Rufaa ya Mh.Mbowe ni moja ya juhudi za Lissu.

prs

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
2,644
2,000
Salam wakuu, Sina mengi ila Juhudi za Lissu kumzungumzia Mbowe katika vyombo vya habari vya Kimataifa kuliwaweka Mahakama na Serikali kwenye wakati mgumu, Ilikua lazima Mbowe atoke kwa style hii, kwa masharti laini.
Jiwe Kumzungumzia Mo, Haki za Binadamu nao hawako nyuma.. Huu ni Mwanzo..
Shukran Lissu ,Matunda yanaonekana sasa. 😂
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
12,907

Killa alipoenda alipiga kelele kuwa KUB anashikiliwa mahabusu kwa mashtaka ya kisiasa.
 
Halaiser

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
2,537
2,000
Mungu atawalipa wale wote waliotenda mema ktk shauri hili na pia wale wote waliotenda au kuandaa hujuma ktk shauri hili nao watalipwa kwa kadri ya matendo yao.

Mungu tunaomba uendelee kumlinda Mh Lissu pamoja na Viongozi wote wa Chadema. Uwaongoze kwa kila neno watakaotamka liwe ni chachu ya mabadiliko ktk nchi yetu. Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
13,729
2,000
Ingabire wa rwanda alivyo achiwa akasema ni shinikizo la wazungu na sio huruma ya kagame, kagame akamsweka ndani hadileo yuko sero. Sasa mdanganyeni huyo jamaa yenu. Mdomo uliponza kichwa. Mwambieni ajifanye mdomo umeteleza baada ya kunywa Indian mahindra.
 
Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
11,845
2,000
Salam wakuu, Sina mengi ila Juhudi za Lissu kumzungumzia Mbowe katika vyombo vya habari vya Kimataifa kuliwaweka Mahakama na Serikali kwenye wakati mgumu, Ilikua lazima Mbowe atoke kwa style hii, kwa masharti laini.
Jiwe Kumzungumzia Mo, Haki za Binadamu nao hawako nyuma.. Huu ni Mwanzo..
Shukran Lissu ,Matunda yanaonekana sasa.
Hukumu ya Jaji Rumanyika imedhihirisha hili

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
Bramo

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
11,845
2,000
Ingabire wa rwanda alivyo achiwa akasema ni shinikizo la wazungu na sio huruma ya kagame, kagame akamsweka ndani hadileo yuko sero. Sasa mdanganyeni huyo jamaa yenu. Mdomo uliponza kichwa. Mwambieni ajifanye mdomo umeteleza baada ya kunywa Indian mahindra.
Kwa hiyo Baba ubaya ndio anasweka watu ndani hapa kwetu ?

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,374
2,000
Ingabire wa rwanda alivyo achiwa akasema ni shinikizo la wazungu na sio huruma ya kagame, kagame akamsweka ndani hadileo yuko sero. Sasa mdanganyeni huyo jamaa yenu. Mdomo uliponza kichwa. Mwambieni ajifanye mdomo umeteleza baada ya kunywa Indian mahindra.

So Tanzania kwa sasa tunamuiga Kagame!?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom