mambio
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 2,366
- 2,817
Hizi ni laana zinazolikumba Taifa baada ya kumuua mtu asiye na hatia.Dah yule jamaa ametuachia legacy roho ya visasi na ukatili,tunamuenzi kwa vitendo
Na bado tusibotubu na kusali ni mengi yanakuja, damu ya mwenye haki kamwe haiendi bure.
Na mbaya zaidi sijawah kumsikia Hangaya a.k.a Simba jike akimtaja Mungu hata kwa bahati mbaya.