndio alisema anamtoa, je yupo wapi sasa hiv?at least uongelee Vietnam,
When it comes to war usijione uko mbali to that extent. Utajashangaa tu imekuathiri kwa aina moja au nyingine.Acha wapigane huku tushangilie. Ila vita haitabiriki hii
Asante kwa knowledge mkuu..!Inasemekana kuna bomba la gesi linatakiwa kupita Syria kwenda Ulaya, kumbuka uchumi wa Russia unategemea sana gesi. Na bombs haliwez kupita km Syria ikiwa chin ya Assad, hvyo Putin lzm amlinde kwa nguvu zote sababu km hilo bomba likifanikiwa kupita bhas Russia itakua na hali mbaya sana kiuchumi kutokana na kuharibika kwa biashara yake ya Gas.
Hlf nimekujibu ww, kumbe aliyeuliza mwingine[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .Aiseee kweli Bashite ananichanganya sanaaa. Jukwaa la siasa litaniua[emoji23] .Asante kwa knowledge mkuu..!
Subutuuuu ndo watajua pumbu za marekani ziko wapi weeee watapiga kelele tu hata ndege ya USA hawatasubutu wataangalia kama ya uturuki au Israel Philippines tu hata za UK German France Italy hawatazigusa kitawaka watashambuliwa kila konawafike wapambane sasa, hatutaki kusikia story nyingine, make US keshashambulia bila shaka russia nae anaenda kukidestroy kile chombo kilicholauch yale mashambulizi
MTU akikuchokoza anaanza hata na kukusukuma kifuani uje sasa usikilizie fundo hiloRussian Defence Secretary anasema mashambulio hayo dhidi ya small airbase huko Syria haya maana yoyote na hayana faida yoyote kijeshi hasa ukizingatia kuwa hiyo airbase inaweza kuendelea kutumika.
Nani kakwambia China na USA are enemies maisha yakoHapo ndiyo itakuwa mwisho wa Marekani, maana ana maadui wengi Russia,North Korea, Iran na China pia hawa wote watamchapa kupitia Syria.
Jamaaa vita vya kupigana na watu ni tofauti sana na vita vya wanajeshi kwa wanajeshi Russia Iraq alikimbia hakujua anapigana na Nani coz adui ni kama RAIA tu mpaka wakaamua kutengeneza mabomu kama pipi kijiti watoto wakawa wanafumuliwa vichwa lakini wapi wakakimbia ila USA kakomaaa mpaka Leo anakula wese. Sasa Vietnam marekani iliamua kuacha kutokana na shinikizo la wana nchi wake coz hata ratio za mauaji ni 1:1000Na yule Vietnam nae ana uchumi mkubwa kama US...?