Rungwe -Tukuyu pazuri kuishi 100%

Rungwe -Tukuyu pazuri kuishi 100%

Mbozi ndio mfuniko kwa wenye uchu wa kutaka kutoka kimaisha, kule sasa ndio blessed land.
Mkuu umewahi kula parachichi la Mbozi??
Nunua parachichi vwawa afu kanunue parachichi la kiwira tandale hakika utakubaliana na mimi kuwa Mbeya bila SONGWE ni sawa na Gari bila tairi lakn ni kwa masuala ya kilimo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikula la mbozi mission hatari mzee kitu virgin,kule ndoo nzima ya parachichi ni shs 1500 wakati dar unapata parachichi moja kubwa
 
Ngoja nifanye mpango nihamie huko mie huwa napenda sana maeneo kama hayo.
 
nahs mbeya ina utofaut sana kat ya pale town na miji iliyo pembezoni,,,nshawahi fika mbeya mjin nkawa naulizia bei ya vtu kama
1.parachich size ya kawaida tyu naambiwa sh 300(hyo bei hata mabibo/buguruni ndo hiyo hyo)
2.sahan ya chakula cha kawaida 1500( hyo bei ni tz nzma)
3..Cable ya umeme 8000 (the same as here)

kwa pale town mm naona kama maisha ni gharama kama mikoa mingne tu sjaona tofaut sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utofaut wq kiwira na tukyu n nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukuyu ni makao makuu yawilaya ya rungwe ...(ofis za nida uhamiaj sijui mabank makubwa nmb na crdb unapata hapo ni kama wilaya ya ubungo saiv ofisi zao zpo kibamba.

Kiwira ni mji mdogo ambao n moja kati ya kata za wilaya ya rungwe ...
-hapo ni kitovu cha soko la mazao rungwe nzima. Na kuna maduka kadhaa ya tv redio nguo kiasi kdogo pia .... ila tu ni kwamba kiwira inakua kwa kasi sana..


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukuyu ni makao makuu yawilaya ya rungwe ...(ofis za nida uhamiaj sijui mabank makubwa nmb na crdb unapata hapo ni kama wilaya ya ubungo saiv ofisi zao zpo kibamba.

Kiwira ni mji mdogo ambao n moja kati ya kata za wilaya ya rungwe ...
-hapo ni kitovu cha soko la mazao rungwe nzima. Na kuna maduka kadhaa ya tv redio nguo kiasi kdogo pia .... ila tu ni kwamba kiwira inakua kwa kasi sana..


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuongezea ni kamji kenye jamii ya kisomali ya Kinyakyusa sijui ilikuwaje wasomali walipiga kambi kwenye mji miaka mingi sana
 
Mikoa fulani vijana wanashindana kunyoa viduku na kukimbiza vibodaboda vya matajiri ova wanapeleka damu ICU..
Wadada /wamama kazi yetu kuvaa madera ndan hakuna kitu...!hehee...!huku ukionekana unajituma tuma utanuniwa na hata unaweza wasipokee salamu yako😄😄! NAOTA TU MIE
Utakuwa mwanaume wa mkoani tu unapiga vijembe!
 
Eneo la rungwe ni linasifika kwa unafuu wa maisha na mzunguko mzuri wa pesa
hapa tanzania.

Tuangalie sifa zake :

-Rungwe ni sehem nzuri kwa kilimo mfano ndizi, viaz mahind,maharage njugu,karanga nk

-Kiukweli Rungwe biashara yoyote inalipa we anzisha tu chochote utaona mafanikio.

-Watu wake ni wakarimu sana ila hawapend dharau.
-Hali ya hewa ni nzuri muda wote kutokana na miti ya matunda na mazao ya kilimo eneo zima la hapo.

-Rungwe hakuna kunyimana misosi ukimtembelea mtu kwake unapewa kamzigo

-Usafiri upo wa kumwaga noah,coster pamoja na hiace.

-Huduma za afya zipo za kutosha

-Ukiwa mtumishi wa umma unaweza ukajisahau hata kujenga maana vyumba ni bei chee sana. Mfano mji wa kibiashara wa Kiwira nyumba nzima elfu 70 kwa mwezi.

-Nauli mpaka Mbeya mjini ni buku 3 gari zake dk 45 tu umeingia mjini zinapaa mwendokasi.

-Wadada wa hapo ni kitonga sana hawaogopi kutoa mzigo nadhan ni kwasababu ya baridi ya kule lakini ukimkuta mlokole inabidi uokoke kwanza then ukajitambulishe kwa wazazi na mahali utoe ndio utakula mzigo.

-Ni vizuri uwe umeoa maana ukimwi upo nje nje.
-Watumishi wa Serikali mfano walimu walioanza kazi kule hawatakagi kuhama hiyo ni kutokana na unafuu wa maisha ukiwa na elfu kumi ukiingia sokoni unarudi na kiloba cha mazaga zaga.
-Ni sehemu ambayo watu wake jioni wanapiga pamba kali lakini asubuhi unawakuta mashambani wanachezea udongo.
-Watu wake wapo smart sana wanajua kuvaa
-Watu wake wanapenda sana dini, elimu na kilimo.
-Kama unapenda pombe hapa ndio penyewe
-Kama umeolewa halafu umehamia Rungwe unashinda ndani tu hujishughulishi na chochote utakoma na maneno ya wamama wa kinyakyusa sifa ya mwanamke wanajua ni kupiga kazi kusaidia familia.
-Watu wake wamechangamka muda wote


Mwisho::,,,,, kupanga ni kuchagua.






Sent using Jamii Forums mobile app
Baridi imeharibu kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eneo likishakua na baridi basi kwangu ni shida tupu
Mimi ilimradi vyombe vikali jamii ya rum whisky spirits gin and cocganc zipatikane.
Sdihitaji mademu maana sdhemela wenu yuko sawa na very sporty kwa mambo ya bata!misosi natumai si ya kupima maana wengine ni simba wa miguu miwili kuju mbuzi masalia yao yatapamba nyumba yetu
 
Mimi ilimradi vyombe vikali jamii ya rum whisky spirits gin and cocganc zipatikane.
Sdihitaji mademu maana sdhemela wenu yuko sawa na very sporty kwa mambo ya bata!misosi natumai si ya kupima maana wengine ni simba wa miguu miwili kuju mbuzi masalia yao yatapamba nyumba yetu


😁😁😁😁😆😆vyombe....hahahhaa...!
 
Back
Top Bottom