Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Kabisa mdau,uwiii!!! wamekutana, bibi mrembo bwana handsome mashalah!!
Kabisa mdau,uwiii!!! wamekutana, bibi mrembo bwana handsome mashalah!!
Mkuu Mimi naongea Kama mdau, namjua Ruge vizuri, najua kuhusu Mziki vizuri Tu, so naongea sio Kama wewe, coz ungekua mdau ungekua usingebisha, hutaki unaacha...kwani bei gani!!!?Hizi ni imani na ukiendelea kuiamini hivyo utaendelea kubaki hivyo hivyo!! Yy Ruge ndiyo anaebana kupigwa kwa nyimbo za wasanii vituo vingine?
Hujui unachosema! Ni EATV peke yake ndo walikuja kuua ukiritimba wa Clouds! Back days nyimbo yako haijapigwa Clouds hujatoka! Hutaki unaacha!Hizi ni imani na ukiendelea kuiamini hivyo utaendelea kubaki hivyo hivyo!! Yy Ruge ndiyo anaebana kupigwa kwa nyimbo za wasanii vituo vingine?
Kafirwe huko! Point yako iko wapi?....we boya tu!,hata kuandika hujui!..ukipigwa barida tu!
Mkuu Mimi Ni mdau Tu wa muziki Na Sanaa in general!Nakupatia picha cjui utakuwa nani wewe
Okay sawasawa mkuu, ila naamini wasanii wenyewe tu hawajiamini coz ktk ulimwengu huu wa social medias, na vituo vingi vya radio, mnanyenyekea vipi kituo kimoja?Mkuu Mimi Ni mdau Tu wa muziki Na Sanaa in general!
Wewe wacha kuropokaFact umeongea!! Utakuta mtu Ana idea ya mamilion ya hela halafu hana mtaji wa kuanzia kwanini usiwaachie wenye hela wakamilishe hiyo project na kuongeza ajira?? Wabongo tatizo ni kuona wivu kwa maendeleo kwa mtu anaezidi kutusua kila siku!!
Wasanii wengi kipindi hicho walitoka kwa nguvu ya Ruge! Kipindi hicho kulikua Na connection Kati ya Ruge Na radio presenter's toka radio tofauti! Radio presenters enzi hizo walikua wana manage wasanii! Ili msanii atoke ilihitajika promo toka radio tofauti hasa Clouds! Lets say presenter X anasambaza audio ya msanii wake radio stations tofauti ikiwemo clouds, so walikua wanategemeana, siku ukizinguana Na Ruge, alikua anawapata taarifa presenters wa radio nyingine kuwa wasipige nyimbo ya msanii flani.....Hukumbuki kilichotokea kwa MR. 2 Na RUGE? kabla hata ya dili ya Malaria!Huo uraisi kapewa na nani..Nani anamwita hivyo?
Sasa mambo yamebadilika tv stations zimeondoa ukiritimba huu hasa EATV.Okay sawasawa mkuu, ila naamini wasanii wenyewe tu hawajiamini coz ktk ulimwengu huu wa social medias, na vituo vingi vya radio, mnanyenyekea vipi kituo kimoja?
Ni wakati wa wadau na wasanii kuamini kwamba mziki unaweza kuwepo na kuendelea bila kuitegemea cloudsSasa mambo yamebadilika tv stations zimeondoa ukiritimba huu hasa EATV.
Nakubariana Na wewe mkuu! Mimi always nasema Ruge Na Clouds walitaka kuua Bongo fleva.Ni wakati wa wadau na wasanii kuamini kwamba mziki unaweza kuwepo na kuendelea bila kuitegemea clouds
Wasanii wengi kipindi hicho walitoka kwa nguvu ya Ruge! Kipindi hicho kulikua Na connection Kati ya Ruge Na radio presenter's toka radio tofauti! Radio presenters enzi hizo walikua wana manage wasanii! Ili msanii atoke ilihitajika promo toka radio tofauti hasa Clouds! Lets say presenter X anasambaza audio ya msanii wake radio stations tofauti ikiwemo clouds, so walikua wanategemeana, siku ukizinguana Na Ruge, alikua anawapata taarifa presenters wa radio nyingine kuwa wasipige nyimbo ya msanii flani.....Hukumbuki kilichotokea kwa MR. 2 Na RUGE? kabla hata ya dili ya Malaria!
