Rrondo ninakupenda njoo tuyajenge

Rrondo ninakupenda njoo tuyajenge

Waoooh, basi ngoja nifuatilie chuo nikikipata tuu unilipie ada.

Hahahahahahaha eti kusomea upadre. Nimecheka daaah

Fanya hima, maana umeamua jambo lililo jema.

Halafu, fanya mpango basi kesho tuongee kuhusu issue yangu ilee!

Maana nakaribia kufa aisee.
 
Fanya hima, maana umeamua jambo lililo jema.

Halafu, fanya mpango basi kesho tuongee kuhusu issue yangu ilee!

Maana nakaribia kufa aisee.
Hebu vumilia usije ukafa tuu ukapumzika ukaacha wengine tukiendelea kusoma namba.

Siri ya huu mchezo ni kusoma namba wote. Utanipm namba zako basi au tutaongelea pm?
 
Rrondo huko aliko anajing'atang'ta vidole tu anaona aibu kupigwa verse
 
Member since dec 2017[emoji1745][emoji1745][emoji1745][emoji848][emoji848][emoji848]
Duh,si kwa kaburi hili..unataka nambia kwamba jembe hii itakua ni moja kat ya IDs zake mpya..muulizs hyo ID yenye miaka kumi yeye ni nan
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom