Tetesi: Ruby na Darasa kujiunga WCB

Habari kama hii ungeileta na source ingependeza zaidi, na pia kuhusu picha ungeleta basi japo wawepo na crew au viongozi wa WCB.
-Ruby anahitaji management ili afanye vizuri zaidi kipaji chake kisipotee na WCB ni sehemu nzuri kwa kukiendeleza kipaji chake adimu.
 
Ndiyo lebo yenye ushawishi zaidi kwenye kiwanda cha muziki Afrika Mashariki and one the best and most influential in Africa.. Na ndio lebo pekee ya kitanzania yenye weledi wa soko la mziki nje ya mipaka ya nchi yetu..

Mkuu, that is special..
umeeleza vizuri
 
"Sio SIMBA sio chui sio MAMBA"
"kalale ndoto zako za kitanda"

ngoz yangu inatosha kujigamba.. darasa we noma bna. uko pouwa.... zisingekua team kiba na mond hii ngoma ingepenyeza sana au ungemshirisha mmoja wapo... huu ndo mziki Pesa.
 
Ndiyo lebo yenye ushawishi zaidi kwenye kiwanda cha muziki Afrika Mashariki and one of the best and most influential in Africa.. Na ndio lebo pekee ya kitanzania yenye weledi wa soko la mziki nje ya mipaka ya nchi yetu..

Mkuu, that is special..

Nani behind all that?
 
Hizo ni tetesi!
Hajajiunga WCB unless likitoka tamko rasmi..

Alafu mkumbuke Darassa ana lebo yake CMG kwahiyo sio kitu rahisi kwake kujiunga WCB..
Alafu "usajili" WCB ulifungwa kwa muda ili kuwasukuma wasanii ambao tayari wapo.. Kwahiyo hii taarifa itabakia tu kuwa tetesi

Ruby mpaka sasa alitakiwa awe amejiunga kitambo sana! Ila kuna vitu vilikuwa havijafikiwa muafaka..

Tusubiri official announcement..
sawa afisa habari wa WCB.
Sijui wanakulipa Sh ngapi,sio kwa kazi hii nzito unayoifanya huku!

Nilitaka nikutag ila nikajua tu utakuja
 
Darasa mbona anafanya vizuri hata asipokuwa WCB au mi ndo sielewi msingi wa kwenda WCB ni upi. Anyways enyi WCB mavoko, Rayvanny, na harmonize hawajafika huko wanakotakiwa kufika ili kuprove kuwa mnaweza kumanage vizuri wasanii wengi, mnaongeza wengine tena. Bado naamini Diamond anavingi vilivyopelekea akafika alipo.
but kama ni tetesi sawa.
 
Wachukue watu ambao bado wanasota kwenye game hao walishayoboa kwa kiasi flani watu kama harminzi na Ryvan hapo mwanzo hatukuwajualakini walivyokuja wcf vipaji vyao vikaonekanna ingekua vizuri wangaibua vipaji vipya
 
Back
Top Bottom