Huu ni uongo,Mimi ni lecturer na tangu nasoma hapo 2003 kulikuwa na maneno Haya. Nilipoajiriwa hapo hapo nimefanya tafiti binafsi nimegundua wanafunzi hujilengesha ili wapewe marks Hii ni 70%. 30% ni mengineyo. Sapu ni process inayoanzia assignment,test 2 au 3 na final exam.hivi humo mote unaonewa we umekaa tu.kuwa na sapu moja inaweza fikirika. Bali sapu 4 ???.hapo wengi hutafuta scape route. Matokeo yote yanakuwa checked so kama umeonewa una haki kuappeal. Hapa wengi mnadanganyana.wanyonge tunyongeni ila haki yetu tupeni.
nakutaja ww lectural mwamfu.......... ulichomfanyia dada wa watu mpaka kumtafutia kosa na dada wa watu kaacha chuo kisa ww ?????haina shida mungu anamtetea huku mtaani na ameshaenda chuo kingine ila laana ya kupenda ngona itakupeleka pabaya,maisha mafupi duniani tunapita dada wa watu angemaliza chuo muda sana ila ujue mpaka sasa ananung'unika kwa sababu yako
Ujue watu weshakariri inabid ifike mahali watu tuchange kwa mfano kwani lecturer akija class akifanya yake akiondoka na wew ukifanya yako ukiondoka atakuonea wapi? Ujue hawo unakuta washakuwa wapenz tayari afu wakazinguana
sup 4,.!! Kwahyo dada yako ni mzuri kiasi kwamba alitakwa na walimu wanne??? Mpongeze.
Haya mambo wawadanganye ambao hawajapitia vyuoni...rushwa ya ngono ni two way traffic...na wengi wa wanaolalamika vichwani zero...huwezi kuwa na akili ukajiliza eti lecturer ananitaka..
Inategemea na situation mamie....nilikumbwa na mkasa huooo...ningeshare ila ndo mpaka nipate ruhusa ya kusimulia......!
Ila sio wote vilaza, kuna wakati unaweza kujikuta uko kwenye trap..huna la kufanya...!

Masomo 4...????
We naeee
Haya mambo wawadanganye ambao hawajapitia vyuoni...rushwa ya ngono ni two way traffic...na wengi wa wanaolalamika vichwani zero...huwezi kuwa na akili ukajiliza eti lecturer ananitaka..
tumia mda na nafasi iliyopo ili kupata manufaa.