Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Hivi ni hukumu ya rufaa au ni uamuzi wa kama rufaa ilikidhi vigezo?
.......
We ulie soma mkoa gani unakutambua?eti ameishia latatu au latano sasa wewe unaweza fikia hata robo ya uwezo wa kamanda mpanaj lema?chunga adabu yako we ulie lizika na uongoz wa wizi na dhuluma wa magambaz maana unanufaika nao ccm woote muwabaguz mkipata nyie hamuwakumbuki jiran zenu mbafu sana
.......
kwani Dar huwa wanachakachua?Hukumu si inasomewa Dar!? Wameshachakachua
.......
wakipindisha hukumu maana yake nini?Wakipindisha tu hukumu basi wameumia.
......
Magwanda chali, leo yatatoka kamasi kwa kumlilia mwenzao.......
naelekea saiz mahakamani......
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu ibariki Arusha,
Amani idumu!
Tunaiman Mungu ataenda kujibu na hatimae Lema atarud kazin. Tukumbuke haki inashinda dhuluma.
........