Dah, hii thread ya watu naona tumeichakachua.
Lao nimeamini wivu unao.
Kwa hiyo unaona sifa mwenyewe
Dah, hii thread ya watu naona tumeichakachua.
Lao nimeamini wivu unao.
Kwa hiyo unaona sifa mwenyewe
mama la mama😂😂😂😂
Hahaha...kama wewe ulivyofichwa na toto la ki-iraqmama la mama
hatimaye umetoka mafichoni.
not fair kabisa
Nilirudi, kama siku 10 nilikuwepo nilikutafuta pasipo matumaini wala ma fanikio.Hahaha...kama wewe ulivyofichwa na toto la ki-iraq
Mmhh..jamaniii😒😒Nilirudi, kama siku 10 nilikuwepo nilikutafuta pasipo matumaini wala ma fanikio.
Nimeji ondokea zangu; kimoyo moyo
Nikawa nasema sina bahati; nipo ujiji uku kwa waha na wamanyema sasa
Kweli tena!Mmhh..jamaniii😒😒
Hahahh hizi fix sasa sanchi,.lol...em niambie utarudi lini tena downtown..mhuu!!!Kweli tena!
Nikikuambiaga nikiwepo unajificha unabisha
nimesafiri Jana Leo nakuona
hahaha hi ni figisu wallah
hahahaha mbona fix;Hahahh hizi fix sasa sanchi,.lol...em niambie utarudi lini tena downtown..mhuu!!!
![]()
Nimeachwa na mwanaume baada ya kunifungulia duka
Huyu mwanaume alinifaa kwa hali na mali. Nilikosa ajira akanifungulia duka. Aliniacha mwaka mmoja ukuopita lakini sijaweza kumsahau. Ana akili sana na alikuwa mshauri wangu mkuu. Ninatamani aje aone maendeleo yangu, duka limepanuka na nimeongeza na container ninauza vinywaji. Pamoja na yote...www.jamiiforums.com
Daaah....afu kweliiihahahaha mbona fix;
Uku si unafahamu kuna wama nyema pia!
sitafungiwa kweli haha
haha Ila aliye kuwa kakufichaDaaah....afu kweliii
We nrushe roho yangu tuu
Sina wa kunificha mimi baharia😂nilifiwa dearhaha Ila aliye kuwa kakuficha
Hakunitendea haki kabisa mama la mama
dah pole sana!Sina wa kunificha mimi baharia😂nilifiwa dear
Namshukuru Mungu niko salama pamoja na familia pia,.dah pole sana!
Nimeshindwa hata niandike nini.
Natumai upo sawa kiasi!
Itabidi nije na kirukuu kizima cha zawadi siku iyo!! kurudisha tabasamu lako la awaliNamshukuru Mungu niko salama pamoja na familia pia,.
Woww😍😋yaani hapa tuu nimetoa boooonge la smile kwa kusikia hivyo..🤩Itabidi nije na kirukuu kizima cha zawadi siku iyo!! kurudisha tabasamu lako la awali
japo kidogo