Rungwe amvaa Makonda, amtaka amalize utata, aache kulia

Rungwe amvaa Makonda, amtaka amalize utata, aache kulia

Haya Inna acha niendelee na shughuli za kujenga taifa letu
We utaendelea kweli sa hv tu ntakukuta kwenye thread nyingine una mbwela mbwela
Ngoja magu akutungue[emoji23] [emoji23]
 
We utaendelea kweli sa hv tu ntakukuta kwenye thread nyingine una mbwela mbwela
Ngoja magu akutungue[emoji23] [emoji23]
Ha ha ha!
Maisha yamebadilika sana,zamani ukisikia mtu anafanya kazi unajua labda anapasua mawe,anapiga matofali,analima au anakata miti na nyinginezo za kutumia manguvu kibao...... ha ha ha
Sasa hivi watu tunashinda kwenye computer na hela zinaingia
 
Sure! Kama vile nakuona upo apo offisn upo busy na jf unacheka mwenyew
Watu wanajua huyu jamaa anachapa kazi kumbe yupo busy na yake
 
Sure! Kama vile nakuona upo apo offisn upo busy na jf unacheka mwenyew
Watu wanajua huyu jamaa anachapa kazi kumbe yupo busy na yake
Ha ha ha
Hapa kazi tu
 
Duu! Haya mzee Rungwe! Ila ujumbe hauwezi kuwafikia kwani kuna Media yao wanayosikilizaga!!
 
Anatafuta kiki kupitia jina la Mh. Makonda, naona kusaka pesa kumevuta wengi kujitokeza. Na pia kalipwa aongee hayo.

Haya anzeni kumfatilia yake, as atakuwa amewavuta wengi nyie wafata mikumbo.

Nikipata muda nitaangalia kideo.
Nani kakuambia umlipe hizo hela? Au kila anayetoa mawazo yake kalipwa? Tuambie wewe ulilipwa kiasi gani kutetea vilaza na wabakaji wa elimu?
 
Anatafuta kiki kupitia jina la Mh. Makonda, naona kusaka pesa kumevuta wengi kujitokeza. Na pia kalipwa aongee hayo.

Haya anzeni kumfatilia yake, as atakuwa amewavuta wengi nyie wafata mikumbo.

Nikipata muda nitaangalia kideo.
anayosema RUNGWE n ya kweli
 
Yaani watanzania watu wa ajabu sana sisi, kweli Magufuli alimzidi kura Rungwe achia mbali Lowassa? Kwangu mimi naona Rungwe angekuwa raisi bora kuliko Magufuli!
 
Yupi sasa kati mh.Hashim Rungwe na Makonda anaweza kutafuta kiki kwa mwenzie? yawezekana haujielewi zaidi ni ushabiki tu.kaa mbali
 
Rungwe, umeongea maneno mazito sana. Lakn unapoteza muda kwa kutoa ushauri kwa akili ambazo ziko corrupted. A corrupted mind cannot learn or change. Ni kama kenge, hawezi kuelewa mpaka damu masikioni. Suala hili liko wazi sana. Huwezi kutuhumiwa kwa kosa baya kama kufoji cheti kisha ukabaki kimya! Hii ndiyo mara yangu ya kwanza kuona kitu cha namna hii..
 
Yupi sasa kati mh.Hashim Rungwe na Makonda anaweza kutafuta kiki kwa mwenzie? yawezekana haujielewi zaidi ni ushabiki tu.kaa mbali
Uyo wa uwanja wa fisi tunamjua kauza sana mashimo yote saiz kabaki kushobokea watu Bashite akiguswa tu utamuona

Nahisi bikira yake ililiwa na mbwa
 
Back
Top Bottom