Rushwa za ngono kwa lecturers vyuoni

Rushwa za ngono kwa lecturers vyuoni

ahsante kwa hii thread nilikuwa naiwazia kitambo sanaaaaaa!!!!!
tusemeni tu ukweli bila kuonea nchi ya tanzania ni ya kixenge!!!
kwa sababu kama raisi anashindwa kuliendesha baraza lake si aachie madaraka!! mimi ila tanzania elimu yake na uongozi wake wa kixenge!!!
nina ushaidi juu ya rafiki yangu amedisco kisa amemgombania demu na lecturer demu kamkataa lecturer mwisho wa siku jamaa kadisco na hii inatokana hakuna mahali pa kuweka haya mashtaka elimu ya juu ni ya udhalilishaji lecturer waxenge sana!!!
ngoja kidogo niweke chaji niwarudie wanajeshi nao pia waxenge wanatabia hizi hizi haonewi mtu ila ni ukweli unawekwa wazi..........!!!!

Nakubali,uongozi karibu katika kila nyanja umekuwa tatizo nchini Tanzania....hilo liko wazi,viongozi wa kweli wengi walishwa kufa "kama sio kuuawa"..ni shida.
 
Ipo but sizani ni hadi kupeana sup tano! Coz lecturer unakuta anakufundisha somo moja au mawili sizani kama hilo linawezekana! Na pia kama lina wezekana ange appeal coz wanasahihisha wengine.

sahihi kabisa,kuna uwezekano hizi SAP ziliongezwa..Ila sasa vyuo vingine siunajua kuwa ukipata SUP zaidi ya 3 kwaheri.....?!!
 
Anaweza akawa lecture at the same at akawa co- ordinator , so anaweza kufanya chochote anachoweza ata kukuwekea disco. Hizi kesi zilikuwepo sana chuo kwetu, mademu wengi walimaliza na vyeti fake, unakuta mtu chuo aonekani mwezi na paper hajafanya, matokeo yakitoka unaona kafaulu, hii nchi elimu ni uozo mtupu, elimu inanunuliwa
 
Haiwezekani mtu anyanyasike alafu akae kimya. Naweza kusema either ni woga na kutojiamini, au wengine ndo wanafurahia kuipata nafasi hiyo. Siku hizi kuna njia nyingi, kwa nini asifanye mpango wa kumkamatisha huyo lecturer with evidence ili iwe njia ya kumkomesha

Wazo zuri mkuu,nimelipenda sana! ila sasa ikibuma hiyo njama ndio ujue THE END..nao wako makini sana tu.
 
Anaweza akawa lecture at the same at akawa co- ordinator , so anaweza kufanya chochote anachoweza ata kukuwekea disco. Hizi kesi zilikuwepo sana chuo kwetu, mademu wengi walimaliza na vyeti fake, unakuta mtu chuo aonekani mwezi na paper hajafanya, matokeo yakitoka unaona kafaulu, hii nchi elimu ni uozo mtupu, elimu inanunuliwa

Ujue watu weshakariri inabid ifike mahali watu tuchange kwa mfano kwani lecturer akija class akifanya yake akiondoka na wew ukifanya yako ukiondoka atakuonea wapi? Ujue hawo unakuta washakuwa wapenz tayari afu wakazinguana
 
sahihi kabisa,kuna uwezekano hizi SAP ziliongezwa..Ila sasa vyuo vingine siunajua kuwa ukipata SUP zaidi ya 3 kwaheri.....?!!

Ni kweli lakini pia ni ngumu may be kwa hao wengine' ila kwa mm niongezew sup ni shidaaaa yaani siku hiyo hiyo tume itaundwa kuchunguza
 
nimekuelewa,kwa mtu ulie serious sitashangaa ukiunda tume! inauma,3 years bure!!!...chuoni kuna mengi.
 
Baadhi ya wasichana nao wanatoboa sababu wanajilengesha. Ina faida na hasara. Wapo wanaofaidika.
 
Huu ni uongo,Mimi ni lecturer na tangu nasoma hapo 2003 kulikuwa na maneno Haya. Nilipoajiriwa hapo hapo nimefanya tafiti binafsi nimegundua wanafunzi hujilengesha ili wapewe marks Hii ni 70%. 30% ni mengineyo. Sapu ni process inayoanzia assignment,test 2 au 3 na final exam.hivi humo mote unaonewa we umekaa tu.kuwa na sapu moja inaweza fikirika. Bali sapu 4 ???.hapo wengi hutafuta scape route. Matokeo yote yanakuwa checked so kama umeonewa una haki kuappeal. Hapa wengi mnadanganyana.wanyonge tunyongeni ila haki yetu tupeni.
 
