Rungwe amvaa Makonda, amtaka amalize utata, aache kulia

Rungwe amvaa Makonda, amtaka amalize utata, aache kulia

Kweli huyu mzee ni presidential material, tulimnyima kura bure, watu wanaotokea vyama vidogo tunawapuuza lkn sasa Tunazidi kuona.
 
Kuelekea 2020 lazima aongeee nanyi mjue yupo


Ha ha haaaaaaaaaa


Wafata mkumbo mtazidi kumezwa tu.

Makonda oyeeeeee

N.B.
Na nyie mnaoni quote hamchoki? notifications zimefika karibu mamia matatu siwajibu bado mpo tu tena tangu jana asubuhi. Piteni uko sibadili gia yangu ng'ooooooo
We mama we mahaba yatakuua
 
Hahaha kanimaliza kwa ile kauli eti akafungue genge tu haahaaha Rungwe hatari sana na anauwezo was kupembua mambo kiundani aisee
 
Ametia pamba masikioni mkuu.
Na kwa jinsi anavyomuhusudu mwanae kipenzi bila shaka yeyote atakayethubutu kumsemesha kuhusiana na sakata hili atakwenda na maji.

Yaani kila kukicha mambo yanakuwa holela kama kisiwani vile daaa nataman kulia
 
Dah zamani nlifkiri rungwe ni mpiga dili tu ila toka awamu ya 5 imeingia naoja anamwaga nondo tupu mwanzo mwisho....... BIG UP RUNGWE

Sponda ni machine ingine kwanza ni mtoto wa mjin mbaya mbovu exposure ya kufa mtu wala huwez mweka meza moja na bwana yule a man is smart
 
Ha ha ha
Umeniacha hoi kwel kwel
Nimesha graduate,vyeti halali ninavyo.
Ha ha ha
siyo bashite mimi
[emoji3] [emoji3] lazima utakua ni bashite ww[emoji126]
 
Haha atafanyaje sasa anajifariji na visherehe
Bora ambaye alipata vyeti vyake kihalali,hata kama hajapata kazi au hana pesa,kuna siku afanikiwa tu as long as anapambana
 
Anatafuta kiki kupitia jina la Mh. Makonda, naona kusaka pesa kumevuta wengi kujitokeza. Na pia kalipwa aongee hayo.

Haya anzeni kumfatilia yake, as atakuwa amewavuta wengi nyie wafata mikumbo.

Nikipata muda nitaangalia kideo.
Yeyote mwenye busara ataona kwamba kuna tatizo mahali, kama hulioni basi tatizo ni wewe
 
Back
Top Bottom