Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,895
- 1,608
Sina hakika haya mawazo yako ni kwa sababu ya ujinga au unataka kupotosha kwa makusudi!
Ni ujinga usiomithirika kubeza lugha ya kingereza ilihali tunajua kabisa kwamba English is a Lingua Franca of many speech communities. Kubeza lugha ya malkia ni udhihirisho kuwa wewe fikra zako ni fupi kwa kiwango cha kuhuzunisha sana.
Mzungu hana time na kiswahili, yeye na economy tu.. ila wabongo sasa wanaishupalia kiingereza. Na akijua kiingereza mbona utakoma kiongozi 🤣🤣🤣 Tanzania nzima itajua 🤣🤣🤣 anaongea kiswahili anachanganya na kiingereza. Aise huu ni utumwa haswaa