Rushwa za ngono kwa lecturers vyuoni

Rushwa za ngono kwa lecturers vyuoni

Itakuwa udhalilishaji....

Ila wanafunzi wengi wanajilengeshaga tu ,tena wakati mwingine unakuwa ni mpango mkakati wa darasa zima.

Duuh kumripoti mtu na kuleta uthibitisho ni kumdhalilisha hapo sasa
 
huenda hapa tz ndio limekithiri
1. Ukijiheshimu sidhani kama utasumbuliwa kuna wadada wengine unaweza kukuta wanajipendekeza au kujichekelesha kwa lecturers ili wapewe marks za bure.
2. Na kama kuna vithibitisho vya uonevu kwanini asishtakiwe kwenye uongozi wa juu?
3. Hizo supplementary 4 i doubt kama kweli,nahisi kuna za halali kafeli mwenyewe bila kufelishwa.
 
Hii mada imenifanya nikumbuka kipindi niko chuoni kuna mwalimu alikuwa ananichukia saaaana...
Sielewi kwa nini maana alikuwa anampenda sana best yangu...tena anampenda saaana; lakini hawakuwa lovers ila unaona kabisa akiingia darasani attention yote kwa huyu mdada (wanatoka mkoa mmoja ambao by then wasomi wa kuhesabu)...
Sijui alikuwa ananiona mimi namzibia or what...sielewi...

Huyu mwalimu alikuwa TA tu ...sasa kuna zile group assignment; group langu lilipata marks za mkiani...nadhani 2/10 maana marks 5 zilikuwa marking 5 presentation...mi ndo nilipresent paper yetu...yani kila baada ya dk mmoja ananikatisha kunipinga tena kwa kejeli yani ile intimidation ya wazi mpaka darasa zima linanicheka...

But you know what...the lecturer himself alikuwa baba mmoja mtu mzima sana...yeye alikuwa na marks 90 zilizobaki...huyu TA alichoka siku anagawa course work mimi nina marks nyingi kuliko yeyote (niliongoza...ilikuwa law) yani nilimwangalia kwa kejeli nikaona anatetemeka kwa hasira...

Baadae na mimi nikaajiriwa na chuo hicho hicho...nikimwangalia sasa hivi natamani kumkumbusha maana anajikausha...

Ndio maana nasema the so called victims (kama wapo) wana tatizo zaidi ya hilo...hawajiwezi darasani...

Suala lipo hivi:
Ni kwa wahadhili na wanafunzi,wote kwa ujumla wao.Hata mdada akiwa na akili akishajiingiza kwenye mahusiano na mhadhili anajisahau kusoma kiasi cha kufeli kila course akidhani masomo yote yanafundishwa na mpenzi wake yaani mhadhili.
Huyo meada akigombana na mpenzi wake mambo huharibika kabisa.
Mtu kukamatwa course 4 ni possible,hasa pale ambapo mpenzi na huyo dada ana marafiki wengine ambao ni wahadhili as huwa wanashirikiana hawa wahashili wetu.Pia,mahusiano kati ya mdada /mwanachuo na mhadhili wake sio kitu kibaya kwani mke/mme hupatikana popote,sema tu ubaya unakuja Katoka Suala mzima la marking,,,,,hapo ni shida,ndipo ubaya wa mahusiano wa hawa wapenzi hujitokeza.
Dada zetu pia Acheni kujilengesha kwa wahadhili,nanyi wahadhili tambueni kuwa ninyi ni walezi,mwahitaji kuwalea vema hawa viumbe!!!!!!
Ni sawa kabisa,kuwe na MATIONAL EXAM,maana hawa wahadhili wanasumbua sana Kisa Yeye kashika kwenye makali na wanafunzi kwenye mpini ni sheeeeeeeeda
 
Hii mada imenifanya nikumbuka kipindi niko chuoni kuna mwalimu alikuwa ananichukia saaaana...
Sielewi kwa nini maana alikuwa anampenda sana best yangu...tena anampenda saaana; lakini hawakuwa lovers ila unaona kabisa akiingia darasani attention yote kwa huyu mdada (wanatoka mkoa mmoja ambao by then wasomi wa kuhesabu)...
Sijui alikuwa ananiona mimi namzibia or what...sielewi...

Huyu mwalimu alikuwa TA tu ...sasa kuna zile group assignment; group langu lilipata marks za mkiani...nadhani 2/10 maana marks 5 zilikuwa marking 5 presentation...mi ndo nilipresent paper yetu...yani kila baada ya dk mmoja ananikatisha kunipinga tena kwa kejeli yani ile intimidation ya wazi mpaka darasa zima linanicheka...

But you know what...the lecturer himself alikuwa baba mmoja mtu mzima sana...yeye alikuwa na marks 90 zilizobaki...huyu TA alichoka siku anagawa course work mimi nina marks nyingi kuliko yeyote (niliongoza...ilikuwa law) yani nilimwangalia kwa kejeli nikaona anatetemeka kwa hasira...

Baadae na mimi nikaajiriwa na chuo hicho hicho...nikimwangalia sasa hivi natamani kumkumbusha maana anajikausha...

Ndio maana nasema the so called victims (kama wapo) wana tatizo zaidi ya hilo...hawajiwezi darasani...

ni kweli ukijua kilichokupeleka utamaliza salama coz hawezi kukufelisha kila kitu akufelishe mtihani,akufelishe group assignment,akufelishe presentation mwisho wa siku ata give up ataona tu hapo sipo.

kuna mtihani mmoja matokeo yalitoka ya wanafunzi wote kasoro matokeo yangu yaka miss,ofice ambayo iko responsible na ku release matokeo wakaniambia matokeo yangu hayapo hata kwenye soft copy,nikawaomba tukapekue mitihani ilipo u wont believe it mtihani wangu kweli haukuwepo.

Ikabidi nimfuate lecturer wa hilo somo imagine akaniambia ntakuwa sijafanya huo mtihani the good thing wakati wa mitihani kila mwanafunzi hupewa kadi yenye masomo anayotakiwa kuyafanyia mtihani na baada ya mtihani lazima superviser a sign pembeni ya hilo somo,ndio iliyoniokoa kuwa niliufanya.

To make the story short alinitungia mtihani mwingine kesho yake nikaufanya na niliufanya vizuri ila kila niliyekuwa namuadidhia alikuwa haelewi hiyo senario it was so weird na haijawai kutokea,na wala hajawai kunitongoza sasa sijui ni nini kilikuwa kichwani mwake.
 
Hii mada imenifanya nikumbuka kipindi niko chuoni kuna mwalimu alikuwa ananichukia saaaana...
Sielewi kwa nini maana alikuwa anampenda sana best yangu...tena anampenda saaana; lakini hawakuwa lovers ila unaona kabisa akiingia darasani attention yote kwa huyu mdada (wanatoka mkoa mmoja ambao by then wasomi wa kuhesabu)...
Sijui alikuwa ananiona mimi namzibia or what...sielewi...

Huyu mwalimu alikuwa TA tu ...sasa kuna zile group assignment; group langu lilipata marks za mkiani...nadhani 2/10 maana marks 5 zilikuwa marking 5 presentation...mi ndo nilipresent paper yetu...yani kila baada ya dk mmoja ananikatisha kunipinga tena kwa kejeli yani ile intimidation ya wazi mpaka darasa zima linanicheka...

But you know what...the lecturer himself alikuwa baba mmoja mtu mzima sana...yeye alikuwa na marks 90 zilizobaki...huyu TA alichoka siku anagawa course work mimi nina marks nyingi kuliko yeyote (niliongoza...ilikuwa law) yani nilimwangalia kwa kejeli nikaona anatetemeka kwa hasira...

Baadae na mimi nikaajiriwa na chuo hicho hicho...nikimwangalia sasa hivi natamani kumkumbusha maana anajikausha...

Ndio maana nasema the so called victims (kama wapo) wana tatizo zaidi ya hilo...hawajiwezi darasani...

This's a GREAT TESTIMONY!, hongera sana mfano wa kuigwa....kichwani to be precise!, itasaidia kwa mtu aliyekata tamaa,
Hivi I have a question, ume mentiona kuwe na sheria ya kulinda wanafunzi in this area, hii nchi haina sheria kabisa kama hiyo au hata ya kufanana nayo?
 
Kwani mpaka uuziwe kesi? Utanunua kesi ngapi na katika vyuo vingapi? Kinachotakiwa hapa ni mchango wako ili watu mbalmbali na katika vyuo mbalimbali vyenye wakufunzi wenye tabia hizi washughulikiwe ipasavyo.
Sisi katika chuo fulani, kulikuwa na wakufunzi wenye tabia kama hizi za kushika watu ama kwa kutaka rushwa ya ngono ama ya pesa ama kutaka kujulikana kama yeye ni muhimu anashikilia maisha ya wanafunzi kitaaluma.
Tukapendekeza yafuatayo:
Mkufunzi mmoja asishike somo lote katika darasa moja, badala yake wakufunzi wenye ujuzi wa somo husika wagawane mada (topics)katika mikondo tofauti tofauti. Wakati wa mtihani kila mkufunzi atunge maswali ya mada aliyofundisha na asahihishe.
Matokeo ni kuwa mkufunzi mwenye tabia kama hiyo chafu, wanafunzi walikwepa kufanya maswal yake. Mkufunzi alikosa posho ya kusahihisha. Kwa hiyo akakosa mwana na maji ya moto pamoja.
Pili tukaanzisha utaratibu wa kufanya mtihani wa marudio pamoja na darasa lingine linalofanya mtihani wa somo alorudia (Kunaitwa ku carry).Hii ilisababisha kutojua hasa ni nani anafanya SUP au anafanya kwa mara ya kwanza. Hatua iliwanyima fursa ya kuwa target watu wanaokusudiwa kuadhbiwa kwa sababu ya kuwanyima papuch wanaume wakware.
Matokeo yake unyanyasaji wa jinsi hii ulifutika. Wakufunzi walijirekebisha. Lakini kama kawaida wahalifu nao wakibanwa kwa upande huu hubadili mbinu nyingine ya kufanikisha mawindo yao.
Lakini wapo wadada wachache wenye kupenda vya mteremko nao hawaachi kuwashawishi wakufunzi ili wawasaidi kwa kutimia silaha yao butu lakini yenye makali kote kote rohoni kichwani na chini ya kitovu. Hawa nao wanapaswa kutafutiwa dawa sio kuwaandama tu wakufunzi. Lakini pia wapo wanafunzi wavivu ambao hukamatwa kwa halali lakini kuficha aibu wanawasingizia wakufunzi. Ili kuondoa tatizo hili chuo kinaruhusu kukata rufaa. Mkufunzi mwingine 'Independent' hurudia kusahihsha upya mtihan wa mrufani. Warufani wachache hushinda rufani zao na wengine huthibitika kuwa walishindwa kwa haki.
Malalamiko ya mwanamke yanapaswa yaangaliwe kwa makini. Kwa wenzetu Waislam, ushahidi wa mwanamke sharti uthibitishwe na mtu mwingine wa pili - hauaminiki
Siamini km huu uzi umekosa michango ya kutosha!
mke wa jamaa yng alitakwa na lecturer, daah alikosa raha!
Niliomba kuuziwa kesi, nilivoimaliza sasa! Yule lecturer hatakaa anisahau dawamu!
 
Haya mambo wawadanganye ambao hawajapitia vyuoni...rushwa ya ngono ni two way traffic...na wengi wa wanaolalamika vichwani zero...huwezi kuwa na akili ukajiliza eti lecturer ananitaka..

miss you
 
Hakuna sheria...well sheria could be too much maana hatuwezi ku code kila kitu into law...
Ila walau Wizara ya Elimu ingekuwa na codes of conduct (sijuhi Ethics) kuwa ni marufuku mwalimu ku date mwanafunzi...au kwa kuwa ni watu wazima, basi mahusiano ya hivyo yawe reported kwa uongozi wa chuo ili yawe monitored yasivuruge utaratibu wa ku control quality ya wanafunzi...

Hili pia lita limit walimu vitombi...mwalimu mmoja wasichana 100...
Aibu kwa kweli...na ni kweli wanawapa wanawake wao marks wasizostahili...
Ila kwa kuwa most of them ni vilaza..hizo marks haziwatoi mkiani...kwingine wananing'inia...but that's not fair kwa wanafunzi wanaojipinda na wasiopenda upuuzi...

This's a GREAT TESTIMONY!, hongera sana mfano wa kuigwa....kichwani to be precise!, itasaidia kwa mtu aliyekata tamaa,
Hivi I have a question, ume mentiona kuwe na sheria ya kulinda wanafunzi in this area, hii nchi haina sheria kabisa kama hiyo au hata ya kufanana nayo?
 
  • Thanks
Reactions: kui
Hakuna sheria...well sheria could be too much maana hatuwezi ku code kila kitu into law...
Ila walau Wizara ya Elimu ingekuwa na codes of conduct (sijuhi Ethics) kuwa ni marufuku mwalimu ku date mwanafunzi...au kwa kuwa ni watu wazima, basi mahusiano ya hivyo yawe reported kwa uongozi wa chuo ili yawe monitored yasivuruge utaratibu wa ku control quality ya wanafunzi...

