Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
ummu kulthum Allahumma azhibil baasa rabban naasi ishfihi wa antash shaafii, laa shifaa-a-illaa shifaa-uka, shifaa-ul laa yughaadiru saqmaa.
my kaka
Last edited by a moderator:
ummu kulthum Allahumma azhibil baasa rabban naasi ishfihi wa antash shaafii, laa shifaa-a-illaa shifaa-uka, shifaa-ul laa yughaadiru saqmaa.
huwezi maana hicho kiti kina miujiza yake wengi wanakitamani lakini mwisho wao mbaya.si mwenyekiti huyo nataka kujiapisha sasa hivi karibun na wenzako
tume misiana
hata mimi nimikumic
PHP:tume misiana
watu8 nasubiri ukipewa jibu nami nitaenda kumsalimia
Kama una maanisha vile kumbe unataka ukamchore
hii naihifadhi kama ushahidi figganiggatuseme upo serious kiasi hicho halafu Mu-sir anashindwa kutupa maendeleo yako!.
Hata hivyo hakuna ajuae kesho hata mtunzi wa kalenda hajui, hivyo basi kusema siku 7 utakuja sio vizuri, bora useme ukipata nafuu ndo utakuja. natumia nafasi hii umuambie ndugu yako atoe feedback pale mambo yanapo badilika. kuamini majina fake yataka moyo hata hivyo ukimya ndo ulitushitua tukataka kujua kulikoni.
Tutazidi kukuombea. mia
Wasalamu,
Sitaaweza kuandika/kusema mengi,kwa sababu ya miundo mbinu inayoniwezesha kunipandirha jf kuwa na uwezo mdogo.
Niwaombe radhi wana jf wote na hasa wana-chitchat wote,NAOMBENI MUNISAMEHE.
Lakini pia nawaomba uvumilivu wenu usikome.Niwahakikishie tu,shetani hawezi kunifikisha mahala ambapo wengi wenu mawazo yameelekea.naombeni uvumilivu wa kama siku 7,ambapo nitakua na mahala ambapo ntaweza kuondoa dukuduku.naombeni muniache kwanza ndugu zangu,tumieni muda huu ktk kuniombea.
Mungu awabarik
vipi maendeleo ya khari yako Ruhazwe JRWasalamu,