Rungwe amvaa Makonda, amtaka amalize utata, aache kulia

Anatafuta kiki kupitia jina la Mh. Makonda, naona kusaka pesa kumevuta wengi kujitokeza. Na pia kalipwa aongee hayo.

Haya anzeni kumfatilia yake, as atakuwa amewavuta wengi nyie wafata mikumbo.

Nikipata muda nitaangalia kideo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Angalia aisee labda unaweza kujifunza mawili matatu. Karibu nikuCC huu uzi kisha ndiyo nikakuona umeshapita mtaa huu pia.

Anatafuta kiki kupitia jina la Mh. Makonda, naona kusaka pesa kumevuta wengi kujitokeza. Na pia kalipwa aongee hayo.

Haya anzeni kumfatilia yake, as atakuwa amewavuta wengi nyie wafata mikumbo.

Nikipata muda nitaangalia kideo.
 
Hahahaaaaaaaaa nimecheka hadi machozi yametoka.
Huyu Rungwe ana vituko sana,eti kama ana jina lake la kisanii aseme kweli tu aachie ngazi maisha yaendelee.

Ukuu wa mkoa sio jina la kupewa na wazazi,ni cheo tu.
Daaah nimeinjoi interview nzima...salute Rungwe.
 
Kama urais wangekuwa wanaazimisha Makufuli siku moja angemuazima Hashimu Rungwe uraisi na Makufuli angejifunza kutoka kwake.

Kwamaana huyu mzee anamoona mazuri na ya muda mrefu ya kuwa rais. lakini atakufa na ndoto.
Huyo rungwe hana jipya Alee tuu wajukuu wake
 
Back
Top Bottom