NI KWELI. HAPA NI KUJILIPUA TU MAANA ALIJITAHIDI KUWAFUNIKA WASIONEKANE, LAKINI WAO HAWAONI FADHILA YAKE BALI WANAENDELEA KUMTESA.Na kumnasa Papa kunataka timing!
Kabisa maana papa atataka kujinasua lazina wakapooze kule apewa dhamana time will tellSiyo anatapatapa hizo ni mbinu mahsusi za kuipangua hii kesi,just wait and see
Sent using Jamii Forums mobile app
Toboa tobo mkuu..Ukiendelea kuniletea ujinga natoa picha zako zile za mwanza trc
In God we Trust
Jinai haina fidia bwashee!
Yule ni msukuma ila sio mshamba...Wanamuogopa atamwaga mboga
In God we Trust
Mi naona anamchoma dada yake mama mbogamboga.
Nyoka wa makengeza.alishawahi kusema wanaweza kunikamata.lakini hawataweza kunifunga (mwisho wa kunukuu)Vipi yule Nyoka wa makengeza?
In God we Trust
Ilisemwasemwa kuwa na Mwenyekiti wa Ufipa alipata mgawo wa " sandarusi"Kuna chama kamwe hutoweza kukinasua na huu wizi na mahakama haitaruhusu bank iwataje wanufaika
Jr
Kwanini bwashee?!Wakitajwa CCM chalii
Ilisemwasemwa kuwa na Mwenyekiti wa Ufipa alipata mgawo wa " sandarusi"
Mkuu nchi hii hakuna haki kwa wanyonge..mi nawaza hivi hakuna usawa katika maisha haya...kama usawa upo kwanini mapapa hawatajwi na kukamtwa...?kumbe wanatudanganya eti wanatetea wanyonge huku Wanakula kwa mrija...hili neno wanyonge waache wanasiasa kulitumia..bora watumie wenyenyacho!!!"Haiwezekani Gavana wa BOT apate kigugumizi cha kuwataja waliopata mgawo wa Escrow ili hali wanajulikana na wananchi tunawajua halafu pale Yupo mahakani kwa hiyo kuwataja sio kosa na wala hakuwaingizi hatiani. Je, GAVANA HAJUI WALIOHUSIKA AMA NI UHUNI INA MAANA AMESHINDWA KUMTAJA HATA NGELEJA NA PROF ANNA NTIBAIJUKA...WALIOPEWA MKIMGAO KIDOGO...