RUHAZWE JR nimerejea!...

RUHAZWE JR nimerejea!...

A million dollar question!
What will u do to miss ChitChat contest? Are u going to step down?
Promptly we hv understood you but this is after we found out your last activity ....we are expecting from 1st march to get ur feedback.
Kweli kabisa Chimbuvu
Hapa mi sijaelewa kitu.....na sijaona lolote lenye uzito coz hata hajanishawish bado!

K i z u n g u z u n g u
 
Umefanya jambo la maana sana... Usikae kimya mkuu... Unajua jibu la kimya huwa na majibu milion kidogo....

Mwenyezi Mungu akuponye na akurejeshee uzima ndani yako.... Pole sana mkuu!!!

una uhakika kama kweli lundenga wa jf anaumwa uwe mpole tu..
 
Ndio namuuliza anasema anaumwa kaambiwa wapi anaumwa?
Jamaa kaja na maelezo ambayo hata hayaeleweki na hayajitoshelezi ila wadau wameyapokea kirahisiiii mh :nono:
 
Nami imenibidi nikae kimya tu coz,kama anaona ngumu kuongea angemPM mtu yeyote either wewe, Baba V amueleze ukweli halisi then ndio aje atoe taarifa
kwa hali hii watanzania tutashuhudia nyara za taifa zikichukuliwa hivi hivi na mkihoji mnapewa majibu mepesi mnakaa kimya ,inabidi kubadilika na kamati ya Baba V ifanye kazi

Last edited by a moderator:
Chimbuvu watu wamesha zoea majibu mepesi mepesi na ni wepesi pia hata kubadilishwa misimamo yao kutokana na hayo majibu, yani ni kama bendera vile huelekea kule upepo unapo vuma.
Nami imenibidi nikae kimya tu coz,kama anaona ngumu kuongea angemPM mtu yeyote either wewe, Baba V amueleze ukweli halisi then ndio aje atoe taarifa
kwa hali hii watanzania tutashuhudia nyara za taifa zikichukuliwa hivi hivi na mkihoji mnapewa majibu mepesi mnakaa kimya ,inabidi kubadilika na kamati ya Baba V ifanye kazi
 
Last edited by a moderator:
Nami imenibidi nikae kimya tu coz,kama anaona ngumu kuongea angemPM mtu yeyote either wewe, Baba V amueleze ukweli halisi then ndio aje atoe taarifa
kwa hali hii watanzania tutashuhudia nyara za taifa zikichukuliwa hivi hivi na mkihoji mnapewa majibu mepesi mnakaa kimya ,inabidi kubadilika na kamati ya Baba V ifanye kazi
Aisee kiukweli haya majibu ni mepesi sana na sidhani km ana lolote zaidi ya kuzidi kudhihirisha dhamira yake!
Binafsi sikubaliani na Ruhazwe JR na wala siwezi kujikosha au kujifanya nimeelewa ukweli ni kwamba sijaona point yoyote kwa hii taarifa yake na asituone sisi sio GT nasema hapana!
Hana jipya na heshima yake haipo tena na hatoaminika tena!
Kwanza akiendelea namnyofolea Rep power zake zooooooote kuonyesha kuwa alokifanya si uungwana!
 
Last edited by a moderator:
Ni ngumu sana kurejesha uaminifu uliouvunja kuliko kuanza kujenga uaminifu
Ruhazwe JR
1.watu hawakuwa wanataka uje na thread kama uliyokuja nayo,
wanataka kujua ni nini kilikufanya uwe kimya ama upotee
2.je unaumwa? Unaumwa nini?umelazwa?
3.ni nini kilisababisha upotee ghafla baada ya contest kuisha?
4. @mu -sir ni nani?
5.last activity january 2013 inaonyesha kuwa either ulituzarau kwa kuingia na kuwa kimya ama una ID mbili ambayoi mojawapo yaweza kuwa ndio inayokutetea
6. Baba V na kamati yako ya mahusiano ya CC naomba uchunguzi zaidi ufanyike dhidi ya huyu mtu na hatua zichukuliwe ili kulinda hadhi ya CC ,na tamko juu ya miss CC contest

Chimbuvu missingu u sana mkuu....naomba tuyaache hayote ntayajibu shaka ondoa,afya kwanza mkuu
 
Ruhazwe JR hatuwezi kuyaacha haya coz ungetaka tuyaache usingeyafanya yafikie hatua hii!
Binafsi nasema hujafanya ustaarabu hata kidogo na umekuja na majibu mepesi utadhani mtoto anaambiwa ntakuletea pipi nyamaza eeeeh we are GT bana acha hizo!
 
