Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Endelea kuimagine
Duh! Sawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Endelea kuimagine
Mchumba naomba utambulisho hapaNdio anavyokudanganyaga?pole
Ndio anavyokudanganyaga?pole
Ohoooooo.....![]()
Nimeachwa na mwanaume baada ya kunifungulia duka
Huyu mwanaume alinifaa kwa hali na mali. Nilikosa ajira akanifungulia duka. Aliniacha mwaka mmoja ukuopita lakini sijaweza kumsahau. Ana akili sana na alikuwa mshauri wangu mkuu. Ninatamani aje aone maendeleo yangu, duka limepanuka na nimeongeza na container ninauza vinywaji. Pamoja na yote...www.jamiiforums.com
Mchumba naomba utambulisho hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo ndiyo najua jinsi ilivyokuwa ngumu kuwa mwanaume.
Maana maswali hayajibiki haya.
Leo ndiyo najua jinsi ilivyokuwa ngumu kuwa mwanaume.
Maana maswali hayajibiki haya.
Uache ku flirt waziwazi,wenzio wanakula kimya kimya...lol
Silagi humu kabisa, ni nadhiri ambayo mpaka sasa nimevuka miaka 10 bila kuivunja.
Silagi humu kabisa, ni nadhiri ambayo mpaka sasa nimevuka miaka 10 bila kuivunja.
Hongera.,nilikua natania tu mkuu,sidhani ulikua serious pale juu,
Ifundishe jinsi ya kuunga mkono rafikiNaunga mkono juhudi za serikali ya awamu hii...teh
Pouring out my feelingsSomeone is smitten....