Huwezi kuwawekea mtego kumwitia P.C.C. then wamshughulikie
 
wadada wengne huwa wana tabia ya kujitongozeshatongozesha kwa marecturers ili wapewe maks za mezani. Matokeo yake marecturer nao wanakuja kujenga tabia ya kuomba uroda ili watoe maks maana washajengewa mazingira kwamba hilo linawezekana
 
Lecturer pia ni binadamu mwenye udhaifu. Huanza na wanaojilengesha na mwisho huona kawaida na kuanza kutongoza. Yote mawili hayakubaliki!
 
Huyu lecture anayefundisha Basic English SAUT
Sijui mwaka wa pili,na wa tatu ningemjua kina ningemtaja huyo aliacha kujaza mstokeo ya mfogo wangu ya corse work toka mwaka wa pili akamzungusha wewee akamaliza karudi anamwambia mimi ndio nimeshikilia degree yako jana hiyo mdogo wangu alikuwa na hiyo coursewk akamnyanganya akatunisha. Msuli hiuo jana mpaka leo yule mdogo wangu yuko mwanza haelewi afanyaje anamwambia kulala na mwalimu wako sio shida.nimekasirika nimemwambia amwache amfelishe.yaani nashindwa nifanyaje ntakosa ushahidi tu soon angeupoteza ugali wawatoto huyu hebu niambieni au mipeni jina lake tu
 
Wekeni trap!! Iteni mapolis or p.c.c.b officers watajua namna ya kumshughulikia
 
Vyuoni, makazini na kwingineko mijitu inataka rushwa ya ngono, sijui haijui kutongoza
 
Huyu lecture anayefundisha Basic English SAUT
Sijui mwaka wa pili,na wa tatu ningemjua kina ningemtaja huyo aliacha kujaza mstokeo ya mfogo wangu ya corse work toka mwaka wa pili akamzungusha wewee akamaliza karudi anamwambia mimi ndio nimeshikilia degree yako jana hiyo mdogo wangu alikuwa na hiyo coursewk akamnyanganya akatunisha. Msuli hiuo jana mpaka leo yule mdogo wangu yuko mwanza haelewi afanyaje anamwambia kulala na mwalimu wako sio shida.nimekasirika nimemwambia amwache amfelishe.yaani nashindwa nifanyaje ntakosa ushahidi tu soon angeupoteza ugali wawatoto huyu hebu niambieni au mipeni jina lake tu

kwani unataka kumfanyaje mkuu!?? na huyo mdogo wako naye, kwani akiitoa itaharibika si ampe tu
 
Huu ni uongo,Mimi ni lecturer na tangu nasoma hapo 2003 kulikuwa na maneno Haya. Nilipoajiriwa hapo hapo nimefanya tafiti binafsi nimegundua wanafunzi hujilengesha ili wapewe marks Hii ni 70%. 30% ni mengineyo. Sapu ni process inayoanzia assignment,test 2 au 3 na final exam.hivi humo mote unaonewa we umekaa tu.kuwa na sapu moja inaweza fikirika. Bali sapu 4 ???.hapo wengi hutafuta scape route. Matokeo yote yanakuwa checked so kama umeonewa una haki kuappeal. Hapa wengi mnadanganyana.wanyonge tunyongeni ila haki yetu tupeni.

Hili jina haliendani na taaluma yako mkuu.
 
Wasichana wana mitihani sana...anakaza kuliwa na mwalimu chuo hajui huku mbele bado kuna waajiri nao watataka.
 
ahsante kwa hii thread nilikuwa naiwazia kitambo sanaaaaaa!!!!!
tusemeni tu ukweli bila kuonea nchi ya tanzania ni ya kixenge!!!
kwa sababu kama raisi anashindwa kuliendesha baraza lake si aachie madaraka!! mimi ila tanzania elimu yake na uongozi wake wa kixenge!!!
nina ushaidi juu ya rafiki yangu amedisco kisa amemgombania demu na lecturer demu kamkataa lecturer mwisho wa siku jamaa kadisco na hii inatokana hakuna mahali pa kuweka haya mashtaka elimu ya juu ni ya udhalilishaji lecturer waxenge sana!!!
ngoja kidogo niweke chaji niwarudie wanajeshi nao pia waxenge wanatabia hizi hizi haonewi mtu ila ni ukweli unawekwa wazi..........!!!!

Huyo rafiki yako ameenda kusoma au kugombania K? Kulikuwa na umuhimu gani wa kugombania K isiyo ya mkewe? Ingekuwa mie mzazi wake angenitambua
 
Back
Top Bottom