Ruby: Nilikuwa nalala kwenye kibaraza cha Diamond

Ruby: Nilikuwa nalala kwenye kibaraza cha Diamond

Namfungulia dunia na bosi wake Kwa kipindi hicho ndo walikuwa watawala WA soko la muziki, walikuwa wanauwezo WA kumpandisha huyu na kumshusha yule. Inawezekana mabinti wengi waliliwa ila hawasemi TU
Sio inawezekana... hao jamaa awacheki na chupi...hakuna celebrities wa kike...ambae hajaliwa na Marehemu 😅😅😅 ukitaka story vizuri muulize Pascal Mayalla amefanya nao kazi anawajua vizuri
 
Ndo maana wasanii wakike Kila wakifanya intavyuu utaskia ukiwa msanii wakike ni ngumu kutoboa, wanaojua ugomvi WA marehemu nitawafungulia Dunia na JDee, nadhani Kuna mengi yatakuwa yamefichwa sio ugomvi WA maslahi TU.
 
Kuna uzi humu alikuwepo south anauza midude kitambo tu.
Hayo yalitokea baada ya kudeportiwa
 
Nilivyorudi Dar es salaam ndugu zangu wote wa huku walinikataa hivyo nikakosa sehemu ya kulala, nilipata gest flani maeneo ya sinza kwa siku nilikuwa nalipa elfu 5, sasa kumbe ile gest ilikuwa inaangaliana na nyumba ya Diamond Platnumz.

“Sasa nilivyokuwa nakosa hela ya kulipia gest nikawa naenda kulala kwenye kibaraza cha nyumba ya Diamond bila kujua kuwa ni nyumba yake, kuna siku akanikuta akanisamilia. mimi na Diamond tumeanza kujuana mda mrefu sana" amesema hayo msanii ruby

View attachment 3656040

View attachment 3656038
Wote takataka tupu. Mitatoo kwa mswahili wapi na wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom