Tetesi: Ruby na Darasa kujiunga WCB

Haya sasa,wako wapi WCB waliomponda na kumtukana Darasa kwa hii ngoja yake mpya?

Unasema Ruby atakuwa msichana wa kwanza kujiunga WCB,Queen Darling ni mwanaume?
Uyo Darling anafanya mn wcb mbona hasikiki? Au anawapikia tuu?
 
Darassa amekuwa hot cake siku hizi.
Afu zile tetesi za kumtoa billnas kwa MCHAFU na kumleta WCB ziliishia wapi? Maana hizi habari za kusign na WCB zishafanywa kama mtaji siku hizi.
 
Haya sasa,wako wapi WCB waliomponda na kumtukana Darasa kwa hii ngoja yake mpya?

Unasema Ruby atakuwa msichana wa kwanza kujiunga WCB,Queen Darling ni mwanaume?

Kwani Queen Darleen ni mwanamke?? Dume lile katika jina linalofanana na la kike.
 
Darasa ni msanii wa msimu tu, wala hana uwezo wowote.Kwa sasa anabebwa sana na Clouds Kwa Kuwa Wanamtumia Sana Kwenye Matamasha Yao Uchwara - After Skul Bash Ya Kina Mchomvu, Fiesta Na Psi.Wakimchoka Na Shilawadu Wanajichotea.
 
Haya sasa,wako wapi WCB waliomponda na kumtukana Darasa kwa hii ngoja yake mpya?

Unasema Ruby atakuwa msichana wa kwanza kujiunga WCB,Queen Darling ni mwanaume?
kasema wa2
 
Hizo ni tetesi!
Hajajiunga WCB unless likitoka tamko rasmi..

Alafu mkumbuke Darassa ana lebo yake CMG kwahiyo sio kitu rahisi kwake kujiunga WCB..
Alafu "usajili" WCB ulifungwa kwa muda ili kuwasukuma wasanii ambao tayari wapo.. Kwahiyo hii taarifa itabakia tu kuwa tetesi

Ruby mpaka sasa alitakiwa awe amejiunga kitambo sana! Ila kuna vitu vilikuwa havijafikiwa muafaka..

Tusubiri official announcement..
Swala La Kuwa Label Binafsi Halina Mahusiano Na Kusain Lebo Nyingine!!! Nakupa Mfano: Meek Mill Kasaini Label Ya Rick Ross MMG (Maybach Music Group)! Lakin Ana Lebo Yake Inaitwa DC4LIFE (Dream Chasers)
 
Back
Top Bottom