Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,547
Ntakujulisha tu; kwa mda huu wacha kwanza niangalie neema neema zinazopatikana ujiji.Woww😍😋yaani hapa tuu nimetoa boooonge la smile kwa kusikia hivyo..🤩
Mapicha picha yataanza soon haha
Ntakujulisha tu; kwa mda huu wacha kwanza niangalie neema neema zinazopatikana ujiji.Woww😍😋yaani hapa tuu nimetoa boooonge la smile kwa kusikia hivyo..🤩
Aaah buanaa me kutamanishana "thipendi" ujuee😄au kwakuwa mimi mtawa ee..Ntakujulisha tu; kwa mda huu wacha kwanza niangalie neema neema zinazopatikana ujiji.
Mapicha picha yataanza soon haha
Hivi hajakuja tuu...Ngosha uko wapi jamani umedondokewa huku?
Sijasoma comments hata sijui[emoji1745]Hivi hajakuja tuu...
hahahaha mama la mama punguza visa wewe!Aaah buanaa me kutamanishana "thipendi" ujuee😄au kwakuwa mimi mtawa ee..
Watawa...?😲hahahaha mama la mama punguza visa wewe!
Alafu nasikia ni mahodari haswa hawa in mboso voice.
ni mabingwa wa kupika biriani kwa ngamia
hahaha nani kama mama la mama etWatawa...?😲
No one asee😂😂hahaha nani kama mama la mama et
hahahaha nami nakazia No one.No one asee😂😂
Nshomile huyoNgosha uko wapi jamani umedondokewa huku?
Nshomile kadondokewa bwana, bahati iliyoje hii?Nshomile huyo
Naona bado anajing'ata kidole!!Nshomile kadondokewa bwana, bahati iliyoje hii?
Basi natulia tuliiii kama maji ya mtunginihahahaha nami nakazia No one.
ndio utulie sasa
Nimependa ulivyofunguka. Bila shaka atakuelewa.
Aisee, si mchezo hii ndio jf the home of great thinkerAiseeeh...
![]()
Nimepata mpenzi humu jukwaani
Nimepata mpenzi humu jukwaani. Tunakwenda taratibu. Amepanda juu hii ndiyo furaha yangu Nina allergy na Andunje. Ninahisi ninampenda. Katika maongezi nimegundua tunasali kanisa moja.www.jamiiforums.com
![]()
Nimeachwa na mwanaume baada ya kunifungulia duka
Huyu mwanaume alinifaa kwa hali na mali. Nilikosa ajira akanifungulia duka. Aliniacha mwaka mmoja ukuopita lakini sijaweza kumsahau. Ana akili sana na alikuwa mshauri wangu mkuu. Ninatamani aje aone maendeleo yangu, duka limepanuka na nimeongeza na container ninauza vinywaji. Pamoja na yote...www.jamiiforums.com