Rudi nyumbani, kumenoga - by TTCL

Rudi nyumbani, kumenoga - by TTCL

Niliacha kutumia Internet ya TTCL mwaka 2008 kutokana na kero zao. Hata hivyo, naamini kero hizo kwa miaka hii hazi-exist manake wakati ule tulikuwa tunatumia dial up modem!

Siku mahali nguzo ikidondoka; hesabu unakaa hata mwezi bila huduma unless uwe kwenye line ya kishua na sio hizi zetu za Uswahilini!

But guess what? Speed niliyokuwa naipata 2008 bado Tigo hawajaifikia kwenye eneo langu hii 2018.

Tatizo kubwa labda kwenye bei zao! Ni wazito sana ku-respond kwenye price war. Wenzao wakiona ushindani umekuwa mkubwa; faster wanatumia pricing weapon ku-win soko! Wasiposhusha bei ya vifurushi basi haraka sana watazindua kifurushi kipya ambacho ni more competitive!

X akizindua kifurushi kipya leo; Y ana-counterattack kesho yake huku TTCL wakibaki pale pale wanapiga usingizi!

Matokeo yake, unaweza kukuta leo hii TTCL ndie mwenye cheapest bundles in the market! Lakin baada ya muda, anakuwa ndie mwenye most expensive bundles in the market na wanabaki hivyo kwa miezi kadhaa kama sio mwaka!

Kinachofuata hapo ni wateja wake kutupa modem kwenye droo na kuhamia kwenye bundle nafuu!

Tena kuna cku hapa niliuliza ikiwa bei za hawa jamaa ni hadi ziwe approved kule juu!

Kama ndivyo, basi wabadilike na kuipa Sales Department uhuru wa kutosha utakaowawezesha kupambana na industry monsters ambao wapo very aggressive sokoni!

TTCL wakiachiwa wajidai na wakapata aggressive sales management team; hawa akina Vodacom cjui Tigo na wenzao wote lazima waombe poo!!
 
Niliacha kutumia Internet ya TTCL mwaka 2008 kutokana na kero zao hata hivyo, naamini kero hizo kwa miaka hii hazi-exist manake wakati ule tulikuwa tunatumia dial up modem!

Siku mahali nguzo ikidondoka; hesabu unakaa hata mwezi bila huduma unless uwe kwenye line ya kishua na sio hizi zetu za Uswahilini!

But guess what? Speed niliyokuwa naipata 2009 bado Tigo hawajaifikia kwenye eneo langu hii 2018.

Tatizo kubwa labda kwenye bei zao! Ni wazito sana ku-respond kwenye price war. Wenzao wakiona ushindani umekuwa mkubwa; faster wanatumia pricing weapon ku-win soko! Wasiposhusha bei ya vifurushi basi haraka sana watazindua kifurushi kipya ambacho ni more competitive!

X akizindua kifurushi kipya leo; Y ana-counterattack kesho yake huku TTCL wakibaki pale pale!

Matokeo yake, unaweza kukuta leo hii TTCL ndie mwenye cheapest bundles in the market! Lakin baada ya muda, anakuwa ndie mwenye most expensive bundles in the market na wanabaki hivyo kwa miezi kadhaa!

Kinachofuata hapo ni wateja wake kutupa modem kwenye draws na kuhamia kwenye bundle nafuu!

Na kuna cku hapa niliuliza ikiwa bei za hawa jamaa ni hadi ziwe approved kule juu! Kama ndivyo, wabadilike na kuipa Sales Department uhuru wa kutosha utakaowawezesha kupambana na industry monsters ambao wapo very aggressive sokoni!

Umemaliza kila kitu mkuu umeongea ukweli mtupu. I hope management y ttcl waone hii.
 
Brilliant post.

Naona TTCL wanajua mbinu za marketing lakini wana kwama Ku sustain kwenye soko.

Bado naamini halotel is the best kwenye service zake.
 
Huwa siargue na vilaza mimi, so what nin? niliyemjibu kaelewa nimejibu nini, actually nlikuwa najibu hicho alichosema watumiaji hawazidi laki tano (kwa faida yako).
Anhaa! Nishajua jinsia yako.

Sasa unafikiri nani hajui izo statistics zako?

Weka hoja na chambua sio unaleta frechentonix hapa.
 
Back
Top Bottom