Ni 50..Sio 20Ukitaka kumjua Ruge muulize jakaya alitiwa ndimu ela ya studio, wasanii wanamuuliza anasema "mm mwenyew sielew embumulizen ruge" dimonde pia alipigishwa fiesta kwa buku 20 tu! Na ndio kati ya vitu ajikusahau ktk mziki wake, sugu na mpango wake wa maralia ruge akampaka ndimu akapiga ela na jakaya, na ndio maana clouds katika habar zake haigus serkal katka mawswala ya kitaifa bal unafk tu, pia ata marehem mangwear R.I.P aliingizwa mjin na uyu karl pita wa kihaya, na wasanii anao washikilia weng wanaimba sana lakin wanacho ambulia show za fiest, ukijitoa tht tu! Wanakupoteza kmzki kwa gharama yoyote ile ila tusichoke kumuombea barnaba ili ajitambue yye nan na anaweza fanya nn na wakati gan ktk mzik wake
Chakumalizia n Ruge mnyonyaji anyefanya kama anakusaidia kumbe anakuibia
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
....teh teh teh...point yangu wewe boya tu!...mtoto wa kiume unajiita @Powder,marinda hayawezi kuwa salama hayo!Kafirwe huko! Point yako iko wapi?
Asante mkuu kwa kuniweka sawaNi 50..Sio 20
Na wangepiga nyimbo gani sijuiNakubariana Na wewe mkuu! Mimi always nasema Ruge Na Clouds walitaka kuua Bongo fleva.
Unakumbuka mistari kwenye mmoja ya nyimbo ya Mr. 2!...anasema "Laki moja Na nusu kitu gani kwanza Mimi nakosa nini! Hata nisipo rap deal zangu Ni Million, 1, 2, 3 mpaka 5, Kama hupigi nyimbo zangu radioni hamna maneno".....Clouds huwa wanaandaa show zao za fiesta kila mwaka, Na huwalipa wasanii pesa ndogo Sana, kwa kuwaambia Clouds ndo imewatoa nyinyi Kama mnaona hii pesa ndogo mnaacha ila mjue mtakosa airtime, wasanii walikubari ila wakinung'unikia pembeni, Msanii wa kwanza kugomea unyonyaji huo alikua Mr. 2! Alipomchana Ruge waziwazi kuwa hayuko tayari kufanya show kwa bei Ile! Kilichotokea Ni Ruge kusimamisha upigwaji wa nyimbo wa Mr. 2!......Njia nyingine aliyokua anatumia Ni kumtengeneza mbadala wako! Ambaye ataimba style Kama wewe, atalipiwa studio tena bure! Ruge angeweza kumpigia P. Funky enzi hizo nakumwambia namtuma kijana hapo a record! So uta record hata Kama huna kipaji cha sauti utawekewa effect kwenye vocal! Nyimbo yako itapigwa weeee muda wote! Ndani ya week 2 kila mtu keshakujua wewe nani! Huku yule msanii wa mwanzo akikosa airtime!........Na ukweli Ni kwamba kipindi hicho ukitaka kutoka nyimbo yako ipigwe Clouds!
Mkuu embu nikumbushe hapo..Nn kilitokea?
Sasa hata Kama unashindwa kujua kuwa Kuna watu wanaitwa Wazee wa Powder (Drug Lords) wewe Si mshamba Tu! Huna unachojua!....teh teh teh...point yangu wewe boya tu!...mtoto wa kiume unajiita @Powder,marinda hayawezi kuwa salama hayo!