Ruge is more than exploiter...nchi kama china watu kama hawa wana uwawa!
He was the source ya kuiua East Coast,Kuwapoteza Gangwe Mob!...wenginw wanauliza idea inaibiwaje(poor minds) hamjawahi kuwa hata na mawazo ndio maana mnashindwa kuelewa inaibiwaje...Fiest wasanii wanaambiwa imba tutakupa promo..whats that shit!!Alimzunguka sugu na mradi wa maralia..nahii inahitaji shule kuijua...kamgandamiza na kumpoteza jayde..ikiwa bado alimgonga enzi za smooth vibe na mwanzo wa clouds..katafuta na kuwa cheua wafanyakazi kibao...where is mousud..unajuakuwa alifukuzwa for just one single letter!
Na soon ndio anapotea kwenye gemu..anajifanya eti entrepreneur and inspiration spiker..whats the shit kaona hiyo ndio fursa wakati ni mnyonyaji..wasio mjua ndio watakaa kumtetea hapa!