Last edited by a moderator:
Ni ngumu sana kurejesha uaminifu uliouvunja kuliko kuanza kujenga uaminifu
Ruhazwe JR
1.watu hawakuwa wanataka uje na thread kama uliyokuja nayo,
wanataka kujua ni nini kilikufanya uwe kimya ama upotee
2.je unaumwa? Unaumwa nini?umelazwa?
3.ni nini kilisababisha upotee ghafla baada ya contest kuisha?
4. @mu -sir ni nani?
5.last activity january 2013 inaonyesha kuwa either ulituzarau kwa kuingia na kuwa kimya ama una ID mbili ambayoi mojawapo yaweza kuwa ndio inayokutetea
6. Baba V na kamati yako ya mahusiano ya CC naomba uchunguzi zaidi ufanyike dhidi ya huyu mtu na hatua zichukuliwe ili kulinda hadhi ya CC ,na tamko juu ya miss CC contest
Yah angekuja na majibu ya haya maswali ndio tungemuelewa ila kwa haka ka thread kake ndio kachemka zaidi!
Ni bora ange:shut-mouth:
 
Wasalamu,
Sitaaweza kuandika/kusema mengi,kwa sababu ya miundo mbinu inayoniwezesha kunipandirha jf kuwa na uwezo mdogo.
Niwaombe radhi wana jf wote na hasa wana-chitchat wote,NAOMBENI MUNISAMEHE.
Lakini pia nawaomba uvumilivu wenu usikome.Niwahakikishie tu,shetani hawezi kunifikisha mahala ambapo wengi wenu mawazo yameelekea.naombeni uvumilivu wa kama siku 7,ambapo nitakua na mahala ambapo ntaweza kuondoa dukuduku.naombeni muniache kwanza ndugu zangu,tumieni muda huu ktk kuniombea.
Mungu awabarik

Pia uwaambie kuwa mimi na wewe ni watu tofauti japo ni ndugu wanasema eti na hii ID yangu ni ya kwako.

Nashukuru umekuja humu maana uliniambia nisubiri na kila siku nilikuwa napata mawe sasa nadhani nitapumua kidogo.
 
Ni ngumu sana kurejesha uaminifu uliouvunja kuliko kuanza kujenga uaminifu
Ruhazwe JR
1.watu hawakuwa wanataka uje na thread kama uliyokuja nayo,
wanataka kujua ni nini kilikufanya uwe kimya ama upotee
2.je unaumwa? Unaumwa nini?umelazwa?
3.ni nini kilisababisha upotee ghafla baada ya contest kuisha?
4. @mu -sir ni nani?
5.last activity january 2013 inaonyesha kuwa either ulituzarau kwa kuingia na kuwa kimya ama una ID mbili ambayoi mojawapo yaweza kuwa ndio inayokutetea
6. Baba V na kamati yako ya mahusiano ya CC naomba uchunguzi zaidi ufanyike dhidi ya huyu mtu na hatua zichukuliwe ili kulinda hadhi ya CC ,na tamko juu ya miss CC contest

Mkuu hapo kwenye namba 4 Mu-sir ni mimi mbona unakuwa mgumu kuamini???
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa Chimbuvu
Hapa mi sijaelewa kitu.....na sijaona lolote lenye uzito coz hata hajanishawish bado!

K i z u n g u z u n g u

Mi mwenyewe bado sijakusoma ndugu Ruhazwe JR, labda unijibu hutu tuswali.
1. Una tatizo gani
2. Kwa nini mpaka watu wakuhisi vibaya ndio umekuja?
3. Hiyo mwishoni mwa Januari ilikuwaje ukaingia humu
Kiukweli wewe ndio unafanya watu wawe na wasiwasi na wewe.
 
Chilli jamaa anatuzuga tu aisee!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom