Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,857
- 58,658
Kwann mnamuita hilo jina etAlikua zake hana tabu mzee wa ubwabwa, wamempelekea mastress....

Watoto wa bata, wakimmaliza aje sasa bata mwenyewe kuongoza 😂Wale njaa 55 ni wabaya sn wanataka wamuue wachukue chama mazima
Jina ganiKwann mnamuita hilo jina et
Chezea Mbowe weye, hacheki na kima kwenye mafekecheeG55 washafanya yao
Mzee wa ubwabwaJina gani
Ndivyo tunavyomfahamu, ni kama vile wewe tunakufahamu kwa yakuz yavuz.....Mzee wa ubwabwa
Wahuni wamebaki na Lissu.Wahuni aliowakaribisha watammaliza.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yaishe yaishe daaah naona ushaanza....Ndivyo tunavyomfahamu, ni kama vile wewe tunakufahamu kwa yakuz yavuz.....
Weeee niunge basi group la utajiri la whatsapp🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yaishe yaishe daaah naona ushaanza....
YAKUZ bin YAVUZ sasa ni habari ndefu mkuu now nakoga mapesa uwezi amini
Keshaingia kwenye mfumo huyoWanataka ku mkolimba huyo. Ili chama kiende kaskazini kama kawaida
Safari imewadia huyo, shetani CCM hana rafiki.View attachment 3371426
DAR. Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa amelazwa katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro (KCMC) kutokana na uchovu wa kazi nyingi.
Kwa mujibu wa Ofisa Uhusiano wa hospitali hiyo, Gabriel Chisseo, Rungwe alifikishwa hospitalini hapo tangu juzi Juni 14 baada ya kuzidiwa na ucovu.
“Ni kweli tuko naye hapa tangu juzi tumempumzisha. Ni kwa sababu ya uchovu wa shughuli zake, hivyo tumempumzisha kwenye wodi za watu maarufu,” amesema leo Juni 16.
Awali, Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Taarifa kwa Umma wa CHAUMMA, John Mrema alipoulizwa hali ya afya ya Rungwe alikiri kweli anaumwa, ila akasema hilo ni suala la kifamilia.
“Alikuwa anaumwa akampumzishwa tu, lakini ameshatolewa. Taarifa kamili itatolewa na familia,” alisema awali.
Hata hivyo, baadaye, Mrema alisema Mzee wa Ubwabwa amerejeshwa hospitalini hapo, baada ya hali yake kubadilika.
“Amerudishwa ‘hospitali, ila KCMC ndio watatoa taarifa rasmi.”
Takribani wiki mbili sasa, CHAUMMA wamekuwa kwenye mikutano ya Operesheni C4C wakizunguka mikoani wakiongozwa na Mzee wa Ubwabwa.
Huyo wanamrestisha ila DJ akamiliki chamaView attachment 3371426

Nikutumie lipa namba ya mtandao ganiWeeee niunge basi group la utajiri la whatsapp
Oops OohsWahuni aliowakaribisha watammaliza.
Oops OohsG55 washafanya yao