Watu Pori : Usithubutu kumwita Tembo/Ndovu Bonge Nyanya au kumwonesha Dharau

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,321
11,386
Ukiangalia wale wanyama 5 balaa yupo the big man,mbavu nene,mzee wa heavy weight tembo. Huyu jamaa kwa mwonekano na hata mwendo wake hana makeke kiivyo. Shida yake tu ni kuwa huwa hapendi madharau.
images (9).jpeg

Mshkaji anafahamu kuna watu huwa wanamchukulia yeye kama "bonge nyanya" best usije ukamchukulia hivyo utakuwa umefanya kosa la kifo.ni kweli anapenda amani hapendi maneno na mtu.

Kiuhalisia tembo huwa na uzito wa kilo 80plus kwa tembo mtoto na mkubwa hufika mpaka kilo 7000. Tani 7.kiufupi nchi kavu hakuna mnyama mkubwa kama tembo. Kama wewe ni mgeni na huyu mnyama kwa mbali unaweza hisi unaona kichuguu hivi.labda upo mitaa yake umekimbia town sababu ya corona ukaenda bush country huko ukakatiza mitaa huyu mzazi.ni mkubwa asikwambie mtu.

MAHUSIANO YAO YA KIMAPENZI
tembo wakiamua kugegedana inachukua masaa 12. Mwanaume anapiga mti.na hapo hajatumia alkasusu,hajatumia congo powder wala mchuzi wa pweza.kidume anapiga mashine kiasili.12 hrs babaake. Wewe masaa mawili tu unataka booster.
images (8).jpeg

Na kama angekuwa tembo anapiga nyeto basi sperms zake kama angemwaga kwenye ndoo ungepata lita 5. Sasa linganisha na vile vitone vyako unavyorusha huku unapiga kelele utadhani unafikisha hata robo lita.mwenzako lita 5 plus na wala hana kelele.akikumwagia unaweza oga kabisa...au ukachemsha supu.

Sasa chukulia. Masaa 12 muda wa game. Anamwandaa demu wake kwa romance masaa 6 then 6 mengine anampiga mashine...halafu sperms lita 5+ unategemea mimba inakaa muda gani? Miaka miwili kasoro 2.yaani miezi 22 ndo anakuja zaliwa mtoto wa tembo kwa bao ambalo baba yake kapiga ndani ya masaa kumi na mbili na sperms zenye ujazo wa lita 5+. Na hapo ni bao moja tu. Akiamua kupiga matatu?

Uume wa tembo una Kg 27. Unasikia? Ukuni wake ni kilo 27.ukimwona kwa nyuma wakati anagegeda unaweza sema ana miguu mitatu.sasa wewe kazana na kuongeza uume eti inchi 8 sijui 9.

Na dume anaweza kuwa na mademu wawili mpaka wa tatu. Wote anatumia muda huo kuwagegeda.kumbuka hatumii unga wa kongo wala nyagi,wala mchuzi wa pweza.

Hali hii humfanya mama tembo awe mkorofi sana anapokuwa na mtoto wake.hata wewe ungekuwa mkorofi.uongo?umempata kwa mbilinge mbilinge kwa masaa 6 mtu anakupumulia on your back.hapo masaa 6 mengine yalikuwa ni Romance. Halafu anamwaga mzigo ujazo wa lita 5+. Halafu anatoka boya kutaka kutaka hatarisha maisha ya mtoto wako....inakuwa issue nyingine.

Basi chezea hata mapumbuh ya tembo au uke wake. Ila usicheze na mama tembo akiwa na mwanaye.huwa wanakuwa wakorofi sana.yaani hapo ndo utaona ubaya wa tembo.

Na unajua tembo huwa wanajua binadamu wanawaita wao BONGE NYANYA. so wakiona binadamu anasogelea mtoto wao wanajua ni mwendelezo ule ule wa mazarau(dharau) za binadamu na viumbe vingine.tembo anaweza kukukimbiza kutoka hapo ulipomchokoza mpaka huku niliko.halafu kwa kuwa umemchokoza na kumsumbua atakutimba timba kinyama na kuhakikisha amekuua mara mbili au zaidi.yaani anakuua duniani na anakuua hata mbinguni au jehanamu usiende.

Atakukanyaga kanyaga.atavunja na miti mingi sana akufunike nayo.wakati huo jamaa zake wanatizama tu pembeni.akishakuwekea mlima wa kuni sasa anatafuta kiberiti akuwashe.(๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Hapa nimekupiga fix kidogo)

Jamaa zake ndo wakiona hali hiyo watamfuata na kumsihi akuache maana akikutia moto ataunguza pori zima.hapo watamsihi sana hasa tembo wazee.ndo atasikiliza maombi yao na kukuacha. Kwa dharau anaweza akajisaidia haja kubwa juu yako yaani kukuonesha wewe ni shit tu huna lolote.
images (7).jpeg

UFAHAMU /AKILI ZA TEMBO
Vile vimacho vya tembo kiukweli havina msaada kivile...basi tu ni vya kuonea mambo ya karibu. Tembo hutumia zaidi masikio katika utambuzi wake.anaweza kusikia sauti iliyoko umbali wa kms 8. Yaani kutoka hapo ulipo mpaka kule.

Na ukija enda mitaa yake anakopatikana.chonde chonde. Kama yupo na mtoto wake achana naye.fanya issues zako nyingine.huwa hawapendi bugdha kabisa.ukiona yupo na mwanaye we tafuta jamaa zake ndo uwaangalie au kama unataka kuuza sura.

Tahadhali.tembo kama ambavyo nmesema hapo awali hawapendi bugdha.si wapenzi wa kuuza sura.ndo maana we angalia picha zao nyingi huwaoni wameweka pozi.sababu mpigaji anapiga kwa kuvizia au akiwa mbali sana.

So piga picha bila flash.yale macho yao hayapo smat sana we mwenyewe ukicheck unaona ni very unproportional macho madogo mwili jumba.so akiona flash anashindwa tofautisha flash na hatari nyingine. Hapo atakuja usawa ulioko huku akifoka kinyama. "Nani huyo analeta mambo ya kise***e? Maana kumbuka haoni vizuri sana.sasa hapo usidhani atakupa muda wa kuelezea kuwa hiyo ilikuwa flash tu wala haina madhara.labda utaelezea ukiwa mbinguni. They wont give you a chance to explain down here.

Na hii yote tembo huwa anaona nyie watu mna madharau sana.mnamwona yeye ni bonge nyanya.na usije ukadhani hawezi kimbia...anakimbia vizuri sana.wa huku afrika wanakimbia mpaka kms 25 kwa saa. Wa huko kwa wenzetu hufika kms 40 kwa saa.

Pamoja na uzito wake wooote tembo hana kishindo.kabisa yaani.sasa imagine mswahili mwenye kms 100 tu anatembea ana shout balaa...na kuhakikisha anakanyaga asikike.tembo hayupo hivyo.ni mnyama wa amani ila ana nguvu...au kama anakumwagia unaloana chapa chapa babaake.

Huyu mnyama anapiga msosi...yes.hajivungi.kilo 300+ na maji lita 60 plus kwa siku.anakula magome ya miti,majani,nyasi n.k chkulia angekuwa anakula nyama...๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Ingekuwa issue. Tumshukuru Sir God kwa hilo. Amen.

Tembo wa afrika ni tofauti na tembo wa asia.hawa wa huku ni wakubwa sana na pia hawajawa sana na ushkaji na binadamu.wanajua binadamu wana mambo ya kidwanzi sana.mambo ya hovyo.mara wawaue na kuwang'oa mikonga yao...mara sijui nini.

Basi wamejikuta hawapendi sana kutengeneza ushkaji. Kundi la hawa ndugu huongozwa na jimama flani hiv lenye umri wa kutosha.ndo huwa linaongoza kundi la hawa ndugu.
images (6).jpeg

Ukiacha uchokoz wa sisi binadamu hawa wanyama si washali kiivyo.sema hawapendi madharau.na mtiti wake si wa kitoto....wanaweza hamisha kijiji hawa jamaa.na isitokee mmoja alikuja akala mazao shambani ukamfukuza kwa mawe.ataenda ita wenzie.watakichafua hapo kijijini ile mbaya.watang'oa mazao yoooote na kuharibu mashamba kwa hasira.mkose wote.

Kama anakula mwache ale tu kisha aondoke zake kwa amani.usimtibue.na hiii yote ni sababu tembo huwa ana mind binadamu kumwona yeye ni bonge nyanya.so hata jambo la kawaida tu yeye huwa analikuza kinyama.kuwa ni mwendelezo wa madharau.

