Rushwa nje nje Dodoma Uspika wa Bunge, PCCB mko wapi?

CCM nawashangaa sana, mlituaminisha kuwa Hon Lowassa pesa zote zmeishia kwenye campaign, sasa hizo za kuwahonga wabunge wote amezitoa wapi? SHAME ON YOU MAFISIEMU
 
Ukiondoa hasira zake binafsi, Ndugai was somehow fair akiwa katika kiti
 
Kama hayo ni ya ukweli basi CCM imepoteza dira,mwelekeo na imeishiwa pumzi.
 
CCM wametoa majina 3 ya mgombea wao wa spika, ninavyojua utaratibu hua ni jina 1 kwa kila chama, sasa Lowassa ahonge pesa kwa wabunge ili iwaje wakati hata haijajulikana ni nani atakae pitishwa na chama chenu? Uongo tu
 
mimi naona hapa baadhi ya wanaCCM wameamua kumrarua Ndugai kwa msalahi yao kwakutumia jina la Lowasa.
Hinakubaliana na wewe, kwani katika siasa kuna mbinu njingi. Hii nayo ninaamini ni mbinu ya kisiasa kuhakikisha Ndugai hachaguliwi kwa kumchongea kwamba yeye ni mtu wa Lowassa.
 
Hali ya mji wa Dodoma imechafuka usiku huu baada ya mgombea wa UKAWA Edward Lowasa kuamua kuhamishia nguvu zake kwa mbunge wa Kongwa Job Ndugai. Lowassa amechukua uamuzi huo baada ya aliyedaiwa kuwa mgombea anayemuunga mkono ndani ya CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi kuenguliwa na kamati kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wa CCM taifa Rais mstaafu Jakaya Kikwete.

Uamuzi wa wafuasi wa Lowassa waliobaki ndani ya CCM kumuunga mkono Job Ndugai umefikiwa usiku baada ya kikao kizito kufanyika chini ya mjumbe maalum aliyefahamika kwa jina moja la Peter aliyedai kuwasili Dodoma jioni akiwa na maelekezo maalum ya bwana mkubwa (Lowassa).

Tayari wabunge wameanza kuhongwa pesa kiasi cha kati ya shilingi milioni 1 -2 kwa wabunge wa zamani na milioni 1 hadi laki 5 kwa wabunge wapya.
Pesa hizo zimeanza kugawiwa kwa wabunge wa kanda ya kati usiku majira ya saa 5:40 huku zoezi hilo likipangwa kuendelea hadi alfajiri ya siku ya kamati ya wabunge wa CCM kupiga kura.

Mjumbe huyo maalum kutoka kwa bwana mkubwa anagawa pesa hizo katika hoteli moja maarufu kukaliwa na kambi ya Lowasa iitwayo NAM hotel. Kiasi kingine cha pesa kinagawiwa na mdogo wa mgombea uspika huyo ambaye jina lake halijaweza kufahamika.

Kambi ya Lowassa ndani ya CCM imeapa kuhakikisha kuwa inachukua nafasi ya Spika kwa gharama yoyote ili kukwamisha utendaji wa serikali ya awamu ya tano.

Kila kitu kila siku Lowasa Lowasa, you people are you serious! huwa hamna jambo lingine la kuandika na kujadili?
 
Kama kawaida yenu..mtu mkiwa hamumtaki, mnahushishsa na Lowassa!
 
ukiwa mwana ccm rushwa hongo ni alali ila ukiama ccm lazima wakumbushie uliyoyafanya japo hawawezi kuchukua hatua
 
Uongo ulio lembwa lembwa na marembo kibao ili tu
kutulaghai...hatudanganyiki na uongo wenu.
Spika ni @dr tulia utake usiotake...
yule jamaa mchapa bakora wenzake mkutanoni
hatakiwi kwani kitendo alichokifanya kwenye kampeni
kwa kutembeza mkong'oto kwa wenzake kilitoa picha
mbaya sana....

pia umesahau alienda wapi wakati wa bunge la katiba..??

Hali ya mji wa Dodoma imechafuka usiku huu baada ya mgombea wa UKAWA Edward Lowasa kuamua kuhamishia nguvu zake kwa mbunge wa Kongwa Job Ndugai. Lowassa amechukua uamuzi huo baada ya aliyedaiwa kuwa mgombea anayemuunga mkono ndani ya CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi kuenguliwa na kamati kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wa CCM taifa Rais mstaafu Jakaya Kikwete.

Uamuzi wa wafuasi wa Lowassa waliobaki ndani ya CCM kumuunga mkono Job Ndugai umefikiwa usiku baada ya kikao kizito kufanyika chini ya mjumbe maalum aliyefahamika kwa jina moja la Peter aliyedai kuwasili Dodoma jioni akiwa na maelekezo maalum ya bwana mkubwa (Lowassa).

Tayari wabunge wameanza kuhongwa pesa kiasi cha kati ya shilingi milioni 1 -2 kwa wabunge wa zamani na milioni 1 hadi laki 5 kwa wabunge wapya.
Pesa hizo zimeanza kugawiwa kwa wabunge wa kanda ya kati usiku majira ya saa 5:40 huku zoezi hilo likipangwa kuendelea hadi alfajiri ya siku ya kamati ya wabunge wa CCM kupiga kura.

Mjumbe huyo maalum kutoka kwa bwana mkubwa anagawa pesa hizo katika hoteli moja maarufu kukaliwa na kambi ya Lowasa iitwayo NAM hotel. Kiasi kingine cha pesa kinagawiwa na mdogo wa mgombea uspika huyo ambaye jina lake halijaweza kufahamika.

Kambi ya Lowassa ndani ya CCM imeapa kuhakikisha kuwa inachukua nafasi ya Spika kwa gharama yoyote ili kukwamisha utendaji wa serikali ya awamu ya tano.
 
Last edited by a moderator:

Ukishavuta ndumu ni rahisi sana kutunga habri kama hii..
 
Chama hicho hufukua hasira za wananchi kwa jinsi hii!Kila siasa chafu huanzishwa na wao kwanini!? Mtu mzima kutumia vidole vyako kumchafua mwanachama mwenzako iliupate nini kutoka kwa nani?Ndugai siyo mgeni machoni na masikioni kwa watanzania!You are wasting your time,watanzania siyo wajinga kama unavyo fikiri.Jipangeni upya.
 
Nilitegemea nguvu ya chuma ingetumika kuthibiti uchafu huu.Mungu wangu jamani tuoneeni huruma,wengine tukisikia mambo ya namna hii matumbo yanaumaMagufuli uko wapi?Wewe ndiye rais,kwanini hukumwaga "-----" Dodoma?Au hauwashi siku hizi?
Hali ya mji wa Dodoma imechafuka usiku huu baada ya mgombea wa UKAWA Edward Lowasa kuamua kuhamishia nguvu zake kwa mbunge wa Kongwa Job Ndugai. Lowassa amechukua uamuzi huo baada ya aliyedaiwa kuwa mgombea anayemuunga mkono ndani ya CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi kuenguliwa na kamati kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wa CCM taifa Rais mstaafu Jakaya Kikwete.

Uamuzi wa wafuasi wa Lowassa waliobaki ndani ya CCM kumuunga mkono Job Ndugai umefikiwa usiku baada ya kikao kizito kufanyika chini ya mjumbe maalum aliyefahamika kwa jina moja la Peter aliyedai kuwasili Dodoma jioni akiwa na maelekezo maalum ya bwana mkubwa (Lowassa).

Tayari wabunge wameanza kuhongwa pesa kiasi cha kati ya shilingi milioni 1 -2 kwa wabunge wa zamani na milioni 1 hadi laki 5 kwa wabunge wapya.
Pesa hizo zimeanza kugawiwa kwa wabunge wa kanda ya kati usiku majira ya saa 5:40 huku zoezi hilo likipangwa kuendelea hadi alfajiri ya siku ya kamati ya wabunge wa CCM kupiga kura.

Mjumbe huyo maalum kutoka kwa bwana mkubwa anagawa pesa hizo katika hoteli moja maarufu kukaliwa na kambi ya Lowasa iitwayo NAM hotel. Kiasi kingine cha pesa kinagawiwa na mdogo wa mgombea uspika huyo ambaye jina lake halijaweza kufahamika.

Kambi ya Lowassa ndani ya CCM imeapa kuhakikisha kuwa inachukua nafasi ya Spika kwa gharama yoyote ili kukwamisha utendaji wa serikali ya awamu ya tano.
 
Hivi kwani CCM hamwezi kufanya mambo yenu bila kumsema Lowassa?

Mzee Wa watu keshaamia zake CDM nyie bado mnamfuata fuata tu!
 
Asante kwa kutuburudisha ndugu yetu kisatu wahi ujira kabla January makamba hafajunga MKOBA wake
 
Last edited by a moderator:
usinitukane kabisa bwana mdogo, mi toka 2000 nimekuwa nikipigia kura upinzani, kuanzia ngazi ya udiwani, ubunge mpaka uraisi. Mwaka 2005 -2015 nimepiga suti chadema tu, ubunge udiwan na uraisi.

Bora unitukane tusi lolote kuliko kunita mwana ccm, nimeumia sana
mkuu pole sana kwa niaba ya kamanda.
 
Back
Top Bottom