Rufaa ya Mh.Mbowe ni moja ya juhudi za Lissu.

Mualiko wa Congress sio mchezo. Pengine ni strategy ya kumnyima/kumpunguzia agenda....

Ingawa kwa namna walivyoshinda hiyo rufaa....kuna prove zaidi kuwa baadhi ya mahakimu/majaji wanaingiliwa katika maamuzi na serikali. Hii ni hatari kwa utawala wa sheria.
 
Ingabire wa rwanda alivyo achiwa akasema ni shinikizo la wazungu na sio huruma ya kagame, kagame akamsweka ndani hadileo yuko sero. Sasa mdanganyeni huyo jamaa yenu. Mdomo uliponza kichwa. Mwambieni ajifanye mdomo umeteleza baada ya kunywa Indian mahindra.
Acha ujinga wewe, Victoire Ingabire yuko huru mpaka kesho. Labda nimetoka usingizini na sina taarifa, tafadhali share any news article on rearrest. Tuache kusifia upumbavu na mateso kwa binadamu wengine. Kuku wewe umenikera sana.
 
huyo mpumbavu wa jiwe hajui kitu kwa kuongezea serikali ya Rwanda inatakiwa imlipe compesation ya $61,000
 
Vi
Ingabire wa rwanda alivyo achiwa akasema ni shinikizo la wazungu na sio huruma ya kagame, kagame akamsweka ndani hadileo yuko sero. Sasa mdanganyeni huyo jamaa yenu. Mdomo uliponza kichwa. Mwambieni ajifanye mdomo umeteleza baada ya kunywa Indian mahindra.
Victoria Ingabire alishaachiwa kitambo,tena bila masharti
 
Salam wakuu, Sina mengi ila Juhudi za Lissu kumzungumzia Mbowe katika vyombo vya habari vya Kimataifa kuliwaweka Mahakama na Serikali kwenye wakati mgumu, Ilikua lazima Mbowe atoke kwa style hii, kwa masharti laini.
Jiwe Kumzungumzia Mo, Haki za Binadamu nao hawako nyuma.. Huu ni Mwanzo..
Shukran Lissu ,Matunda yanaonekana sasa. 😂

HAKIKA.......!
Huu ni ushindi Mkubwa sana kwa Lissu na CHADEMA kwa ujumla wake. Lakini ni kushindwa vibaya sana kwa UTAWALA WA MAGUFULI, CCM na SERIKALI yake. Ni aibu, aibu,aibu .........!!!
 
  • Thanks
Reactions: prs
Kwa hiyo JPM ndio alikuwa ameziagiza mahakama zimuweke ndani? Sasa tunaposema mahakama haziko huru huwa mnabisha nini?

tindo,
Jibu la swali lako la kwanza ni NDIYO. Hapana shaka JPM ana mkono kwene maamuzi haya ya kipuuzi Mahakamani. Fuatilia kauli za JPM aliporopokwa kuwa WAPINZANI WATAOZEA JELA......!!Ni ukweli ulio wazi kuwa katika awamu hii ya JPM, The JUDICIARY system IS NO LONGER FREE!
Kilichotokea kwa DHAMANA YA Waheshimiwa MBOWE na MATIKO ni mbinyo wa Taaasisi na Jumuia za Kimataifa baada ya Lissu kukinukisha huko ughaibuni...!!!
 
Mabeberu wake wamchukue jiwe waende nae huko wakamwonyeshe kazi kama walivyowahi kufanya kwa jenerali Noriega ,atuondokee huku ametuchosha na ushetani wake jitu sijui lina roho ya namna gani sijui ?
Tuliza mzuka wa chuki maana utaita vidonda vya tumbo bure. Funga mkanda tu safari hii bado ni ndefu abiria.
 
  • Thanks
Reactions: prs
Back
Top Bottom