Rule namba moja yako ipi?

Kuna kupoteza line na mambo mengine mkuu xo wakati mwingine inatokea tu hajakiliza kwa niambaya
Sahihi mkuu.

Ila kama ni mtu anakufahamu ukimsalimia na kumuuliza hali atakujua tu.
 
Sitoi advice kama sijaombwa

Kuna watu huja kunisimulia mambo yaoo ila mimi nawasikiliza tu na kuonesha hisia zangu kama ni zuri tutafurahi wote na kama ni baya tutahuzunika wote,ila huwezi kupata ushauri wangu kama hujauomba
 

Introvert[emoji1787]
 
Sipokeagi simu.

Huwa naiangalia inavyoita ikikata tu nakupigia ili niwe huru kumaliza maongezi.

Hakuna kitu nachoonaga uvivu kama kuongea na simu muda mrefu.
Mkuu hiyo picha hapo.. ni Mdindifu au Mkangafu?
 
Kuna mpuuzi namdai laki nne ananizungusha sana alafu ni mtu mzima namheshimu tunaheshimiana.

Kila wqzo linanijia,nasema nikamtukane no sio kawaida yangu,nimnunie no ni upuuzi,kila nikienda ananipiga kelenda tu.

Ebu nipeni mawazo
Kwanza pole sana, tulia mpe mda be patient,atakulipa Kwa surprised,shida haziishi atarud tu na akirud asahau Msaada wako . jaribu tu kumkumbusha unashida na iyo ela .
 
Umetisha jamaaa..

#MaendeleoHayanaChama
 
mm ni mwema,mtiifu mcha mungu mnyenyekevu sana, napenda kujari watu wa rika zote ndani na nje ya ofisi lkn ...mm ni nani?? unapoleta deep shit zako utafurah sanaa
mm ni zaidi V.PUTIN kwa wa ukraine
This is me!
 
Sasa ndugu mfano unaenda sehemu ambapo hujawahi kwenda afu Kuna mwenyeji wako ndo unategemea akupokee
Umefika stend umepiga simu yake hajapokea Je hutopiga tena??

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…