RUHAZWE JR nimerejea!...

RUHAZWE JR nimerejea!...

Buchanan naomba close the thread ama ikiwezekana iondoe kabisa
 
Last edited by a moderator:
Hivi mr Lundenga alipata matatizo gani?

Hadi sasa hakuna anayejua...isipokuwa yeye na kakaye Mu-sir....kuna wananchi wengine hapa jamvini walisema wanajua lakini midomo yao iliwajaa mbigiri kila tulipowauliza....ndio hali ipo hivyo patna wangu!!!
Sasa labda mkuu Lundenga atueleze japo kwa ufupi, maana kuna tuliohitaji kutaka kumuona akiwa mgonjwa lakini simu yake ilikuwa ikiita pasipo majibu...
 
Hadi sasa hakuna anayejua...isipokuwa yeye na kakaye Mu-sir....kuna wananchi wengine hapa jamvini walisema wanajua lakini midomo yao iliwajaa mbigiri kila tulipowauliza....ndio hali ipo hivyo patna wangu!!!

nimefundishwa kuomba samahani hata pale ninapokosewa watu8 uwezo wangu ulifika mwisho,pengine unaweza sema kwanin hakufanya hiv au vile mpaka imekua hivi.siwezi tamani uonje nilipokuwa mimi alafu eti nione utafanyaje,la hasha!isipokua UNISAMEHE
 
Last edited by a moderator:
nimefundishwa kuomba samahani hata pale ninapokosewa watu8 uwezo wangu ulifika mwisho,pengine unaweza sema kwanin hakufanya hiv au vile mpaka imekua hivi.siwezi tamani uonje nilipokuwa mimi alafu eti nione utafanyaje,la hasha!isipokua UNISAMEHE

Kaka usijali...binafsi nilihangaika kiasi kukutafuta lakini simu yako ya Vodacom ilikuwa ikiita pasipo majibu, natambua hali uliyokuwa nayo kiafya kuwa ilikuwa si nzuri maana nilipata taarifa za ugonjwa wako toka kwa kaka yangu wa karibu hapa CC.
Nimefurahi kukuona tena hapa jamvini kaka, natumai hali yako inazidi kuwa imara...
 
Last edited by a moderator:
shem wangu shem wangu charminglady nilienda porini nikajinyonge kwa ajili ya muke wangu Evelyn Salt haiwezekani nyumbani kwetu kila siku wanakuja wageni wenye jinsia + afu ananiambia ooh mara huyo mjomba mra kakaa'ngu mtoto wa mama yake na bibi yet yulee wa ukoo.

Shost angu Evelyn Salt hebu ingieni chumbani muyamalize...... plz!!!
 
Last edited by a moderator:
Hadi sasa hakuna anayejua...isipokuwa yeye na kakaye Mu-sir....kuna wananchi wengine hapa jamvini walisema wanajua lakini midomo yao iliwajaa mbigiri kila tulipowauliza....ndio hali ipo hivyo patna wangu!!! Sasa labda mkuu Lundenga atueleze japo kwa ufupi, maana kuna tuliohitaji kutaka kumuona akiwa mgonjwa lakini simu yake ilikuwa ikiita pasipo majibu...
Poa patna, usiku mwema.
 
Hadi sasa hakuna anayejua...isipokuwa yeye na kakaye Mu-sir....kuna wananchi wengine hapa jamvini walisema wanajua lakini midomo yao iliwajaa mbigiri kila tulipowauliza....ndio hali ipo hivyo patna wangu!!!Sasa labda mkuu Lundenga atueleze japo kwa ufupi, maana kuna tuliohitaji kutaka kumuona akiwa mgonjwa lakini simu yake ilikuwa ikiita pasipo majibu...[/QUOTE watu8 kwani ni lazima mtu aanike matatizo yake hapa public au kwa marafiki??achilia mbali ugonjwa...ni lazima mtu aseme nilikuwa naumwa kitu fulani? Lets respect someone privacy...
 
Last edited by a moderator:
watu8 kwani ni lazima mtu aanike matatizo yake hapa public au kwa marafiki??achilia mbali ugonjwa...ni lazima mtu aseme nilikuwa naumwa kitu fulani? Lets respect someone privacy...

haya mdada nimekusikia...
 
hi! Nivea ,
Vip unatatizo na mimi?kama unatatizo na mimi naomba unisamehe hata bila kulijua tatizo lenyewe.usikelwe na mimi kua kwangu online jf,
haya ndio maneno ya waja ndugu yaweza kukutoa chumbani uchi ati !!!.huwa naamini sna katika ukweli na uwazi siwezi classify neno matatizo anyway.mimi nilikuwa nimejiandaa sana kugombea umiss chitchat unaofuatia na nilikuwa tayari nimeshahonga sana vijisenti vyangu na campain mnager ashakula advance .hii ndio sababu ya mimi kuumia nakukasirika sio jingine yaani nikikumbuka mihela yangu lol!!!!pole na uwe na afyanjema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom