Rule namba moja yako ipi?

Malizia pia kuna watu huwa wanakuletea stori za mayele only
 
Bila ushahidi na kujiridhisha hata uniambie Nini nitakupuuza haijalishi ni mke au mama au yeyote.

Kwa hiyo huwa sifanyi Kazi kwa hisaia au kwa kusikia tuu kama walivyokuwa wanaambiwa wale wanyonge.
Lakini kibongo bongo hii style mbona kama ngum hasa ukiwa kwenye ofisi zao... maana naskia ukiwa kazini ili uendane na boss lazma ujitoe akili kodgo ili mambo yaende sawa ... namanisha asilimia 75% ya majibu yako lazma yawe sawa mkuu .... na asilimia iliyobaki utahitajika usifie tu ikibidi upige makofi na tabasamu juu
 
Mimi sio boss
 
My brain is perfect 100% in each and everything concern me

Usijisumbue kunipa ushauri
 
Nikikukopesha situmii nguvu kukudai ukiona unafaa kunilipa njoo unilipe.
 
Ukinizingua nakulima BLOCK!
Idadi ya watu niliyowablock inaniogopesha nahisi kama nina blocking addiction wakuu sio poa. Tuiite blockiosis
 
Acha utani..mbona mbunye haileti hela zaidi ya kutoa hela..ila unaishobokea.

Mkuu mbunye inaleta hela,, hujajua kuichapa vizuri...

Vibenteni wanalielewa hilo,, wale kuchakata mbunye ni ajira kama ajira zingine na ndio zinawaweka mjini..
 
Lakini mwisho wa siku pesa siyo kila kitu

Mkuu nakuhakikishia kwa dunia ya Sasa Pesa ndio kila kitu.....

Hakuna ufahari wowote wa kutokuwa na pesa kwenye Dunia hii ya sasa....

Kama una mifano ya kukazia ujumbe wako iweke wazi,,,may be ika make sense
 
my rule is just one rule..
#no rule
 
Never trade respect for attention
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…