PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,521
- 13,110
Mkuu huyo jamaa alikomenti vizuri mleta post ndio akafanya kuedit post yake!Hivi wewe huwa unasoma kwa kutumia nni
Mkuu huyo jamaa alikomenti vizuri mleta post ndio akafanya kuedit post yake!Hivi wewe huwa unasoma kwa kutumia nni
Tatizo hajui chanzo huyo.Mkuu huyo jamaa alikomenti vizuri mleta post ndio akafanya kuedit post yake!
Una uhakika amesema wa kwanza??mnakuwa mna papara za nini kukimbilia ku-comment
Hivi wewe huwa unasoma kwa kutumia nni
Hawa watu wanakera sana,nimeshalitolea ufafanuzi mara 2 lakini bado wanatokwa povu.Mkuu huyo jamaa alikomenti vizuri mleta post ndio akafanya kuedit post yake!
Uyo Darling anafanya mn wcb mbona hasikiki? Au anawapikia tuu?Haya sasa,wako wapi WCB waliomponda na kumtukana Darasa kwa hii ngoja yake mpya?
Unasema Ruby atakuwa msichana wa kwanza kujiunga WCB,Queen Darling ni mwanaume?
Tunakimbizana na msisha tu mkuu asanteMkuu cjui unawah wapi unachapia mno ni harmonize co harminzi na ni wcb co wcf
Fursa ya video South AfricaWCB kwani wana kitu gani special?
Haya sasa,wako wapi WCB waliomponda na kumtukana Darasa kwa hii ngoja yake mpya?
Unasema Ruby atakuwa msichana wa kwanza kujiunga WCB,Queen Darling ni mwanaume?
kasema wa2Haya sasa,wako wapi WCB waliomponda na kumtukana Darasa kwa hii ngoja yake mpya?
Unasema Ruby atakuwa msichana wa kwanza kujiunga WCB,Queen Darling ni mwanaume?
Mi naona Mond kaamuweka kumsaidia maisha kama dadaake ili asiadhirike mjini.Uyo Darling anafanya mn wcb mbona hasikiki? Au anawapikia tuu?
Swala La Kuwa Label Binafsi Halina Mahusiano Na Kusain Lebo Nyingine!!! Nakupa Mfano: Meek Mill Kasaini Label Ya Rick Ross MMG (Maybach Music Group)! Lakin Ana Lebo Yake Inaitwa DC4LIFE (Dream Chasers)Hizo ni tetesi!
Hajajiunga WCB unless likitoka tamko rasmi..
Alafu mkumbuke Darassa ana lebo yake CMG kwahiyo sio kitu rahisi kwake kujiunga WCB..
Alafu "usajili" WCB ulifungwa kwa muda ili kuwasukuma wasanii ambao tayari wapo.. Kwahiyo hii taarifa itabakia tu kuwa tetesi
Ruby mpaka sasa alitakiwa awe amejiunga kitambo sana! Ila kuna vitu vilikuwa havijafikiwa muafaka..
Tusubiri official announcement..
Am back again, Stunter In the buildingDogo umeivamia jf kwa fujo sana,matokeo yake unazochezea BAN kila wiki kubabake daah teh teh teh teh.....