Ruksa Ndoa ya Nitonye na Arabela

Ina maana yale mapinduzi ya Baba V yalifanikiwa???.

Anyway:
Kabla ya ndoa naomba Arabela anilipe bia zangu. Nilimpiga pombe akanitoroka kabla ya kunilipa Fadhila.

Acha kumsingizia mdogo wangu wewe Mzee.

Mdogo wetu Arabela hanywi pombe..ameshika dini kindaki ndaki. Km umefilisika unatakua usaidiwe hela ya pombe useme.

CC: nitonye, Fixed Point
 
Last edited by a moderator:

Upo baba JR...kumbe yale mapinduzi yalifanikiwa?
 
hivi Baba V ndo mmemvua uenyekiti kabisa??
 
Last edited by a moderator:
Upo baba JR...kumbe yale mapinduzi yalifanikiwa?

Hahahahaaa mama Jr mie ndo Erickb52 eboooooo
nishindwe kupindua kisa nini?
Nasambaratisha km kule Torabora
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…