Rungwe amvaa Makonda, amtaka amalize utata, aache kulia

Rungwe amvaa Makonda, amtaka amalize utata, aache kulia

Anatafuta kiki kupitia jina la Mh. Makonda, naona kusaka pesa kumevuta wengi kujitokeza. Na pia kalipwa aongee hayo.

Haya anzeni kumfatilia yake, as atakuwa amewavuta wengi nyie wafata mikumbo.

Nikipata muda nitaangalia kideo.
Wakutafuta kiki nini wewe bidada kwa kumtetea kila mara waume wa wenzako
 
Anatafuta kiki kupitia jina la Mh. Makonda, naona kusaka pesa kumevuta wengi kujitokeza. Na pia kalipwa aongee hayo.

Haya anzeni kumfatilia yake, as atakuwa amewavuta wengi nyie wafata mikumbo.
Nikipata muda nitaangalia kideo.

Umezaliwa lini nadhani humjui hashim rungwe vzr lbda bado unanyea nepi nsalmie sana kipenzi cha mkulu
 
Anatafuta kiki kupitia jina la Mh. Makonda, naona kusaka pesa kumevuta wengi kujitokeza. Na pia kalipwa aongee hayo.

Haya anzeni kumfatilia yake, as atakuwa amewavuta wengi nyie wafata mikumbo.

Nikipata muda nitaangalia kideo.
I bet huyu ni nikpaul
 
Anatafuta kiki kupitia jina la Mh. Makonda, naona kusaka pesa kumevuta wengi kujitokeza. Na pia kalipwa aongee hayo.

Haya anzeni kumfatilia yake, as atakuwa amewavuta wengi nyie wafata mikumbo.

Nikipata muda nitaangalia kideo.


Namnukuu Rungwe "Silence means admission" mshaurini Daudi Bashite atoke hadharani amalize hizi discrepancies.

Nilishawai kumshauri hvyo....leo Rungwe naye kapita mule mule....kulia lia au kukaa kimya hakutamsaidia chochote.

Kama yeye na aliyemteua wa nadhani huu ni upepo na utapita...wanajidanganya

Daudi Bashite toka hadharani weka cheti chako cha kuzaliwa halisi hadharani maliza huu mkanganyiko endelea na maisha yako.
 
kama bashite ana watu wanaomlinda, mnategemea nini? wanaume wa dar mnazingua sana ndo maana mnaongozwa na kilaza zero kichwani anayetumia majina ya watu wengine.
 
Ametia pamba masikioni mkuu.
Na kwa jinsi anavyomuhusudu mwanae kipenzi bila shaka yeyote atakayethubutu kumsemesha kuhusiana na sakata hili atakwenda na maji.
Hata sherehe ya jana ni dongo kwa Wabunge viherehere waliomchoma kijana Bungeni na wapiga kelele wa mitandaoni. Haisadii kinachotakiwa ni cheti tu.
 
Rungwe ameifanya alhamis yangu iwe na furaha [emoji3] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji1] [emoji2]
 
Anaambiwa asichague kazi..akabebe hata zege...labda hata mkulu nae kaiba cheti ndio mana anapotezea hii ishu.
 
a5a0589d5647e827691561ae0b4d5d84.jpg

Rais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe Spunda amemshauri Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kujitokeza hadharani na kutoa ufafanuzi juu ya utata wa jina lake unaozidi kuvuma mitandaoni
*
Utata huo unadaiwa kutokana na mkuu huyo wa mkoa kutumia cheti cha mtu mwingine cha kidato cha nne kujiendeleza kielimu.
Rungwe ametoa ushauri huo leo kupitia kipindi cha maswali na majibu cha Kikaangoni , akimsisitiza Makonda kuweka ukweli mezani na kuacha kupiga chenga za mchangani kwa maana akiendelea kukaa kimya watu wanazidi kuamini uvumi huo. "Namshauri Mkuu wa mkoa ambaye ni kama mwanangu, atoke azungumze ili kumaliza huu utata wa vyeti, asimsumbue Rais ana mambo mengi" Amesema Rungwe
*
Pia, amemtaka kuacha kulia madhabahuni, kwakuwa hilo halitamsaidia kwa kuwa kulia siyo jibu, na atambue kuwa ofisi hiyo aliyopo sasa siyo yake bali ni wananchi, hivyo kila alichokikuta atakiacha. "Siku moja nafungua 'ipad' yangu namuona Mkuu wa Mkoa analia mbele ya kanisa halafu mchungaji anambembeleza kama mjukuu wangu, mimi namwambia kulia kwake hakusaidii kitu yeye anapaswa kusema ukweli tu kama hilo jina siyo la lake halisi ila ni la kisanii sisi tutamuelewa". Alisema Rungwe
*
Aidha Rungwe aliendelea kufunguka kwa kumtaka Makonda kuacha kung'ang'ania nafasi ambazo anastahili katika nafasi hiyo huku akimpiga kijembe kuwa mwanaume hachagui kazi aende akabebe hata zege kama hana ujuzi wa kufanya.
*
Alimaliza Hivyo Ndugu Rungwe.. Nini maoni yako mdau.. Unamuunga mkono Rungwe au unapingana naye???

[https://mushkhani.wordpress.com/URL]
 
Namuunga mkono Rungwe.
Cheo siyo kitu cha kudumu kabisa,akubali tu kuwajibaka ndugu bashite
 
Ingawa ukuu wa mkoa hauna cha kuwa na Elimu, lakini kuna mikoa kama dar ambayo ni pipa lililorundika wasomi, maprofesa,madaktar,hadi na viongozi wakubwa wako dar, alafu eti mtu mwenye zero ndo anawaongoza[emoji87] [emoji87] [emoji87] ni AIBU ya karne.
 
Mbombo jilipo rugwe[emoji119] tunaita akili kubwa lakini bwana yule anapamba masikioni
 
Naomba mkulu tu aone hii video
Cc:Mkulu
 
Back
Top Bottom