Rushwa nje nje Dodoma Uspika wa Bunge, PCCB mko wapi?

Rushwa nje nje Dodoma Uspika wa Bunge, PCCB mko wapi?

Ndg zangu wa chama dola ccm.nimegundua mara nyingi mkiamua kumharibia mwenzenu you simply link someone with a retired PM HE.Lowassa. Nawaonya acheni kumharibia Hon.Ndugai na kusababisha bunge kuingia aibu Kwa kuchagua Hao wasomi wenye zero experience ya kuongoza bunge.Kwa utashi wenu.For your information Bunge la 11 will be more powerful na lingemuhusu someone like Job Ndugai.mliona wenyewe kale kamama kalivyoharibu bunge la 10 Na kufanya chama kupoteza baadhi ya majimbo Kwa wananch kuondoa Imani Kwa CCM Shauri ya kushindwa kummbana msemaji wa upande wa pili Kwa hoja hivyo kuonyesha uonevu wa wazi Kwa jamii nzima ya watanzania.I remember wengi wetu ulimkumbuka sana Ndugai.hasa wakati wa chama dola kupitisha kinguvu miswada ya dharula ya gesi na mafuta.na ule wa cybercrime.
Aliwanyima wazi wazi hadharani upande wa pili Muongozo.aarifa wala hoja BINAFSI.hivyo kusababisha msuguano mkali Na Migomo nabaadae hako kama kakawapeleka kwenye Kamati ya nidhamu wapinzani bila kuwasikiliza ie she was "agains rules of natural justice"Wakapewa adhabu ya kufukuzwa bungeni wahusika vikao vingi muhimu upande wa pili.As a resul akawaongezea hasira wananch kuongeza kura Na majimbo Kwa maana ya kuongeza idadi ya wabunge wa upande wa pili.ie upinzani.
Ndugai yeye huwa anagive fursa sawa mbunge anasema Muongozo wake ninini even 10peoples halafu he uses law,regulation,kanuni Na vifungu ku-disagree Muongozo au hoja husika,while smiling.Hivyo kuwafanya wananch Na watanzania Kwa ujumla wasiumie sana kwakuwa hoja imejibiwa Kwa hoja.rejea "we nanii Mnyika Nani Lissu aaha mkosamali nimesema Kaa mimi ndiyo speaker Na nimeshasema hakuna Muongozo hapa .....haya nimeahirisha kikao cha bunge Hadi Kesho 3 asbuhi..." "Only Ndugai can manage multiparty system"

Kikurajembe

Hivi Job N. Ndiyo yule aliyempa kichapo mgombea/ mtangaza nia wa sisiem jimboni kwake enhee??
Nakumbuka alimbeba sugu kama furushi bungeni....hahaa best wishes magamba
 
Mkuu hivi zile hela za kwenye begi na lundo la bahasha za kaki alizo kamatwa nazo yule mhindi pale dodoma wakati ccm ikimtafuta mgombea wao zilikuwa za nani? Rushwa ccm ni suna.
Magamba na rushwa ni dam dam....
 
Usinitukane kabisa bwana mdogo, mi toka 2000 nimekuwa nikipigia kura upinzani, kuanzia ngazi ya udiwani, ubunge mpaka uraisi. Mwaka 2005 -2015 nimepiga suti chadema tu, ubunge udiwan na uraisi.

Bora unitukane tusi lolote kuliko kunita mwana CCM, Nimeumia sana

Msamehe kamanda kateleza tu
 
Mmeanza! Wenyewe kwa wenyewe sasa mnahujumiana mnamsingizia Lowassa, kumbukukeni hata bubu alitaka kusema alipoona mambo yanamzidia. Siku Lowassa akiamua kufungua mdomo wengi mtatamani ardhi ipasuke muingie. Mmeiba kura zake amekaa kimya, sasa uspika wenu wenyewe mnaanza kumsingizia tena hivi hamumwogopi hata Mungu. Ndugai na ukawa wapi na wapi. ELIMU, ELIMU, ELIMU!
 
Usinitukane kabisa bwana mdogo, mi toka 2000 nimekuwa nikipigia kura upinzani, kuanzia ngazi ya udiwani, ubunge mpaka uraisi. Mwaka 2005 -2015 nimepiga suti chadema tu, ubunge udiwan na uraisi.

Bora unitukane tusi lolote kuliko kunita mwana CCM, Nimeumia sana
Vita ni vita Mura, kamanda kakosea msamehe.
 
Nina mashaka na mleta uzi!!! Siasa za maji taka kazihamishia huku.
 
