RUHAZWE JR nimerejea!...

RUHAZWE JR nimerejea!...

Hata figganigga kasema alijitahidi several times kumtafuta hata kwa simu lakini zilikuwa hazipokelewi and sometimes zinazimwa, ndo maana kwenye post ya jana nikasema tuache utanzania wa kuambiwa Balali kazikwa heaven's gate tunakubali kubali tu

nilikuwa nimepanga maandamano makubwa ndani ya jamiiforum kama tusinge pata muafaka
 
Jamani,hebu tuwe na subira,tuone baada ya siku 7 alizotoa itakuwaje!
Hivi ninyi,mnayajua matatizo au mnayasikia?
Hebu tuweni na utu jamani,si rahisi Ruhazwe JR kuja hapa na kuwaambia tatizo langu ni a,b,c;matatizo mengine hayasemeki!!
cc Erickb52 Chilli Chimbuvu charminglady Baba V(MODS wakulaze pema sevani) noahism twins's mum Mamndenyi Madame B and others.

Acha hizo wewe, kila mtu anayajua matatizo na tulipopata taarifa za matatizo ya mwenzetu sote tulimwombea yapite, sasa inapofikia hatua mtu anaingia humu jamvini kimya kimya na kutoka na anajua amewaacha watu katika sintofahamu inatu prompt kuuliza maswali, mbona jana baada ya thread ya Slave ameibuka na kutoa kauli, ilitosha tu kutupa taarifa kuliko kuliko kutuacha gizani
 
Last edited by a moderator:

swadakta ndelejha
 
Dah ni bora wampe life ban ijulikane kuliko kila siku ban ban ban!

si uona eeeh shem wangu, namalizia kuandaa sherehe za kujiapisha si utakuja? tutaongozwaje na mtu mhalifu wakati miie cv yangu imenyooka kama ya mama.....hii nikisema itakuwa tafran humu, but shem unakaribishwa sana na marafiki zako wote ndani na nje ya cc.
 
Haiwezekani, jana ianzishwe thread alafu leo ndio ajitokeze, siku zote hizi alikua wapi kuja kutoa hii taarifa hadi kusikia watu wanahoji? Hii inaonesha jamaa tunae humu humu daily .. Erickb52 hawa watu ni kama bendela. Neno dogo tu lime badili msimamo wao.
Sijashawishika bado!
 
Last edited by a moderator:
Mbona mie sipigwi Ban siku hizi na ni me mchana live yule mtoto! usiangaike na yule binti hajitambui bana na hata elimu yake haikasaidii, na pia kana njaa.
Dah,kule siasani kuna watu wanakera sana!
Hivi nataka nitumie ka Id kangu kengine nikamlipue Juliana Shonza aliyetutukania viongozi wetu wa CHADEMA.
RIS Baba V,umetangulia nami ninafuata soon!
 
Last edited by a moderator:
Dah,kule siasani kuna watu wanakera sana!
Hivi nataka nitumie ka Id kangu kengine nikamlipue Juliana Shonza aliyetutukania viongozi wetu wa CHADEMA.
RIS Baba V,umetangulia nami ninafuata soon!

Yule mtoto shonza kanichefua kule hadi nimewaambia mods maadam wameamua kuiacha ile thread basi waache tuchangie hadi mwisho na wakinipa ban nimewaambia ntaipokea kwa mikono miwili na miguu yangu mitatu
 
Last edited by a moderator:
si uona eeeh shem wangu, namalizia kuandaa sherehe za kujiapisha si utakuja? tutaongozwaje na mtu mhalifu wakati miie cv yangu imenyooka kama ya mama.....hii nikisema itakuwa tafran humu, but shem unakaribishwa sana na marafiki zako wote ndani na nje ya cc.
Hahahahaaaa kweli aisee we endelea tu kujiapisha maana huyu nae naona ni mgomvi sana lol
 
si uona eeeh shem wangu, namalizia kuandaa sherehe za kujiapisha si utakuja? tutaongozwaje na mtu mhalifu wakati miie cv yangu imenyooka kama ya mama.....hii nikisema itakuwa tafran humu, but shem unakaribishwa sana na marafiki zako wote ndani na nje ya cc.

Kama fisi alikuwa anasubiri mkono udondoke
 
ummu kulthum Allahumma azhibil baasa rabban naasi ishfihi wa antash shaafii, laa shifaa-a-illaa shifaa-uka, shifaa-ul laa yughaadiru saqmaa.
[/QUOT]

AMIIIN!Jazkalaahu kheri,kumbe na wewe umeenda chuo acha bwana,mie namkumbuka ustaadhi issa nasoro wakati huu ana fundisha madrasat li kaadria san majengo singinda eeeeh bana wee alikuwa anachapa kwa kutumia fimbo za mrumba utake usitake utajua na ukitoka umehifadhi sura zaidi ya moja.
 
Last edited by a moderator:
ndugu zangu ni kweli hapa kati kati ruhazwe ameumwa sana tena sana,hivi ni nani kati yetu ali take trouble kwenda kumwona licha ya uzi kurushwa hapa cc kuwa ruhazwe anaumwa? Naomba tuwe fair.
Copy: Madame B
kopi: Chimbuvu
kopi: Erickb52
copy: Chilli
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom