redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,133
- 11,479
Apo mlipofikia ata Lisu anajua mnampa sifa za kijinga,Siamini kama Lisu ni mjinga kiasikwamba asitambue sasa mna mkejeli.Salam wakuu, Sina mengi ila Juhudi za Lissu kumzungumzia Mbowe katika vyombo vya habari vya Kimataifa kuliwaweka Mahakama na Serikali kwenye wakati mgumu, Ilikua lazima Mbowe atoke kwa style hii, kwa masharti laini.
Jiwe Kumzungumzia Mo, Haki za Binadamu nao hawako nyuma.. Huu ni Mwanzo..
Shukran Lissu ,Matunda yanaonekana sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app