Ruge mutahaba atoa amri kwa wafanyakazi wake.. Hakuna kupiga bongo fleva leo..

Ameyasema hayo asubuhi hii redioni Clouds fm.. Ameamua hivyo kuonesha CLOUDS FM ni institution binafsi ina maamuzi yake!

Leo nimemsikiliza Ruge amekuwa akielezea back grounds za baadhi ya wasaniii ambao wamepita mikono mwa Clouds FM, kuna kitu nimegundua ... kwa sehemu kubwa Ruge na taasisi yake wamewainua wasanii wengi sana katika taifa hili na hata kama kuna makosa ya kibinadamu aliyoyafanya/anayoyafanya lakini mimi binafsi Ruge anastahili pongezi... kuna mambo ya majungu, wivu na roho mbaya za baadhi ya watu wa mjini wamekuwa wakuharibia maendeleo ya wengine...

lady-jay-vs-ruge.jpg kapige kura hapa 360VOTES | nani zaidi Ruge Vs Jay dee
 
Kuna mtu aliita radio ya maCameroon sasa ni dhahiri. mwongozo wa radio unatolewa kwenye press briefing? hakuna mfumo wa upangaji wa vipindi? Je ni lazima autangazie umma kwamba kwa sababu JIDE kamsema basi bongo fleva zote zisimamishwe?

Ukweli unachoma kuliko sindano, ukweli huwa unajisimamia wenyewe, Giza halikuwahi kuushinda mwanga hata siku moja.

Ruge sikiliza kilio cha wasaniii na acha kuwa arrogance. jiulize why VINEGA, WHY JIDE, WHY SAIDA, n.k Maana yake kuna shida.

Msemo: Ukitaka kujua tabia zako, muuzi rafiki yako wa karibu yote atakayosema juu yako ni kweli kuhusu wewe
 
Hata sijaona cha maana kutoka kwa Ruge hapo, mi nilidhani marufuku bongo fleva clouds daima kumbe leo tu.......aende zake.
 
Huyo ndio Ruge bana..... alitilia mkazo kwamba mimi boss nimesema leo hakuna kupiga ubongo usio na fleva... na ntamwambia Seba.... chezea boss wewe...
 
Ameyasema hayo asubuhi hii redioni Clouds fm.. Ameamua hivyo kuonesha CLOUDS FM ni institution binafsi ina maamuzi yake!

Ni mpumbavu na mwenye maamuzi ya kipumbavu...kama ana msuli apige barn bongo fleva milele tuone kama hatapitisha redundancy kwa wafanyakazi wake.
 
Jide katunga huu wimbo wa "Joto Hasira" on the right time. Nina uhakika anasikia joto sana sasa hivi.
 
Leo nimemsikiliza Ruge amekuwa akielezea back grounds za baadhi ya wasaniii ambao wamepita mikono mwa Clouds FM, kuna kitu nimegundua ... kwa sehemu kubwa Ruge na taasisi yake wamewainua wasanii wengi sana katika taifa hili na hata kama kuna makosa ya kibinadamu aliyoyafanya/anayoyafanya lakini mimi binafsi Ruge anastahili pongezi... kuna mambo ya majungu, wivu na roho mbaya za baadhi ya watu wa mjini wamekuwa wakuharibia maendeleo ya wengine...

Ungechaji ubongo wako kidogo tu ungegundua kuwa walikuwa wana_INUA wasanii wengine kwa ku_WASHUSHA NA KUHUJUMU wasanii wengine. Kitu ambayo ni dhambi. Naona sana anakuja na JOTO HASIRA baada ya Jide kufunguka. Mwambie Ruge TUTAKUTANA MAKABURINI Jide akifa tumuoneshe moto wetu
 
Hapo hakuna lolote wote ni watafutaji pesa na katika kutafuta fitina lazima ziwepo,hili si jambo la ajabu sana kwa wafanyabiashara kama hawa.
 
mh! haya sasa ni majungu jamani! yanatuhusu nini km si uchonganishi! kha!
 
Back
Top Bottom