Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
Mimi napenda Sehemu za baridi Mkuu
Eneo likishakua na baridi basi kwangu ni shida tupu
Eneo likishakua na baridi basi kwangu ni shida tupu
hapa naona hamjaelewana hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ktaalamu tunaita "syntax error"Ttzo wa baridi Kama mabeberu
poaNgoja nirejee niliuziwa bei gan maana nimesahau mambo mengi alafu niliagiza vtu vng mvhele maharage
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulivyoita Parachichi Katapela umenikumbusha mbali sana, hilo neno ni la kusini kabisaZipo tu...ramani ni korido na vyumba madirisha madogo[emoji28]! ..mie napapendea mchele, harage zurii na matakapela[emoji28]! Basi
Arusha baridi la fukuto Kama ac Mbeya baridi kavu kali,mchna wa jua nilikuwa najigubika blanket lkn wapi linapenya tu.mzee bardi la mbeya unalijua au unaliskia??? nshawahi kupigwa na barid la arusha ila mbeya saluteeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebhana kuna sehem inaitwa kiwira ni elfu 6 kwa debe sijajua kweny masoko mengne
Itabidi nihamie huko..!Eneo la rungwe ni linasifika kwa unafuu wa maisha na mzunguko mzuri wa pesa
hapa tanzania.
Tuangalie sifa zake :
-Rungwe ni sehem nzuri kwa kilimo mfano ndizi, viaz mahind,maharage njugu,karanga nk
-Kiukweli Rungwe biashara yoyote inalipa we anzisha tu chochote utaona mafanikio.
-Watu wake ni wakarimu sana ila hawapend dharau.
-Hali ya hewa ni nzuri muda wote kutokana na miti ya matunda na mazao ya kilimo eneo zima la hapo.
-Rungwe hakuna kunyimana misosi ukimtembelea mtu kwake unapewa kamzigo
-Usafiri upo wa kumwaga noah,coster pamoja na hiace.
-Huduma za afya zipo za kutosha
-Ukiwa mtumishi wa umma unaweza ukajisahau hata kujenga maana vyumba ni bei chee sana. Mfano mji wa kibiashara wa Kiwira nyumba nzima elfu 70 kwa mwezi.
-Nauli mpaka Mbeya mjini ni buku 3 gari zake dk 45 tu umeingia mjini zinapaa mwendokasi.
-Wadada wa hapo ni kitonga sana hawaogopi kutoa mzigo nadhan ni kwasababu ya baridi ya kule lakini ukimkuta mlokole inabidi uokoke kwanza then ukajitambulishe kwa wazazi na mahali utoe ndio utakula mzigo.
-Ni vizuri uwe umeoa maana ukimwi upo nje nje.
-Watumishi wa Serikali mfano walimu walioanza kazi kule hawatakagi kuhama hiyo ni kutokana na unafuu wa maisha ukiwa na elfu kumi ukiingia sokoni unarudi na kiloba cha mazaga zaga.
-Ni sehemu ambayo watu wake jioni wanapiga pamba kali lakini asubuhi unawakuta mashambani wanachezea udongo.
-Watu wake wapo smart sana wanajua kuvaa
-Watu wake wanapenda sana dini, elimu na kilimo.
-Kama unapenda pombe hapa ndio penyewe
-Kama umeolewa halafu umehamia Rungwe unashinda ndani tu hujishughulishi na chochote utakoma na maneno ya wamama wa kinyakyusa sifa ya mwanamke wanajua ni kupiga kazi kusaidia familia.
-Watu wake wamechangamka muda wote
Mwisho::,,,,, kupanga ni kuchagua.
Sent using Jamii Forums mobile app
RungweeWeka picha basi, picha za nature tu,
labda nitastaafu huko
sitaki kujua mji ukoje
Hivo hivo codeshapa naona hamjaelewana hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ktaalamu tunaita "syntax error"
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangaWatu wa Tukuyu wamejazana hapa Dar, wamekuja kuendesha boda boda.
Eneo lolote la machakani hapa Tanzania utalipa maksi kama una kipato cha ajira. Kama unategemea ukaishi kama wanavyoishi, basi maisha sio mepesi huko. Kama ukiwa na kumi unarudi na full mazagazaga from sokoni ni wazi kuwa mkulima wa huko hali mbaya
Ndugu watu wa tukuyu hawaipendi dar sababu ya joto unaowasema we ni wa kyela. Tukuyu sio watu wavivu niwafanyakazi kweli kweli na ni watu wenye kipato cha kati ni moja ya wilaya zilizo vijiji ila watu wake wanakipato kikubwa kuzidi wilaya nyingi za mjini hapa tzWatu wa Tukuyu wamejazana hapa Dar, wamekuja kuendesha boda boda.
Eneo lolote la machakani hapa Tanzania utalipa maksi kama una kipato cha ajira. Kama unategemea ukaishi kama wanavyoishi, basi maisha sio mepesi huko. Kama ukiwa na kumi unarudi na full mazagazaga from sokoni ni wazi kuwa mkulima wa huko hali mbaya
sio hofu mzee mm nataka niachane na makonda kdogo maana kila sku tamko jipya,,,mara oooh mwanamke ukipigwa na mme wako call me on 0658900... aaaagh sa mambo gan hzo yaan mshkaji anatupangia namna ya kuish na familia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sio mwarobaini kumbe ni "Mtakapela"Utwangalile abhanyakyusa ugwe, syaki sya kukolela bhajanga/bhatuta ku kisu kya bha tata?
🤓🤓🤓🤓Wewe sio mwarobaini kumbe ni "Mtakapela"