Hawa jamaa wana tabia ya kuwa na njia zao.yaani wakipita hiyo njia watarudia hiyo hiyo.huacha alama ya haja kubwa njiani ili kukumbuka njia waliyopita.lakini pia ni kukujulisha kuwa hayo ni mapito yao so usiwawekee usiku.ukiona hivyo hama hiyi njia.ya nini malumbano?ya nini mashindano?jiweke pembeni kuepusha msongamano.
images (5).jpeg

Tena msongamano wenyewe na tembo..imagine wamekuweka mtu kati wanakuuliza " bro hukuona njia kote huko mpaka uje huku? Haya bro twende sasa....hapo ndo itakuwa zamu yako kuharisha ukiacha kinyesi njia nzima kama kumbukumbu kwa binadamu wenzio kuwa uliongozana na tembo kwenye njia yao.

Pamoja na ukubwa wao woote....tembo wanaogopa sana nyuki.yaani kama ikitokea wanakuja au umewaona sehemu ukasema "NYUKI HAOOOOOOOOOOO" Tembo watakimbia kila mtu njia yake.yaani hawawapendi nyuki hata kuwasikia tu kwa mbali. Unajua sababu?tuelezee...๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Karibuni wazee wa pori na pia watu pori.
 
Huyu ndiyo yule wanasema 'hawezi kulemewa na mkonga wake'.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ni Kweli siafu wanaweza kumuua Tembo wakiingia ndani ya mkonga wake?

Watu wanasema Tembo wakifiwa na mwenzao hukaa matanga ,je kuna ukweli hapa?
 
Wiki mbili zilizo pita nilikuwa natoka Dar naenda Mbeya. Nilipanda Coaster maarufu kwa jina la "Hakuna kulala" usiku saa tano tulimkuta mikumi mbugani ameenea kwenye bara bara , dereva ilibidi arudi reverse kumsubiri aondoke. Lilipo sogea pembeni kula majani tulipita nduki sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiangalia wale wanyama 5 balaa yupo the big man,mbavu nene,mzee wa heavy weight tembo. Huyu jamaa wa kwa mwonekano na hata mwendo wake hana makeke kiivyo. Shida yake tu ni kuwa huwa hapendi madharau.

Mshkaji anafahamu kuna watu huwamchukulia yeye kama "bonge nyanya" best usije ukamchukulia hivyo utakuwa umefanya kosa la kifo.ni kweli anapenda amani hapendi maneno na mtu.

Kiuhalisia tembo huwa na uzito wa kilo 80plus kwa tembo mtoto na mkubwa hufika mpaka kilo 7000. Tani 7.kiufupi nchi kavu hakuna mnyama mkubwa kama tembo. Kama wewe ni mgeni na huyu mnyama kwa mbali unaweza hisi unaona kichuguu hivi.labda upo mitaa yake umekimbia town sababu ya corona ukaenda bush country huko ukakatiza mitaa huyu mzazi.ni mkubwa asikwambie mtu.

MAHUSIANO YAO YA KIMAPENZI
tembo wakiamua kugegedana inachukua masaa 12. Mwanaume anapiga mti.na hapo hajatumia alkasusu,hajatumia congo powder wala mchuzi wa pweza.kidume anapiga mashine kiasili.12 hrs babaake. Wewe masaa mawili tu unataka booster.

Na kama angekuwa tembo anapiga nyeto basi sperms zake kama angemwaga kwenye ndoo ungepata lita 5. Sasa linganisha na vile vitone vyako unavyorusha huku unapiga kelele utadhani unafikisha hata robo lita.mwenzako lita 5 plus na wala hana kelele.

Sasa chukulia. Masaa 12 muda wa game. Anamwandaa demu wake kwa romance masaa 6 then 6 mengine anampiga mashine...halafu sperms lita 5+ unategemea mimba inakaa muda gani? Miaka miwili.yaani miezi 24 ndo anakuja zaliwa mtoto wa tembo kwa bao ambalo baba yake kapiga ndani ya masaa kumi na mbili na sperms zenye ujazo wa lita 5+. Na hapo ni bao moja tu. Akiamua kupiga matatu?

Uume wa tembo una Kg 25. Unasikia? Ukuni wake ni kilo 27.ukimwona kwa nyuma wakati anagegeda unaweza sema ana miguu mitatu.sasa wewe kazana na kuongeza uume eti inchi 8 sijui 9.

