Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,846
- 26,349
Ila nyumba zao sio za kisasa😌😌!
Ukitaka kujenga nyumba ya kisasa unaweza kabisa ni pesa yako tu ila kila kifaa cha kujengea kipo.
Ila nyumba zao sio za kisasa😌😌!
Hapo kweny umeme sh 5000 unapata unit 41 ..ni kwasbb wanatumia umeme wa makaa ya mawe.Kama kweli wataka kujenga nyumba nzuri basi mafundi wazuri wapo mtafute na akujengee nyumba ya maana.
Umeme upo wa masaa 24 yaani ni raha tu.
Zipo tu...ramani ni korido na vyumba madirisha madogo😅! ..mie napapendea mchele, harage zurii na matakapela😅! Basi
kuna sku nmeenda mbeya kufatilia mambo flan hv.....kudadeq kuna upepo flan hv umeambatana na vumbi ulipig kama sku 3 hv nkaenda moja kwa moja stand kukata tket ya kesho yake...kwanza mbeya kuna baridi asee jamanMkuu ile baridi ya Tukuyu ni kiboko. Yaani Mchana kuna ukungu. Daah.
Mim naish bagamoyo pwani nmenunua debe efu 6 juz tu hapo mwez uliopita nikatuma unga kweny bus .
Maeneo ya huko yanauzwa bei gani? Mfano eneo la 50 kwa 50 kujengea nyumba ni bei gani. Eneo la mashamba bei gani kwa eka? Natanguliza shukuraniEneo la rungwe ni linasifika kwa unafuu wa maisha na mzunguko mxur wa pesa
hapa tanzania .....
Tuangalie sifa zake :
-rungwe ni sehem nzuri kwa kilimo mfano ndizi, viaz mahind,maharage njugu,karanga nk
-kiukweli rungwe biashara yoyote inalipa we anzisha tu chochote utaona mafanikio.
-watu wake ni wakalim sana ila hawapend dharau.
-hali ya hewa ni nzuri mda wote kutokana na miti ya matunda na mazao ya kilimo eneo zima la hapo.
-rungwe hakuna kunyimana misosi ukimtembelea mtu kwake unapewa kamzigo
-usafiri upo wa kumwaga noah,coster pamoja na hiace.
-huduma za afya zipo za kutosha
-ukiwa mtumish wa umma unaweza ukajisahau ata kujenga maana vyumba ni bei chee sana. Mfano mji wa kibiashara wa kiwira nyumba nzima ef 70 kwa mwez.
-naul mpaka mbeya mjin n buku 3 gari zake dk 45 tu umeingia mjin zinapaa mwendo kasi.
-wadada wa hapo ni kitonga sana awaogopi kutoa mzigo nadhan ni kwasbb ya baridi ya kule lakini ukimkuta mlokole inabid uokoke kwanza then ukajitambulishe kwa wazazi na mahali utoe ndio utakula mzigo.
-ni vizur uwe umeoa maana ukimwi upo nje nje.
-watumishi wa serikali mfano walimu walioanza kazi kule awatakagi kuhama io ni kutokana na unafuu wa maisha ukiwa na efu kumi ukiingia sokon unarudi na kiloba cha mazaga zaga.
-ni sehem ambayo watu wake jion wanapiga pamba kali lakin asubui unawakauta mashambani wanachezea udongo.
-watu wake wapo smart sana wanajua kuvaa
-watu wake wanapenda sana dini elimu na kilimo.
-kama unapenda pombe hapa ndio penyewe
-kama umeolewa alafu umehamia rungwe unashinda ndani tu ujishughulishi na chochote utakoma na maneno ya wamama wa kinyakyusa sifa ya mwanamke wanajua ni kupiga kazi kusaidia familia.
-watu wake wamechangamka mda wote
Mwisho::,,,,, kupanga ni kuchagua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbeya mjin kuna mitaa inavumb ili sipingkuna sku nmeenda mbeya kufatilia mambo flan hv.....kudadeq kuna upepo flan hv umeambatana na vumbi ulipig kama sku 3 hv nkaenda moja kwa moja stand kukata tket ya kesho yake...kwanza mbeya kuna baridi asee jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
kolon unamaanisha nyumba au?Uko sahihi kwa asilimia 101.
