CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
vipi maendeleo ya khari yako Ruhazwe JR
Natumai atakuwa anaendelea vyema.... Hujambo shem wangu Slave???
Last edited by a moderator:
vipi maendeleo ya khari yako Ruhazwe JR
how comes unaombea kitu usichokijua je tunakuombea urudishe?je tunakuombea ufaulu mtihani? je tunakuombea afya njema? je tunakuombea nini kiuhalisia??????????? KATIKA HILI SUALA SIJAWA MJINGA KIASI HIKI MIMI YAANI UNAKUWA KAMA KIBWETERE???????SIWEZI KUTUMIA MUDA WANGU KAMA HUSEMI UNA MATATIZO GANI.UGONJWA ?AJALI?ULIPOTEZA WATU MUHIMU?BE SPECIFIC MKUU Ruhazwe JRWasalamu,
Sitaaweza kuandika/kusema mengi,kwa sababu ya miundo mbinu inayoniwezesha kunipandirha jf kuwa na uwezo mdogo.
Niwaombe radhi wana jf wote na hasa wana-chitchat wote,NAOMBENI MUNISAMEHE.
Lakini pia nawaomba uvumilivu wenu usikome.Niwahakikishie tu,shetani hawezi kunifikisha mahala ambapo wengi wenu mawazo yameelekea.naombeni uvumilivu wa kama siku 7,ambapo nitakua na mahala ambapo ntaweza kuondoa dukuduku.naombeni muniache kwanza ndugu zangu,tumieni muda huu ktk kuniombea.
Mungu awabarik
swali gumuunapatikana wapi kwa wale watakaohitaji kukujulia hali???
kkwahiyo unataka kutuaminisha nini hapa yamemkuta jr auhuwezi maana hicho kiti kina miujiza yake wengi wanakitamani lakini mwisho wao mbaya.
swali gumu
nacheka sana hii mada ya sakata za pesa na sasa hivi namwona Ruhazwe JR yuko online hahaahahahahah siku saba zimekwisha hahahahaah nacheka sana aiseee watu8nimekumiss sana aisee...!!!
nacheka sana hii mada ya sakata za pesa na sasa hivi namwona Ruhazwe JR yuko online hahaahahahahah siku saba zimekwisha hahahahaah nacheka sana aiseee watu8
ALL IN ALL
Honesty is a very expensive GIFT. Do not expect it from cheap people.By Mwita Maranya
nacheka sana hii mada ya sakata za pesa na sasa hivi namwona Ruhazwe JR yuko online hahaahahahahah siku saba zimekwisha hahahahaah nacheka sana aiseee watu8
ALL IN ALL
Honesty is a very expensive GIFT. Do not expect it from cheap people.By Mwita Maranya
Hahahah...usicheke sana bhanaaa...the issue is about to be settled!!
shem wangu shem wangu charminglady nilienda porini nikajinyonge kwa ajili ya muke wangu Evelyn Salt haiwezekani nyumbani kwetu kila siku wanakuja wageni wenye jinsia + afu ananiambia ooh mara huyo mjomba mra kakaa'ngu mtoto wa mama yake na bibi yet yulee wa ukoo.Natumai atakuwa anaendelea vyema.... Hujambo shem wangu Slave???
shem wangu CHAMInglady nilienda porini nikajinyonge kwa ajili ya muke wangu Evelyn Salt haiwezekani nyumbani kwetu kila siku wanakuja wageni wenye jinsia + afu ananiambia ooh mara huyo mjomba mra kakaa'ngu mtoto wa mama yake na bibi yet yulee wa ukoo.
lakini huyu si ni dada yako??? kuna ubaya gani mie kumwambia unavyo nisumbua....nakuomba tuyamalize sisi wenyewe!!!!!
Hivi mr Lundenga alipata matatizo gani?
lakini huyu si ni dada yako??? kuna ubaya gani mie kumwambia unavyo nisumbua
hi! Nivea ,
Vip unatatizo na mimi?kama unatatizo na mimi naomba unisamehe hata bila kulijua tatizo lenyewe.usikelwe na mimi kua kwangu online jf,
Ni matatizo yangu binafs hasa yanayohusu afya.tatizo ni pale lilipo athar mwenendo mzima wa mashindano,ni hilo tu.
mmm!....hilo nalo neno...Muungwana akivukwa na nguo, hasimami bali huchutama!