Rule namba moja yako ipi?

Rule namba moja yako ipi?

Huwa namjua mtu faster kupitia vile anavyowachukulia au kuwatendea watu aliowazidi au wasio na msaada kwenye life lake kama bar maids au maskini.. There is no way mtu mwema na real akawatendea vibaya
Mkuu umenikumbusha mbali
Kuna siku 1 tulikuwq mazingira ya bar mwanaume 1 akamfokea bar maid hadi nikajiskia vibaya. Ishu ndogo tu jamaa alimdhalilisha yule dada ikabidi niingilie kati kupooza hali ya hewa. Tangu siku ile sikumpenda tena yule kaka, it was so inhuman kwa kweli.
 
1.Sikwambii ukweli kuhusu mambo yangu.Mpaka kuwe na ulazima.

2.Sioni umuhimu wa kujieleza kuwa Mimi ni nani,Nina Nini,historia yangu,Ninafanya nini.Labda kuwe na ulazima mathubuti wa kufanya hivyoo.

3.Nikihisi una unafiki juu yangu Nina ku crush mazima.

4.Mimi ndiye ninae jijua( Wewe unaniona tu),I don't care Kwa utayo sema kuhusu Mimi au jinsi utakavyo nichukulia.
 
Back
Top Bottom