Ila kwenye kujenga nyumba ni rahisi kwani watumia matofali ya kuchoma ambayo yanatokana na udongo mzuri wa mfinyanzi.
Halafu kwa mfano ukitaka kufanya biashara ya usafiri wawezapiga Tukuyu/Mbeya au Tukuyu.Kyela au wapiga ubebaji mizigo tena pengine hdi Igurusi.
Igurusi napo paliwahi tembelewa na mzungu zamani hivyo kaacha kizazi cha shombeshombe hapo.
Dah!! umenikumbusha mbali sana nina koloni langu hapo lina ila kitu ambacho kinahitajika.
Kwa milin 2 na nus unapataMaeneo ya huko yanauzwa bei gani? Mfano eneo la 50 kwa 50 kujengea nyumba ni bei gani. Eneo la mashamba bei gani kwa eka? Natanguliza shukurani
Panasifa nzuri naonaEneo la rungwe ni linasifika kwa unafuu wa maisha na mzunguko mxur wa pesa
hapa tanzania .....
Tuangalie sifa zake :
-rungwe ni sehem nzuri kwa kilimo mfano ndizi, viaz mahind,maharage njugu,karanga nk
-kiukweli rungwe biashara yoyote inalipa we anzisha tu chochote utaona mafanikio.
-watu wake ni wakalim sana ila hawapend dharau.
-hali ya hewa ni nzuri mda wote kutokana na miti ya matunda na mazao ya kilimo eneo zima la hapo.
-rungwe hakuna kunyimana misosi ukimtembelea mtu kwake unapewa kamzigo
-usafiri upo wa kumwaga noah,coster pamoja na hiace.
-huduma za afya zipo za kutosha
-ukiwa mtumish wa umma unaweza ukajisahau ata kujenga maana vyumba ni bei chee sana. Mfano mji wa kibiashara wa kiwira nyumba nzima ef 70 kwa mwez.
-naul mpaka mbeya mjin n buku 3 gari zake dk 45 tu umeingia mjin zinapaa mwendo kasi.
-wadada wa hapo ni kitonga sana awaogopi kutoa mzigo nadhan ni kwasbb ya baridi ya kule lakini ukimkuta mlokole inabid uokoke kwanza then ukajitambulishe kwa wazazi na mahali utoe ndio utakula mzigo.
-ni vizur uwe umeoa maana ukimwi upo nje nje.
-watumishi wa serikali mfano walimu walioanza kazi kule awatakagi kuhama io ni kutokana na unafuu wa maisha ukiwa na efu kumi ukiingia sokon unarudi na kiloba cha mazaga zaga.
-ni sehem ambayo watu wake jion wanapiga pamba kali lakin asubui unawakauta mashambani wanachezea udongo.
-watu wake wapo smart sana wanajua kuvaa
-watu wake wanapenda sana dini elimu na kilimo.
-kama unapenda pombe hapa ndio penyewe
-kama umeolewa alafu umehamia rungwe unashinda ndani tu ujishughulishi na chochote utakoma na maneno ya wamama wa kinyakyusa sifa ya mwanamke wanajua ni kupiga kazi kusaidia familia.
-watu wake wamechangamka mda wote
Mwisho::,,,,, kupanga ni kuchagua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikwenda Tukuyu msimu wa baridi, aisee, ukishika kitanda kama kuna ka unyevu hivi. Hilo balaa lake sio dogo.kuna sku nmeenda mbeya kufatilia mambo flan hv.....kudadeq kuna upepo flan hv umeambatana na vumbi ulipig kama sku 3 hv nkaenda moja kwa moja stand kukata tket ya kesho yake...kwanza mbeya kuna baridi asee jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna sku nmeenda mbeya kufatilia mambo flan hv.....kudadeq kuna upepo flan hv umeambatana na vumbi ulipig kama sku 3 hv nkaenda moja kwa moja stand kukata tket ya kesho yake...kwanza mbeya kuna baridi asee jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa sawa bas huko n gharama naskia kuna maeneo hapo mbeya wanauza debe 4500Mim naish bagamoyo pwani nmenunua debe efu 6 juz tu hapo mwez uliopita nikatuma unga kweny bus .
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda Geita Kuna dhahabu mzeeMie ht km kuna dhahabu sikai aisee