yenyewe
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 621
- 94
Hili jina haliendani na taaluma yako mkuu.
Ni fisi mtafuna mifupa. Inawezekana naye anatafuna sana
Hili jina haliendani na taaluma yako mkuu.
wadada wengne huwa wana tabia ya kujitongozeshatongozesha kwa marecturers ili wapewe maks za mezani. Matokeo yake marecturer nao wanakuja kujenga tabia ya kuomba uroda ili watoe maks maana washajengewa mazingira kwamba hilo linawezekana
Haya mambo wawadanganye ambao hawajapitia vyuoni...rushwa ya ngono ni two way traffic...na wengi wa wanaolalamika vichwani zero...huwezi kuwa na akili ukajiliza eti lecturer ananitaka..
Wewe sasa hivi karibu kila simu ina record...hata hakuna haja ya kuunda tume...unaweza kusanya ushaidi mwenyewe...mi wala sikubaliani na hawa wanaolalama...mimi mwenyewe nafundisha...and am telling you watu wanao appeal in many cases unajikuta unashangaa ametoa wapi nguvu za ku appeal wakati hakuna alichojibu...acheni porojo...someni...
Na appeal zinazopita unakuta ni sababu tu external examiner ameamua kutumia power yake kuongeza tu marks...
Nani ata risk kazi yake sababu ya ngono wakati wanawake wapo kila kona...mnakubali wenyewe kuwa na mahusiano ili mpewe marks...
Naona mge suggest kuwa iwekwe sheria ya kuzuia mahusiano ya kimapenzi kati ya lecturer na mwanafunzi...hata mimi ntaunga mkono...maana kuna watu wanapewa marks za ch.upi...
Ila kusema wanalazimishwa...nakataa...kama hutaki huwezi kulazimishwa kwa tishio la kufelishwa...kwa sababu hakuna chuo kitakachomlinda lecturer anayedai rushwa ya ngono pindi ikibainika...
Mnapenda kujadili vitu bila data. Chunguzeni ndio mlete humu. Utafiti tuliofanya UDSM,ARU,MZUMBE na IFM mahusiano yapo,ila kufelishwa au kudisco sababu ya kukataa mapenzi hakuna wanafunzi wanafeli kwanza ndio wanasingizia kutakwa kimapenzi kabla ya kufeli hakuna hizo habari.huwezi zuia mahusiano vyuoni. Mkiwa vyuoni someni sio mademu na kujirusha unaanza shule week 14.
sup 4,.!! Kwahyo dada yako ni mzuri kiasi kwamba alitakwa na walimu wanne??? Mpongeze.
sahihi kabisa,kuna
uwezekano hizi SAP ziliongezwa..Ila sasa vyuo vingine siunajua kuwa
ukipata SUP zaidi ya 3 kwaheri.....?!!
Inategemea na situation mamie....nilikumbwa na mkasa huooo...ningeshare ila ndo mpaka nipate ruhusa ya kusimulia......!
Ila sio wote vilaza, kuna wakati unaweza kujikuta uko kwenye trap..huna la kufanya...!
ha ha ah...na ukute katika waliomkamata kuna ma lecturer wa kike...ha ha ha...acheni kulia lia...someni....
uki appeal paper inapitiwa upya tena na external examiner...afu unakuta marks zinashuka zaidi badala ya kupanda...
Watu tumesoma vyuo hiv hivi...na tuna mvuto na hakuna aliyewahi hata kutusemesha neno kuhusu love...sababu kichwani zimo...someni hachaneni na facebook...
sometimes hawa lecturers wanakuwa na ushirikiano so ukizinguana na mmoja anawaambia na wenzake wakukarabati,au muda mwingine yeye anaweza asikushike ila akawaambia wenzake wakushike(muda mwingine ili kupoteza ushahidi) na hii huwa inatokea mara nyingi kwa wanafunzi wakiume wenye bifu na malecturer.