Hivi Job N. Ndiyo yule aliyempa kichapo mgombea/ mtangaza nia wa sisiem jimboni kwake enhee??
Nakumbuka alimbeba sugu kama furushi bungeni....hahaa best wishes magamba

Hon.Ndugai alipoanza Kuwa naibu speaker alikuwa na mapungufu mengi.alikuwa akifanyakazi Kwa mihemko,jazba na hasira nyingi hasa pale anapoona leaders wanaguswa kwenye hoja.kumbuka alivyomtoa nje Mh.Mnyika,Sugu,nk lakini baadae alijirekebisha sana haswa pale alipojifunza according 2 himself from bunge la India.kuruhusu mjadala huru.He became Deputy Speaker material.Suala la kumuadabisha Mgombea mwenzake Kwa kumrecord ama kumchukuwa picha Kwa Simu ya mkononi bila ridhaa yake sio issue. Sheria ya cyber ilipaswa kuchukuwa nafasi yake.nadhani vyombo vya dola vilimhoji na wakaona kuna ukiukwaji mkubwa wa sheria Kwa victim.sio wote wanaopigwa wameonewa.kuna wanaopigwa Kwa kumuonea mpigaji.Niambie wewe mwenzangu uko busy unafanya jambo lako serious ukiwa Na mawazo mengi ghafla unageuka kulia Kwako unaona someone Ana-kurecord.Eye for an eye,and he is your opponent.kama mwanadamu aliyekamilika hasira zinapanda unakuwa insane wa Muda.mind Kuwa mkononi mwako umeshika fimbo.Under his circumstances unadhani Ndugai angefanyaje? Je wewe angekuwa hasim wako Zawadi yake ingekuwa ninini? Si ni afadhali Ndugai hajaua? Either angeua fasiri ingekuwa amepaa kichaa cha Muda.maana Kuwa na Muda wa kutafakari ngoja nitafue fimbo ni mchape bali alimuadhibu pale pale "on fhe spot" under emotion.nadhani angekwa Na kalamu au Simu mkononi pia angempiga nayo.Muacheni Ndugai apewe nafasi aonyeshe Mfano wa Democratic Country & Democratic Parliament.Hongera Kwa uspika Hon.JOB Y.NDUGAI


Kikurajembe
 
Ndugai na Lowassa na Paka na Chui kwa taarifa yako hawaivi hawaivi! kajipange upya mleta mada, Ndugai ni chaguo la CCM sio Lowassa
 
CCM mmeamua kumrarua Ndungai tu kwa mapenzi yenu wenyewe.
sasa Lowasa na spika wa CCM wapi na wapi??
 
Hali ya mji wa Dodoma imechafuka usiku huu baada ya mgombea wa UKAWA Edward Lowasa kuamua kuhamishia nguvu zake kwa mbunge wa Kongwa Job Ndugai. Lowassa amechukua uamuzi huo baada ya aliyedaiwa kuwa mgombea anayemuunga mkono ndani ya CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi kuenguliwa na kamati kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wa CCM taifa Rais mstaafu Jakaya Kikwete.

Uamuzi wa wafuasi wa Lowassa waliobaki ndani ya CCM kumuunga mkono Job Ndugai umefikiwa usiku baada ya kikao kizito kufanyika chini ya mjumbe maalum aliyefahamika kwa jina moja la Peter aliyedai kuwasili Dodoma jioni akiwa na maelekezo maalum ya bwana mkubwa (Lowassa).

Tayari wabunge wameanza kuhongwa pesa kiasi cha kati ya shilingi milioni 1 -2 kwa wabunge wa zamani na milioni 1 hadi laki 5 kwa wabunge wapya.
Pesa hizo zimeanza kugawiwa kwa wabunge wa kanda ya kati usiku majira ya saa 5:40 huku zoezi hilo likipangwa kuendelea hadi alfajiri ya siku ya kamati ya wabunge wa CCM kupiga kura.

Mjumbe huyo maalum kutoka kwa bwana mkubwa anagawa pesa hizo katika hoteli moja maarufu kukaliwa na kambi ya Lowasa iitwayo NAM hotel. Kiasi kingine cha pesa kinagawiwa na mdogo wa mgombea uspika huyo ambaye jina lake halijaweza kufahamika.

Kambi ya Lowassa ndani ya CCM imeapa kuhakikisha kuwa inachukua nafasi ya Spika kwa gharama yoyote ili kukwamisha utendaji wa serikali ya awamu ya tano.

Hii post yako ni kucheza mindgames, unajaribu kupima upepo. Ninapoona post za hivi ndio huwa najua mabadiliko nchi hii bado sana na itatuchukua kama miaka 100 hivi ili kuweza kupata maendeleo ya kweli, maana wengi ya viongozi wetu bado wanaishi enzi za siasa za kipuuzi,majungu, fitina na ushirikina usio na tija. Hii post itakuwa imeletwa na moja ya wabunge wetu ambao tunatarajia ndio watakuwa watunga sheria zinazoendana na wakati lakini naona ni muendelezo ule ule wa siasa za mazoea na utoto mwingi.
 
ukawa na ndugai ni kama Kuku na Kicheche. Hakuna urafiki unaowezekana kati ya pande hizi mbili.
 
Back
Top Bottom