Na dume anaweza kuwa na mademu wawili mpaka wa tatu. Wote anatumia muda huo kuwagegeda.kumbuka hatumii unga wa kongo wala nyagi,wala mchuzi wa pweza.

Hali hii humfanya mama tembo awe mkorofi sana anapokuwa na mtoto wake.hata wewe ungekuwa mkorofi.uongo?umempata kwa mbilinge mbilinge kwa masaa 6 mtu anakupumulia on your back.hapo masaa 6 mengine yalikuwa ni Romance. Halafu anamwaga mzigo ujazo wa lita 5+. Halafu anatoka boya kutaka kutaka hatarisha maisha ya mtoto wako....inakuwa issue nyingine.

Basi chezea hata mapumbuh ya tembo au uke wake. Ila usicheze na mama tembo akiwa na mwanaye.huwa wanakuwa wakorofi sana.yaani hapo ndo utaona ubaya wa tembo.

Na unajua tembo huwa wanajua binadamu wanawaita wao BONGE NYANYA. so wakiona binadamu anasogelea mtoto wao wanajua ni mwendelezo ule ule wa mazarau(dharau) za binadamu na viumbe vingine.tembo anaweza kukukimbiza kutoka hapo ulipomchokoza mpaka huku niliko.halafu kwa kuwa umemchokoza na kumsumbua atakutimba timba kinyama na kuhakikisha amekuua mara mbili au zaidi.yaani anakuua duniani na anakuua hata mbinguni au jehanamu usiende.

Atakukanyaga kanyaga.atavunja na miti mingi sana akufunike nayo.wakati huo jamaa zake wanatizama tu pembeni.akishakuwekea mlima wa kuni sasa anatafuta kiberiti akuwashe.( Hapa nimekupiga fix kidogo)

Jamaa zake ndo wakiona hali hiyo watamfuata na kumsihi akuache maana akikutia moto ataunguza pori zima.hapo watamsihi sana hasa tembo wazee.ndo atasikiliza maombi yao na kukuacha. Kwa dharau anaweza akajisaidia haja kubwa juu yako yaani kukuonesha wewe ni shit tu huna lolote.

UFAHAMU /AKILI ZA TEMBO
Vile vimacho vya tembo kiukweli havina msaada kivile...basi tu ni vya kuonea mambo ya karibu. Tembo hutumia zaidi masikio katika utambuzi wake.anaweza kusikia sauti iliyoko umbali wa kms 8. Yaani kutoka hapo ulipo mpaka kule.

Na ukija enda mitaa yake anakopatikana.chonde chonde. Kama yupo na mtoto wake achana naye.fanya issues zako nyingine.huwa hawapendi bugdha kabisa.ukiona yupo na mwanaye we tafuta jamaa zake ndo uwaangalie au kama unataka kuuza sura.

Tahadhali.tembo kama ambavyo nmesema hapo awali hawapendi bugdha.si wapenzi wa kuuza sura.ndo maana we angalia picha zao nyingi huwaoni wameweka pozi.sababu mpigaji anapiga kwa kuvizia au akiwa mbali sana.

So piga picha bila flash.yale macho yao hayapo smat sana we mwenyewe ukicheck unaona ni very unproportional macho madogo mwili jumba.so akiona flash anashindwa tofautisha flash na hatari nyingine. Hapo atakuja usawa ulioko huku akifoka kinyama. "Nani huyo analeta mambo ya kise***e? Maana kumbuka haoni vizuri sana.sasa hapo usidhani atakupa muda wa kuelezea kuwa hiyo ilikuwa flash tu wala haina madhara.labda utaelezea ukiwa mbinguni. They wont give you a chance to explain down here.

Na hii yote tembo huwa anaona nyie watu mna madharau sana.mnamwona yeye ni bonge nyanya.na usije ukadhani hawezi kimbia...anakimbia vizuri sana.wa huku afrika wanakimbia mpaka kms 25 kwa saa. Wa huko kwa wenzetu hufika kms 40 kwa saa.

Pamoja na uzito wake wooote tembo hana kishindo.kabisa yaani.sasa imagine mswahili mwenye kms 100 tu anatembea ana shout balaa...na kuhakikisha anakanyaga asikike.tembo hayupo hivyo.ni mnyama wa amani ila ana nguvu.

