Rushwa nje nje Dodoma Uspika wa Bunge, PCCB mko wapi?

Rushwa nje nje Dodoma Uspika wa Bunge, PCCB mko wapi?

Haya mashudu ya humu siku hizi yanatoa apetite kabisa.
ANyway, wacha tuendelee kuangalia uhalisia wa mambo yanavyoenda.
 
lowassa baado anipenda ccm ns roho inamuuma kuikimbia.anatamani bunge tena,
 
Rushwa zinatolewa na kupokelewa kila siku, ni mpaka PCCB ipewe uwzo wa kuwakamata nakuafungulia mashtaka wahusika bila kujali mtu. Sheria dhaifu haiwzi kuleta matokeo tuyatakayo, tubakaki kuwalaumu lakini sisi wananchi tunatimiza wajibu wetu? IKiwa nipamoja na kukataa sheria sisizo na faida kwetu bali kulindana kwa baadhi ya wateule.

Tutimize wajibu tu!
 
simbilisi nyie! rushwa ni asili yenu sasa mnamchafua lowasa ambae hayupo ccm? simbilisi nyie!
 
Back
Top Bottom