Hili pia lita limit walimu vitombi...mwalimu mmoja wasichana 100...
Aibu kwa kweli...na ni kweli wanawapa wanawake wao marks wasizostahili...
Ila kwa kuwa most of them ni vilaza..hizo marks haziwatoi mkiani...kwingine wananing'inia...but that's not fair kwa wanafunzi wanaojipinda na wasiopenda upuuzi...

That's what I Meant @#nyumbakubwa, Code of Ethics, kulinda wanafunzi especially wa kike na wanaojituma cause hao vilaza wanaendeleza tabia mbofumbofu mpaka wanapokuwa makazini, utakuta hardworkers rarely go far but vilaza do, wanakuwa na mahusiano na bosses and all they do is spread their legs, and they are in rubbing shoulders with the big shots
 
I wish watu wa Wizara wangepitia huu uzi..
Na Utumishi as well...

I also hate it pale anapoachwa mtu anayejipinda afu lijitu lina spread her legs ili liwe promoted...

Nikimaliza shule ntaandika paper kuhusu hii issue afu na publish, copy ntawapa utumishi na wizara ya elimu...
Maana wa kuleta changes ni mimi na wewe...

Kuna mjerumani mmoja anafanya research kuhusu elimu ya Tz nilifanya nae skype interview...yani nilifika kipindi nikawa naona aibu kwa niaba alivyokuwa ananitwanga maswali...na hili aligusia..

To my knowledge walimu wa sekondari kushuka chini wana discipline zaidi kwenye hili kwa kuwa Wizara na jamii haiwachekei ...vyuoni ndio hali mbaya kwa kuwa no one cares..

utume ujumbe haraka uende Bungeni..... huko wapo wote wasafi na wafujaji watalijadili hili virus !!
 
Jamani mi naona tujadili kwa hoja namna hawajamaa wanavyoomba rushwa na wanapo kataliwa namna gani wanafikia hatua ya kuwapa sup hawa Dada zetu. Nikiwa pale chuo kikuu kuna Dada mmoja alipataga sup kwa uzembe au kihalali kabisa, badala yakuitoa ilesup yeye kwa kukusudia akaenda kumbeleza lecturer acute sup akijifanya eti anampenda kweli yule lecturer alimtega mwisho wasiku sup ikafutwa na yeye akawa ajigamba kwa wenzie. Sasa huyo aliepata sup NNE inamaana huyo aliempa sup anafundisha kozi NNE peke yake? Maana isije ikawa alipata sup kihalali lakini yeye katika kujitetea anasema lecturer aliye mtongoza amemfelisha kitu ambacho so cha kweli. Tunaomba wadada wachangie katika Hilo watuambie ukubwa was tatizo ukoje.

Wadanganywe ambao hawakupita chuo!! Sup 4 inamaana anafundishwa course 4 na mwalimu mmoja?kutongozwa kupo sana lakini....
 
I wish watu wa Wizara wangepitia huu uzi..
Na Utumishi as well...

I also hate it pale anapoachwa mtu anayejipinda afu lijitu lina spread her legs ili liwe promoted...

Nikimaliza shule ntaandika paper kuhusu hii issue afu na publish, copy ntawapa utumishi na wizara ya elimu...
Maana wa kuleta changes ni mimi na wewe...

Kuna mjerumani mmoja anafanya research kuhusu elimu ya Tz nilifanya nae skype interview...yani nilifika kipindi nikawa naona aibu kwa niaba alivyokuwa ananitwanga maswali...na hili aligusia..

To my knowledge walimu wa sekondari kushuka chini wana discipline zaidi kwenye hili kwa kuwa Wizara na jamii haiwachekei ...vyuoni ndio hali mbaya kwa kuwa no one cares..

True, very true, we're the ones to make changes, and then imagine hao vilaza eti ndo our next generation?!, am backing your effort 200% gal, I wish wahusika can take action sooner than later cause they already know what's going on but, ndo hivo tena...and for now wadada tungekomalia kama ulivomkomalia lecturer Kitombi
 
Kwa nini alikushtaki sasa??kwa kosa gani??

Nahisi alikuwa anajaribu ku Pre empty hii issue kabla hajafukuzwa ili kunitisha nimuombe msamaha kwake iwe ngao yakunishinda.

Nilikataa kumuomba msamaha na chuo wakafanya taratibu zao mpaka kufikia hatua ya kujiridhisha kuwa anatakiwa kufukuzwa.

Kesi aliyonifungulia mahakamani ni ya madai...anasema nimemdharirisha.
 
Back
Top Bottom