..au kama akumwagia unaloana chapa chapa babaake.ukiwa huna afya unaweza hata ganda kutokana na uzito wake.

Huyu mnyama anapiga msosi...yes.hajivungi.kilo 300+ na maji lita 60 plus kwa siku.anakula magome ya miti,majani,nyasi n.k chkulia angekuwa anakula nyama... Ingekuwa issue. Tumshukuru Sir God kwa hilo. Amen.

Tembo wa afrika ni tofauti na tembo wa asia.hawa wa huku ni wakubwa sana na pia hawajawa sana na ushkaji na binadamu.wanajua binadamu wana mambo ya kidwanzi sana.mambo ya hovyo.mara wawaue na kuwang'oa mikonga yao...mara sijui nini.

Basi wamejikuta hawapendi sana kutengeneza ushkaji. Kundi la hawa ndugu huongozwa na jimama flani hiv lenye umri wa kutosha.ndo huwa linaongoza kundi la hawa ndugu.

Ukiacha uchokoz wa sisi binadamu hawa wanyama si washali kiivyo.sema hawapendi madharau.na mtiti wake si wa kitoto....wanaweza hamisha kijiji hawa jamaa.na isitokee mmoja alikuja akala mazao shambani ukamfukuza kwa mawe.ataenda ita wenzie.watakichafua hapo kijijini ile mbaya.watang'oa mazao yoooote na kuharibu mashamba kwa hasira.

Kama anakula mwache ale tu kisha aondoke zake kwa amani.usimtibue.na hiii yote ni sababu tembo huwa ana mind binadamu kumwona yeye ni bonge nyanya.so hata jambo la kawaida tu yeye huwa analikuza kinyama.kuwa ni mwendelezo wa madharau.

Hawa jamaa wana tabia ya kuwa na njia zao.yaani wakipita hiyo njia watarudia hiyo hiyo.huacha alama ya haja kubwa njiani ili kukumbuka njia waliyopita.lakini pia ni kukujulisha kuwa hayo ni mapito yao so usiwawekee usiku.ukiona hivyo hama hiyi njia.ya nini malumbano?ya nini mashindano?jiweke pembeni kuepusha msongamano.

Tena msongamano wenyewe na tembo..imagine wamekuweka mtu kati wanakuuliza " bro hukuona njia kote huko mpaka uje huku? Haya bro twende sasa....hapo ndo itakuwa zamu yako kuharisha ukiacha kinyesi njia nzima kama kumbukumbu kwa binadamu wenzio kuwa uliongozana na tembo kwenye njia yao.

Karibuni wazee wa pori na pia watu pori.
Mkuu tembo ama jumba kwa porini ni Mnyama mpole sana hana shughuli na mtu ndio maana hata yule mnyama ambaye hana shughuli yoyote porini zaidi ya kula Nyati Pofu Twiga na pundamilia uwa hana habari na tembo(namzungumzia simba. Mzee wa kula na kulala na kupigana miti) Tembo angekuwa binadamu nadhani angekuwa ni injinia kwa akili zake ila anakufa kizembe sana akikosa maji. Tembo anauwezo wa kuweka kumbukumbu ya kitu kwa muda mrf sana hasa njia zao hawana tabia ya kusahau rejea kuonekana kwa tembo UDOM ni sehemu ya njia zao za asili binadamu tukaenda kuvamilia na kuweka makazi huu ni ukatili. Pia kumbuka Dodoma ni sehemu ambayo tembo alititia idodomya maeneo ya kikuyu ndio maana Tembo wanaonekana sana sasa jiulize ni muda gani umepita. Ukitaka kujua ukorofi wa tembo ingia kwenye mbuga ya kutalii kwenye gari uweke apple Boga ama Tikiti maji hapo ndio utajua ukorofi wao. Pia ni walezi sana wa watoto ama mtoto ukitaka kujua ukorofi wake mjeruhi mtoto wake ndio utajua tafuta mkasa wa mamba walivyotaka kumla mtoto wa tembo tembo walitembeza kichapo mpaka mambo wakakimbilia nchi kavu. Wanatabia za kuweka sana visasi ufupi wana nongwa ukiua mama yake na ukamuacha mtoto na akawa amehifadhi harufu zenu hata ukikakaa miaka 20 ukienda pori ukagumiana nane lazima akuue kuba kisa cha kweli selous kuna mchina aliua mama ya tembo akabaki mtoto baada ya miaka 15 Mchina akarudi selous kilichompata ni historia ikabidi waangalie nyendo zake za nyuma wakagundua alishaingia selous miaka ya nyuma. Ana beba mimba miezi 18.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa Asia ni miezi 18-22 . Wa afrika "Bush Eleph" ni miezi 22. Kutokana na maelezo yao wenyewe.na hata tembo wenyewe huwadharau wale wa asia. Wanawaona kama ni daraja la chini kuliko hawa wa huku Afrika.

