Rushwa za ngono kwa lecturers vyuoni

Rushwa za ngono kwa lecturers vyuoni

Nahisi alikuwa anajaribu ku Pre empty hii issue kabla hajafukuzwa ili kunitisha nimuombe msamaha kwake iwe ngao yakunishinda.

Nilikataa kumuomba msamaha na chuo wakafanya taratibu zao mpaka kufikia hatua ya kujiridhisha kuwa anatakiwa kufukuzwa.

Kesi aliyonifungulia mahakamani ni ya madai...anasema nimemdharirisha.


Pole sana....ila utashinda
 
Haya mambo wawadanganye ambao hawajapitia vyuoni...rushwa ya ngono ni two way traffic...na wengi wa wanaolalamika vichwani zero...huwezi kuwa na akili ukajiliza eti lecturer ananitaka..

Nakubaliana na wewe kabisaa..!!
 
Huu ni uongo,Mimi ni lecturer na tangu nasoma hapo 2003 kulikuwa na maneno Haya. Nilipoajiriwa hapo hapo nimefanya tafiti binafsi nimegundua wanafunzi hujilengesha ili wapewe marks Hii ni 70%. 30% ni mengineyo. Sapu ni process inayoanzia assignment,test 2 au 3 na final exam.hivi humo mote unaonewa we umekaa tu.kuwa na sapu moja inaweza fikirika. Bali sapu 4 ???.hapo wengi hutafuta scape route. Matokeo yote yanakuwa checked so kama umeonewa una haki kuappeal. Hapa wengi mnadanganyana.wanyonge tunyongeni ila haki yetu tupeni.

Waaambie wengi hawajui
 
sometimes hawa lecturers wanakuwa na ushirikiano so ukizinguana na mmoja anawaambia na wenzake wakukarabati,au muda mwingine yeye anaweza asikushike ila akawaambia wenzake wakushike(muda mwingine ili kupoteza ushahidi) na hii huwa inatokea mara nyingi kwa wanafunzi wakiume wenye bifu na malecturer.

Una ushahidi? Wangapi yamewatokea hayo na walijuaje?
 
warumi kama ni kuvua vua watu nguo sio wahadhiri tu... hata mapolisi, walimu, mahakimu, wabunge, ... hata.... hata wachungaji boss

Hapo umemaliza ngoja nitulie.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wakuu.

Kwa wenye uelewa zaidi juu ya hili tushirikishane namna tunavyo/tulivyo kabiliana nalo.

Kwa mwana chuo yeyote(japo kila sehemu lipo), hatakuwa mgeni na hili tatizo hasa kwa ladies.

Nikisema tamaa nitakosea kwasababu kila mtu anatamaa ila tunatofautiana mipaka, vyuoni dada zetu(wanaojiheshimu) wanapata shida kutokana na ma lecturers(SI WOTE) kupenda kuomba rushwa ya ngono.

My sister ni victim na amejikuta anapewa SAP 4 kisa aligoma kutoa hii rushwa yenye majuto sana.

Now ndio anasoma Bachelor accounting lakini ilibidi awe na degree yake kitambo.

Rafiki zaku wana kazi na familia tayari. Nini kifanyike ndugu zangu?

Humu Jamiiforums wapo wanao lielewa vizuri hili sasa tushirikishane mawazo maana ukiacha swala la tabia binafsi ya mtu, dada zetu wanaojiheshimu wanapata tabu sana toka kwa hawa watu wasioridhika (hata wanawake walioolewa wanaombwa hii kitu.

Leo dada yangu kesho huwezi jua nani next.

Tusemezane wakuu

Ni hilo limenigusa kwa leo, UKIZINGATIA HILI LINA ATHIRI MAHUSIANO YA WATU.

Kuna rafiki yangu mmoja binamu wake wa kike alipatwa na tatizo kama hili ushauri aliompa ni kuwa amkubalie huyo lecturer.. Baada ya makubaliano huyo mdada na lecturer wakapanga appointment ya siku ya tukio lenyewe na siku ya siku ilipofika walipokutana kabla ya mtanange demu akamtumia msg nduguye aje kuvamia hicho chumba na yule lecturer akapigwa pics kadhaa za uchi na jamaa wakaondoka nazo.... Baada ya lile tukio yule mdada alijikuta toka kipindi kile yupo mwaka wa 2 mpaka anamaliza mwaka wa 3 hakuna siku aliyowahi kupata C wala Supp mpaka anamaliza chuo na heshima yake ilizidi kuwa kubwa maradufu kutoka kwa malecturers wa chuo hicho
 
Kwa hiyo alitumia picha za u.chi za lecturer mmoja ku blackmail ma lecturer wote wa chuo hicho????
Wote walikuwa wanamtaka??? Kwa nini mnapenda ku exaggerate kuwa lecturers woote ni animals?

Kuna rafiki yangu mmoja binamu wake wa kike alipatwa na tatizo kama hili ushauri aliompa ni kuwa amkubalie huyo lecturer.. Baada ya makubaliano huyo mdada na lecturer wakapanga appointment ya siku ya tukio lenyewe na siku ya siku ilipofika walipokutana kabla ya mtanange demu akamtumia msg nduguye aje kuvamia hicho chumba na yule lecturer akapigwa pics kadhaa za uchi na jamaa wakaondoka nazo.... Baada ya lile tukio yule mdada alijikuta toka kipindi kile yupo mwaka wa 2 mpaka anamaliza mwaka wa 3 hakuna siku aliyowahi kupata C wala Supp mpaka anamaliza chuo na heshima yake ilizidi kuwa kubwa maradufu kutoka kwa malecturers wa chuo hicho
 
nakutaja ww lectural mwamfu.......... ulichomfanyia dada wa watu mpaka kumtafutia kosa na dada wa watu kaacha chuo kisa ww ?????haina shida mungu anamtetea huku mtaani na ameshaenda chuo kingine ila laana ya kupenda ngona itakupeleka pabaya,maisha mafupi duniani tunapita dada wa watu angemaliza chuo muda sana ila ujue mpaka sasa ananung'unika kwa sababu yako

Embu taja na chuo kabisa ili wengine tuweze kumfuatilia vizuri na kumwajibisha inapobidi
 
Back
Top Bottom