Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,218
- 41,803
Najua kwanini umecheka[emoji28][emoji28][emoji28]. Mimi lazima nimfungukie tuu maana huwa ananikomesha kwa vitendo na siyo maneno.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najua kwanini umecheka[emoji28][emoji28][emoji28]. Mimi lazima nimfungukie tuu maana huwa ananikomesha kwa vitendo na siyo maneno.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji4][emoji4][emoji4]Fukua tuu
Kuwa na uhakika huu ugomvi bado mbichi 😎
Na wewe pia?WOW! [emoji1417]
Najua kwanini umecheka[emoji28][emoji28][emoji28]. Mimi lazima nimfungukie tuu maana huwa ananikomesha kwa vitendo na siyo maneno.
Wewe haujui[emoji28]Hata mimi najua.
Kumbeeeee!!!🤷🤷🤷🤷Auntie upoje unakuwa kama mtoto kwahiyo unajua hiyo ndio I'd yake eti Don
Kumbe ni ngosha ngoja nipike pilau ya satoNgosha uko wapi jamani umedondokewa huku?
Sio ugali?Kumbe ni ngosha ngoja nipike pilau ya sato
Hivi chuo cha kusomea "usister " ada ni shingapi?
Upendo una angalia mda mpendwa.Una miezi miwili toka ujiunge umeshaanza kuwapenda watu humu..... Mweeeeeh[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] haya anaehisi anapendwa na mimi ajitokeze mwenyewe sitaki kumtaja
Mzigu simwelewi elewi..itabidi niweke hema kwako kabida maana naona hata don analeta upinzani wa chini chiniUzi unifungulie Mimi kuolewa aolewe Mzigua90?
Mimi nishike pembe siyo?