Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
thanks my dia. Yeah niko pouwah hofu kwako. TA kuko fresh
Last edited by a moderator:
Mambo ...!!!? Mbona hunimiss jamani!thanks my dia. Yeah niko pouwah hofu kwako. TA kuko fresh
Kwani kakuambia anaumwa?
Mbona unamzushia ugonjwa?
Hajasema lolote la ugonjwa wala linalomsibu!
K i z u n g u z u n g u
una uhakika kama kweli lundenga wa jf anaumwa uwe mpole tu..
Mambo ...!!!? Mbona hunimiss jamani!
. Ruhazwe JR
Chimbuvu missingu u sana mkuu....naomba
tuyaache hayote ntayajibu shaka ondoa,afya
kwanza mkuu
Kuna hiyo statement alimuandikia Chimbuvu... Ndo maana nami nikamjibu vile!!
Mh... Si kwamba nimeyakubali majibu mepesi, mwenyewe kajieleza kihivyo sasa unadhani ninaweza kumlazimisha wakati sijui ukweli ni upi??? Sina njia ya kuweza kupata ukweli halisi za ya kutoka kwake... Kama atakuwa kadanganya its up to yeye... Kinachotakiwa hapa ni yeye kurudisha pesa za wadhamini full stop!!!
Jamani,hebu tuwe na subira,tuone baada ya siku 7 alizotoa itakuwaje!
Hivi ninyi,mnayajua matatizo au mnayasikia?
Hebu tuweni na utu jamani,si rahisi Ruhazwe JR kuja hapa na kuwaambia tatizo langu ni a,b,c;matatizo mengine hayasemeki!!
cc Erickb52 Chilli Chimbuvu charminglady Baba V(MODS wakulaze pema sevani) noahism twins's mum Mamndenyi Madame B and others.
ummu kulthum hiyo dua njema sanaaya bana mi ombea wewe ulipe deni la watu.
ummu kulthum hiyo dua njema sana
tuseme upo serious kiasi hicho halafu Mu-sir anashindwa kutupa maendeleo yako!.
Hata hivyo hakuna ajuae kesho hata mtunzi wa kalenda hajui, hivyo basi kusema siku 7 utakuja sio vizuri, bora useme ukipata nafuu ndo utakuja. natumia nafasi hii umuambie ndugu yako atoe feedback pale mambo yanapo badilika. kuamini majina fake yataka moyo hata hivyo ukimya ndo ulitushitua tukataka kujua kulikoni.
Tutazidi kukuombea. mia
ummu kulthum Allahumma azhibil baasa rabban naasi ishfihi wa antash shaafii, laa shifaa-a-illaa shifaa-uka, shifaa-ul laa yughaadiru saqmaa.inshaalah! kwa uwezo wa mungu atafanikiwa.
Ni ngumu sana kurejesha uaminifu uliouvunja kuliko kuanza kujenga uaminifu
Ruhazwe JR
1.watu hawakuwa wanataka uje na thread kama uliyokuja nayo,
wanataka kujua ni nini kilikufanya uwe kimya ama upotee
2.je unaumwa? Unaumwa nini?umelazwa?
3.ni nini kilisababisha upotee ghafla baada ya contest kuisha?
4. @mu -sir ni nani?
5.last activity january 2013 inaonyesha kuwa either ulituzarau kwa kuingia na kuwa kimya ama una ID mbili ambayoi mojawapo yaweza kuwa ndio inayokutetea
6. Baba V na kamati yako ya mahusiano ya CC naomba uchunguzi zaidi ufanyike dhidi ya huyu mtu na hatua zichukuliwe ili kulinda hadhi ya CC ,na tamko juu ya miss CC contest
nani tena huyooooooo????????
@figganigaa miatuseme upo serious kiasi hicho halafu Mu-sir anashindwa kutupa maendeleo yako!.
Hata hivyo hakuna ajuae kesho hata mtunzi wa kalenda hajui, hivyo basi kusema siku 7 utakuja sio vizuri, bora useme ukipata nafuu ndo utakuja. natumia nafasi hii umuambie ndugu yako atoe feedback pale mambo yanapo badilika. kuamini majina fake yataka moyo hata hivyo ukimya ndo ulitushitua tukataka kujua kulikoni.
Tutazidi kukuombea. mia