Rrondo ninakupenda njoo tuyajenge

Rrondo ninakupenda njoo tuyajenge

Duh,si kwa kaburi hili..unataka nambia kwamba jembe hii itakua ni moja kat ya IDs zake mpya..muulizs hyo ID yenye miaka kumi yeye ni nan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sawa bhanaaa.
Sisi mabonge acha tukae kimya.

Ona utakavyonibadilishia gia.
Mimi kwani napenda maumbo au nampenda mtu?[emoji23][emoji23][emoji23]

Naona unataka kuniingiza kingi
 
ukiwa pumbafu jitahidi kusave memory kidogo kwa ajili ya kumbukumbu,
asante.
 
Wewe ni senior bachelor niliyebahatika kukupenda. Mpenzi Rrondo tusipoteze muda njoo tuyajenge. Maisha ni mafupi na kulea mtoto ni mpaka agile angalau 25 amemaliza degree ya kwanza ndiyo utapumua. Mpenzi njoo tuanze familia.
Id yako ya zaman iko wapi kiongozi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom