Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,921
- 15,612
Lithuania naye ana nini ?TANESCO (Russia) ya nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya yaendelea kuzichachafya nchi za EU zilizozoea kupewa umeme wa dezoo.
Safari hii TANESCO hiyo ya nchi kadhaa za EU imeamua kuikatia umeme Lithuania kutokana na linchi hilo kushindwa kulipia gharama za huduma ya umeme...
Acha upepo uendelee kuvuma kwa nguvu, tuzione nyeti za kuku zilivyo ππππ
View attachment 2234244
Vita ya kiuchumi alianza US dhidi ya China. Hakuna chanzo cha nishati kwa sasa duniani kinachoipiku gesi.Tulisema mwanzo hapa na tumeona nchi zote zimepwaya mbele ya Urusi.Nchi jeuri kama Ujerumani imeufyata sasa.Wangeacha kununua kwa rubli nchi ingepinduliwa.Ulaya sio Africa. Wana vyanzo vingi sana vya umeme na wanasaidiana. Tujikumbushe ya ugiriki. Putin Hana akili. Mteja ana option nyingi sana za kwenda kwingine.
Na aliyekwambia Ujerumani inafanya manunuzi Urusi kwa kutumia Rouble nani? Ebu jiridhishe kwanza kabla hujajibu.Vita ya kiuchumi alianza US dhidi ya China. Hakuna chanzo cha nishati kwa sasa duniani kinachoipiku gesi.Tulisema mwanzo hapa na tumeona nchi zote zimepwaya mbele ya Urusi.Nchi jeuri kama Ujerumani imeufyata sasa.Wangeacha kununua kwa rubli nchi ingepinduliwa.
Sasa km halipi wamfanyaje anadaiwa halafu anakuwa upande wa adui ndio maana Russians wamekasilika wakampe umeme anaowashobokeaUlaya sio Africa. Wana vyanzo vingi sana vya umeme na wanasaidiana. Tujikumbushe ya ugiriki. Putin Hana akili. Mteja ana option nyingi sana za kwenda kwingine.
Opportunity costUlaya sio Africa. Wana vyanzo vingi sana vya umeme na wanasaidiana. Tujikumbushe ya ugiriki. Putin Hana akili. Mteja ana option nyingi sana za kwenda kwingine.
Ataenda, lengo alipie huduma sio dezo.Ulaya sio Africa. Wana vyanzo vingi sana vya umeme na wanasaidiana. Tujikumbushe ya ugiriki. Putin Hana akili. Mteja ana option nyingi sana za kwenda kwingine.
Mteja ambaye hana hela ya kulipia bidhaa au huduma unam retain kwa kazi gani? Nafikiri baina yako na Putin wewe ndio popoma!Ulaya sio Africa. Wana vyanzo vingi sana vya umeme na wanasaidiana. Tujikumbushe ya ugiriki. Putin Hana akili. Mteja ana option nyingi sana za kwenda kwingine.
Fuatilia vitu deeply acha mahaba amna Member ambaye kasalia kwenye mgomo watalipa ruble mpaka 2026 watakapopat mbadalaNa aliyekwambia Ujerumani inafanya manunuzi Urusi kwa kutumia Rouble nani? Ebu jiridhishe kwanza kabla hujajibu.
Waende kwengine umeme wa bure hakunaUlaya sio Africa. Wana vyanzo vingi sana vya umeme na wanasaidiana. Tujikumbushe ya ugiriki. Putin Hana akili. Mteja ana option nyingi sana za kwenda kwingine.
Kuna wazungu wanapenda mteremkoHawalipi Mpaka Wakatiwe
Hii lugha ya kujifariniUlaya sio Africa. Wana vyanzo vingi sana vya umeme na wanasaidiana. Tujikumbushe ya ugiriki. Putin Hana akili. Mteja ana option nyingi sana za kwenda kwingine.
Ulaya sio Africa. Wana vyanzo vingi sana vya umeme na wanasaidiana. Tujikumbushe ya ugiriki. Putin Hana akili. Mteja ana option nyingi sana za kwenda kwingine.
Umeme sio kama bidhaa kwamba utaenda kwingine ubebe na gar au meli ulete, unahitaji miundombinu na mpaka itengenezwe ni gharama na muda.Ulaya sio Africa. Wana vyanzo vingi sana vya umeme na wanasaidiana. Tujikumbushe ya ugiriki. Putin Hana akili. Mteja ana option nyingi sana za kwenda kwingine.
Unashindwa nini ku Google na kuujua ukweli? Anyway, ngoja niwasaidie wavivu wa kusoma. Ujerumani inalipa kwenye banks za Urusi kwa kutumia Euro Currency. Kisha banks zinalipa Urusi kwa kutumia Rouble. Na hayo ndio makubaliano baada ua Ujerumani kugoma kulipa kwa Rouble. Umeelewa?Fuatilia vitu deeply acha mahaba amna Member ambaye kasalia kwenye mgomo watalipa ruble mpaka 2026 watakapopat mbadala
Bwege kweli sasa kama mfano wewe ukiambiwa ulipie mzigo wa DHL kwa dollar 100 kisha ukasema unagomea kulipa kwa dollar ila utalipa Tsh. 232,600 ili DHL wenyewe waiconvert kwenda kwenye dollar kabla ya kuidhinisha malipo yako whats the difference zaidi ya utoto?Unashindwa nini ku Google na kuujua ukweli? Anyway, ngoja niwasaidie wavivu wa kusoma. Ujerumani inalipa kwenye banks za Urusi kwa kutumia Euro Currency. Kisha banks zinalipa Urusi kwa kutumia Rouble. Na hayo ndio makubaliano baada ua Ujerumani kugoma kulipa kwa Rouble. Umeelewa?