Mkuu tembo ama jumba kwa porini ni Mnyama mpole sana hana shughuli na mtu ndio maana hata yule mnyama ambaye hana shughuli yoyote porini zaidi ya kula Nyati Pofu Twiga na pundamilia uwa hana habari na tembo(namzungumzia simba. Mzee wa kula na kulala na kupigana miti) Tembo angekuwa binadamu nadhani angekuwa ni injinia kwa akili zake ila anakufa kizembe sana akikosa maji. Tembo anauwezo wa kuweka kumbukumbu ya kitu kwa muda mrf sana hasa njia zao hawana tabia ya kusahau rejea kuonekana kwa tembo UDOM ni sehemu ya njia zao za asili binadamu tukaenda kuvamilia na kuweka makazi huu ni ukatili. Pia kumbuka Dodoma ni sehemu ambayo tembo alititia idodomya maeneo ya kikuyu ndio maana Tembo wanaonekana sana sasa jiulize ni muda gani umepita. Ukitaka kujua ukorofi wa tembo ingia kwenye mbuga ya kutalii kwenye gari uweke apple Boga ama Tikiti maji hapo ndio utajua ukorofi wao. Pia ni walezi sana wa watoto ama mtoto ukitaka kujua ukorofi wake mjeruhi mtoto wake ndio utajua tafuta mkasa wa mamba walivyotaka kumla mtoto wa tembo tembo walitembeza kichapo mpaka mambo wakakimbilia nchi kavu. Wanatabia za kuweka sana visasi ufupi wana nongwa ukiua mama yake na ukamuacha mtoto na akawa amehifadhi harufu zenu hata ukikakaa miaka 20 ukienda pori ukagumiana nane lazima akuue kuba kisa cha kweli selous kuna mchina aliua mama ya tembo akabaki mtoto baada ya miaka 15 Mchina akarudi selous kilichompata ni historia ikabidi waangalie nyendo zake za nyuma wakagundua alishaingia selous miaka ya nyuma. Ana beba mimba miezi 18.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ugomvi gani kati ya apple,boga au tikitiki?

Tembo anapenda sana hivyo vyakula. Kuna watalii waliingia na Ma apple mbugani wakatengeneza tent lao wakaliacha ndani wakawa wameweka hayo ma apple yao humo walivyorudi ikabidi watafute sehemu ya kulala Tembo walichana chana tent lote. Ni marufuku pia kuingia na maboga mbugani. Jifunze kutembelea mbuga za wanyama ujue halafu kuna advantage ya kupata mume ama mke mzungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikitaka mke mzungu naoa popote pale. But pia mimi si umri huo wakukimbizia wanawake wa kizungu kama fala. Hizo tabia za machalii wa arusha. Mimi natembelea mbuga na mpaka wananifahamu mikumi,serengeti na ngorongoro.natembelea kuosha macho. Mke tayari ninaye ninayempenda.

Tembo anapenda sana hivyo vyakula. Kuna watalii waliingia na Ma apple mbugani wakatengeneza tent lao wakaliacha ndani wakawa wameweka hayo ma apple yao humo walivyorudi ikabidi watafute sehemu ya kulala Tembo walichana chana tent lote. Ni marufuku pia kuingia na maboga mbugani. Jifunze kutembelea mbuga za wanyama ujue halafu kuna advantage ya kupata mume ama mke mzungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa hujiona kama pori lote ni lao...

Wiki mbili zilizo pita nilikuwa natoka Dar naenda Mbeya. Nilipanda Coaster maarufu kwa jina la "Hakuna kulala" usiku saa tano tulimkuta mikumi mbugani ameenea kwenye bara bara , dereva ilibidi arudi reverse kumsubiri aondoke. Lilipo sogea pembeni kula majani tulipita nduki sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom